TRENI YAGONGANA NA BASI JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU,YASABABISHA VIFO NA MAJERUHI ZAIDI YA 40




Habari tulizozipata hivi punde zinasema kuwa Treni imegongana na gari la UDA eneo la Gerezani - Kariakoo jijini Dar es salaam.Taarifa za awali zinasema kuwa ajali hiyo imesababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi watu zaidi ya 40.


 


TRENI YAGONGANA NA BASI JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU,YASABABISHA VIFO NA MAJERUHI ZAIDI YA 40 TRENI YAGONGANA NA BASI JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU,YASABABISHA VIFO NA MAJERUHI ZAIDI YA 40 Reviewed by WANGOFIRA on 20:16:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.