RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 9 & 10 ( Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea )

  MTUNZI:EDDAZARIA G.MSULWA
              
ILIPOISHIA
Madam akageuka na kunishika shingo huku taratibu tukaanza kunyonyana denda,Nikamfungua sidiria yake na kuanza kuzitomasa chuchu zake taratibu taratibu.Nikaishika zipu ya sketi yake iliyopo nyuma na kuanza kuifungua kwa kwenda chini kisha sketi yake akaishusha haraka haraka huku nami nikivua shati langu la shule.

“Oya mwanagu Eddy Tanesco wamekata umeme bwana”
Tuliisikia sauti ya John kwa nje na kunifanya nichungulie kwenye dirisha nikamuona John akiwa anaelekea kwenye mabanda ya kuku huku akichungulia chungulia ndani ya mabanda hayo akionekana kututafuta sisi.

ENDELEA....
Tukavaa nguo zetu haraka haraka baada ya kuona tupo sawa nikachungulia dirishani na kumuona John akiwa amejishika kiuno huku hajui wapi tulipo
“Oya John sisi tupo huku”
“Ahhh mwanagu hukuwa unanisikia kipindi ninakuita au?”
“Sijasikia bwana tatizo lako wewe unawenge sana”

Nilizungumza huku nikitoka katika chumba tulichokuwa huku nikiwa na trey nne sisizo na mayai.Nikaingia katika banda la kuku na kuchukua kindoo kidogo kilicho na mayai kisha nikatoka nacho na kuanza kupanga yai moja baada ya jengine huku Madam Rukia akitoka akiwa ameshika trey mbili zisizo na mayai

‘”Wewe mbona umesimama humsaidii mwenzako katika kupanga mayai”
“Madam hapa nilipo nimechoka kama nini ninaogopa ninaweza nikayavunja hayo mayai ikawa ni kesi juu ya kesi”
John alizungumza huku akiwa anatafuta sehemu ya kukaa kabla hata hajakaa akasikia redio ya madam ikitoa sauti ya mziki.

“Umeme huo umerudi ngoja nikamalizie mechi yangu”
John akatoka mbio na kutuacha mimi na madam tukicheka kwani kwa vitendo anavyovifanya John ni sawa na mtoto mdogo wa kidato cha kwanza
“Hivi huyu mwenzako anaakili nzima”
“Ndio tena ndio anayetushikia darasani”
“Ehhee makubwa basi mshauri akue aache utoto”
“Sawa”

Tukaendelea na kazi ya kuyapanga mayai kwenye tery huku mara kwa mara tukiwa tunatazamana kwa macho ya wizi wizi.Tukamaliza tukasaidiana kuzibeba trey hizo hadi kwenye meza ya sebleni kwake

“Alafu Eddy kama utahitaji kuoga bafu hilo hapo kwani ninakuona unatokwa na jasho”
“Sawa madam….Vipi chai tunakunywa au ndio siku inapita kavu?”
“Ngoja niwachemshie mayai mangapi mangapi yatawatosha?”
“Kumi kumi”
“Eddy mwenzako anakazi ya kuakia wakati hata kuokota yai hata moja kwenye banda hajaokota”
“Mwaya madam usimsikilize huyu mayai mawili mawili yanatutosha”

Madam akaondoka akaingia kwenye chumba nikagundua kitakuwa ni jiko kwani nilisikia akigonganisha visufuria vinavyoonekana vimewekwa kwenye mpangilio usio mzuri.Nikaingia katika bafu aliloninyesha Madam Rukia nikavua nguo zangu na kufungua maji ya bomba la mvua nikabaki nimesimama huku mawazo juu ya ndoto niliyo iota yakanijia upya.

“Hivi si nilienda kuoga baada ya kupanda kitandani?”
Sikuwa na kumbukumbu za kutosha kama wakati nilipo panda kitandani kuupumzisha mwili wangu nilikwenda kuoga au usingizi ulinipitia na kuanza kuota vitu vya ajabu.Nikasimama kwenye mchuruziko wa maji kisha nikaanza kujisugua kila kona ya mwili wangu.Nikamaliza kuoga na nikamuomba Madam anipe msaada wa wa taulo la kujifutia maji.Akampa John na akaniletea bafuni,Nikajifuta maji kisha na kuvaa nguo zangu za shule,sikuwa na jinsi zaidi ya kuzivaa hivyo hivyo japo zina nuka jasho kwa mbali

Nikarudi sebleni na kumkuta John akiwa anaendelea kunywa chai,nikajumuika naye.Tukamaliza kunywa chai.Nikamuomba Madam Rukia anipatie japo pafyumu ili mwili uishiwe na kajiarufu ka jasho ambacho kalianza kunikera
“Ingia ndani kwangu utakuta dressing table utachagua ni pafyumu gani unayohitaji”

Nikaingia chumbani kwa Madam Rukia na nikaanza kutafuta ni pafyumu gani nitaweza kupulizia kwa bahati nzuri nikakuta body spry kama yangu.Nikaanza kujipulizia taratibu huku nikiwa nimefungua vifungo vya shati ili niweze kujipulizia katika makwapa vizuri huku nikiwa ninacheza.Mlango ukafungulia na Madam Rukia akaingia na akaanza kunishangaa kwa jinsi ninavyo cheza cheza.

“Kumbe wewe na rafiki yako akili yenu ni moja?”
“Kwanini Madam?”
“Kinacho kuchezesha chezesha hapo wewe ni kipi wakati wezako tunakusubiri?”
Nikanyamaza kimya,Madam Rukia akapiga hatua na kunifuata na kuanza kunifunga vifungo huku akinitazama usoni
“Mery anaonekana ana faidi”
“Ana faidi nini?”
“Ahaaa hakuna kitu”

Hapa ndio nikaanza kupata picha ya swali aliloniuliza Madam Rukia kipindi tunaokota mayai.Alipo niuliza kuwa mimi ni mtaalamu nikajua moja kwa moja watakuwa wamehadisiana na Madam Mery kila kitu tulichokuwa tunakifanya.Tukatoka huku mimi nikiwa nimetangulia mbele na kumuacha akiufunga mlango wa chumbani kwake.

“Haya hapo kila mmoja wenu abebe tray tatu tatu na mutembee kwa uangalifu musije mukaziangusha”
Safari ya kwenda kwa Madam Mery ikaanza huku njia nzima John akiwa anatupigisha story zisizo na kwichwa wala miguu.Tukafika nyumbani kwa Madam Mery na tukakaribishwa na kaka Lucka,Kutokana nimekuwa mwenyeji katika nyumba hiyo nikazipeleka trey za mayai hadi jikoni na kurudi sebleni.

“Broo Madam yupo wapi?”
“Yupo ndani kwake amepumzika kwani ametoka kunywa dawa muda si mrefu”
Tukakaa kidogo mimi na John tukaaga na kurudi zetu shuleni na kumuacha Madam Rukia akizungumza na kaka Lucka.Njiani tukaingia katika mgahawa mmoja na kuagiza chakula ili kuyaweka matumbo vizuri.

“Eddy kuna kitu nataka nikuulize?”
“Niulize?”
“Hivi huyu Madam Rukia wewe unamuonaje onaje?”
“Kivipi?”
“Ni mlaini au mgumu kama mtu akimtoke?”
“Best hilo nalo jipya kwa hiyo unataka kwenda kumtokea Madam Rukia?”
“Ndio mwangu yaani nikimuangalia kwa jinsi mapigo yake anayotupia mimi mwili mzima unanisisimka”
“Jitahidi”
“Nijitahidi na nini?”
“Ahaaa wewe si unamtaka….Jitahidi katika kumtogoza”
“Lakini Madam mwenyewe kauzu kama nini”
“Ndio maana nakumbia jitahidi”

Tukamaliza kula na kurudi shuleni,kwa jinsi tulivyo shiba hatukuwa na hamu ya kufyeka tukatafuta sehemu yenye kivuli cha mti mkubwa tukakaa huku tukivuta vuta muda wa wanafunzi wengine kutoka darasani.

“Eddy hebu niambie ukweli jana Salome ulimla au hukumla?”
“Sasa John best yangu unataka kusema kwamba sijamla Salome au?”
“Inawezekana ukawa umekwenda kupiga naye story tuu chooni alafu unanishangaa mimi niliyekwenda kuomba tochi”
“Best najua hutoniamini ila kusema ukweli jana Salome nilimla japo alizimia baada yaw ewe kuanza kuuvuta uvuta mlango wa kuingilia chooni”
“Sasa alizimia nini?”
“Mawazo na fikra zetu zote tulijua ni mwalimu au mlinzi”

“Eheee Eddy cheki yule demu pale anayeshuka darasa la kidato cha nne”
“Ndio ana nini?”
“Basi unaambiwa yule demu hapa shule hajawahi kuliwa na boy hata mmoja”
“Kwa hiyo?”
“Sasa ndio una nishushua au?”
“Sio nakushushua wewe John sasa hivi umeshaanza tabia ya kupenda penda unakuwa kama chiriku”
“Haya basi nisamehe mimi niliye kuonyesha huyo demu”

 Tukaendelea na mazungumzo ya kawaida hadi muda wa saa nane na nusu watu wakaanza kutoka madarasani tukajumuika nao kwenda mabwenini kuadilisha nguo.Nikavua suruali yangu ya darasani pamoja na shati la shule na kuvaa suruali ya kushindia pamoja na tisheti.Nikatoka na kwenda darasani kuchukua madaftari yangu ambayo ninahitaji nirudi nayo

Nikakutana na Salome akiwa ameongozana na Claudia wakielekea katika Cantin ya shule kununua chakula.Nikasalimiana nao kisha Claudia akachukua vyombo alivyokuwa amebeba Salome na kutangulia mbele na kutuacha mimi na Salome tukiwa tumesimama.

“Salome nikuulize kitu?”
“Niulize”
“Unaugonjwa wa kuzimia?”
“Hapana mpenzi wangu ila jana nilijikuta tuu ninalegea na kuishiwa nguvu na jinsi ulivyokuwa ukiniita nilikuwa nikikusikia ila nikawa niashidwa kukujibu”
“Basi nilidhani una ugonjwa huo ili tufanye mchakato wa kukutafutia dawa”
“Mbona dawa ninayo?”
“Dawa gani?”
“Si hiyo nanilio yako”
“Nini?”

Sote kwa pamoja tukajikuta tunaanza kucheka na kuwafuanya watu wengine kutushangaa
“Ehee munakwenda kununua nini?”
“Chipsi na maandazi”
“Powa ngoja basi nikupe hela na mimi uninunulie samaki kamongo watano”

Nikajipapasa mfukoni nikastuka sina walett na nikakumbuka nimeiacha kwenye suruali yangu ya shule na kwa bahati mbaya nimeicha juu ya kitanda changu kwani nilitaka niifuate nikirudi kuchukua madaftari
“Mbona umestuka hivyo?”
“Walett yangu ipo kwenye suruali yangu ya darasani na hapo nilipo iacha mmmm”
“Basi nenda kaiwahi wasije wakakuibia.Nitakununulia hao samaki sawa baby?”
“Powa”

Nikaachana na Salome na kuanza kukimbia kuelekea bwenini huku akili yangu kuwa ikiwazia simu aliyonipa baba kwani ni simu ya gharama.Nikafika katika chumba chetu sikukuta mtu kwani watu wengine wamekwenda kuchukua chakula cha kwanza kukifunua ni begi langu la nguo na kuingiza mkono chini kwenye nguo cha kushukuru nikaikuta simu yangu kidogo mapigo ya moyo yakanitulia.Nikaichukua suruali yangu na kuikuta wallet ndani ya mfuko wa nyuma wa suruali.Nikaitoa haraka na kuifungua,Mapigo ya moyo yanakipasuka baada ya kukuta pesa zote hakuna zaidi ya shilingi hamsini iliyo baki na sikujua hata imeingiaje kwenye wallet yangu.

Nikafungua zipu ya pembeni ambapo pia ninahifadhia hale ndogo ndogo za noti,nako pia sikukuta kitu zaidi ya karatasi ambayo sikujua ni nani aliye iweka.Nikaitoa na kuiangalia vizuri nikakuta imechongwa kwa urefu wa sawa na noti ya shilingi elfu kumi huku ikiwa imechorwa picha zinazo onekana katika noti hiyo huku ikiwa na maandishi makubwa yaliyo andikwa kwa wino mwekundu yanayosomeka ‘PESA HALALI YA MALIPO YA SHILINGI ELFU KUMI’ huku ikifwatiwa na tarakimu iliyo chorwa kwa ukubwa huku ikipinda pinda ya 10,000/=Nikajikuta nikianza kucheka mwenyewe huku nikirudia rudia kuisoma karatasi niliyoikuta.

“Oya Emma hujamuona mtu aliy ishika suruali yangu?”
“Hapana ndugu ndio ninarudi hivi kutoka class kwani vipi…?”
“Mwanangu wameshaniliza na cheki wameniachia kikaratasi tuu”
Nikampa Emmanuel kikaratasi na akaanza kukisoma  naye akajikuta akianza kucheka hadi machozi yakawa yanamwagika
“Mwanagu Eddy jamaa wamekukomoa”
“Weee acha tuu”
“Wamekuibia bei gani?”
“Laki na ishirini”
“Duuu best ilikiwaje na wewe ukaacha wallet kwenye suruali?”
“Si unajua kusahausahau”
“Daaa pole ndugu yangu ngoja wanachumba waje tuwatangazie”
“Alafu walivyo na roho za ajabu….Wallet yangu wakairudishia kama walivyoikuta”
“Alafu wenye mtindo wa kuiba na kuandika vikaratasi ni O Level kwani juzi asubuhi niliona dogo mmoja analia huku naye akiwa ameshika kikaratasi kama chako”

Hamu hata ya kukaa shule ikaanza kunipotea gafla huku mawazo yakianza kunitawala ni jinsi gani nitaaishi bila pesa na kila mwanachumba niliyemuuliza akasema hajui.Na mbaya zaidi John naye amefulia kupita maelezo na kwa kipindi cha wiki mbili anakula kwa kupitia mfuko wangu.

“Mwanangu Eddy ndio tumeshafulia hivi”
“Weee acha kaka yaani hapa nachanganyikiwa na mbaya zaidi mzee atakuwa amesafiri”
“Mmmmh best hata shibe ya chipsi tulizo zila pale kibandani imesha kwisha”
“Nimekumbuka kitu”
“Kitu gani”
“Mwalimu wa ni zamu ana pesa zangu”
“Mwalimu gani kwani waalimu wa nidhamu wapo wengi”
“Sir Mayange”
“Duh! yule nilimuona anaondoka zake na kale kajipikipiki kake”

“Kwake ninapajua”
“Sasa itakuwaje?”
“Itanibidi nitoroke niende kwake muda wa nyinyi mukiwa assemble ya jioni”
“Hato kuzingua?”
“Si dhani nitamuambia ukweli kwani sasa hivi muda wa ruhusa si muesha pita?”
“Ndio”
“Itanibidi nivae nguo za  nyumbani”

Nikasubiria muda wa saa kumi na moja kufika nikavaa nguo za nyumbani pamoja na kofia kubwa aina ya bushori wakati wezangu wakienda mstarini jioni, mimi nikaruka ukuta na kwenda nyumbani kwa Mwalimu Mayange.Kwa mwendo wa kujificha ficha nisionewe na waalimu ikanichukua kama nusu saa kufika nyumbani kwa mwalimu Mayange.Nikagonga na mlango wake ukafunguliwa na msichana kwa makadirio ya umri ni kama miaka 25.Ikanilazimu kumsalia ila hakutikia salamu yangu zaidi ya kunijibu powa.

“Sir Mayange nimemkuta?”
“Ametoka kwenda kutafuta majani ya Ng’ombe”
“Ninaweza kumsubiria?”
“Ndio unaweza kumsubiria ila siwezi kukuruhusu kuingia ndani pasipo kukujua wewe ni nani na unashida naye gani?”

Ikanibidi kuivua kofia yangu aina ya boshori kwani ninahisi ndio inampa wasiwasi wa kunihisi mimi ninaweza kuwa mtu mbaya kwani kwa mkoa wa Arusha unawaalifu wengi.
“Mimi ninaitwa Eddy ni mwanafunzi katika shule anayo fundisha nimekuja kuchukua pesa za matumizi”
“Sasa mbona umevaa hivyo kama jambazi umetoroka?”
“Ndio”

Nikaanza kujiuliza mbona huyu msichana ana maswali mengi kiasi kwamba anaanza kunipa mashaka ya kutozipata pesa zangu.Akanikaribisha ndani na nikakaa kweye kochi moja na macho yangu kuyaelekezea katika TV inayo onyesha miziki ya wamarekani weusi huku naye akikaa katika kochi jengine akinitahdimini.

“Wewe hapo shuleni kwenu unasoma kidato cha ngapi?”
“Cha tano?”
“Mchepuo gani?”
“Sayansi”
“Ahaaa nilikudanganya mwaya shemeji amekwenda kwenye kikao cha harusi pamoja na dada yangu hapa kurudi hadi saa mbili usiku kama utaweza endelea kumsubiria”
“Sawa kutokana nina shida itanilazimu kusubiri hata kama ni asubuhi itabidi nikae hapa hapa”
“Sasa kama unasema utalala hapa hapa je shuleni kwenu itakuwaje?”

“Nitajua cha kufanya ila kutokana wanarudi basi itanilzimu kukaa hapa hapa niwasubirie”
“Ahaaa ila vipi masomo?”
“Kidogo tunajitahiditahidi”
“Mimi ninaitwa Manka ninasoma kidato kama chako na nipo sayansi”
“Sasa wewe mbona upo nyumbani”
 “Kidogo kuna ishu Fulani hivi ilitokea katika shule ninayo soma ikatulazimu tufunge shule”
“Ishu gani”

“Mabweni yaliungua so hapa tunasubiri tamko la serikali kama tuhamishe kwenye shule nyingine za serikali au wajenge haraka haraka ili turudi uendelee na kitabu”
“Kumbe nyinyi ndio ile shule ya girls iliyo ungua?”
“Ndio tana afadali hivi kwenye Biology kuna topic ya Classifacation mumesha ifikia?”
“Duu hiyo mbona tumeipita zamani”
“Nisubiri mara moja”

Akaondoka na kuniacha sebeleni hapo ndipo nikapata wasaa wa kumtadhimini vizuri.Baada ya muda akarudi akiwa na na daftari pamoja na kitabu kikubwa.Akaniita nikae katika kocho alilokaa yeye.Akafunua kitabu katika sehemu anayo ihitaji na nikaanza kumuelekeza hatua moja baada ya nyingine katika kitau hicho.Kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo jinsi alivyonisogelaa na tukawa tumebanana.
“Hivi ulisema unaitwa nani vile?”
“Manka ina maana mara moja hii umelisahau jina langu?”
“Mawazo mengi ndugu”

Nikaendelea kumuelekeza ila ikafikia hatua hata kasi ya kumuelekeza ikaanza kupotea kwani mkono wake mmoja ameuweka juu ya paja langu huku taratibu akiusogeza hadi kwenye karoti yangu.Kwa mara ya kwanza niliusogeza ila akaurudisha tena huku akinitazama machoni kwa macho yakulegea kiasi kwamba nikaanza kuhisi uvumilivu unaanza kunishinda.Tatatibu tukajikuta tunasogezeana modomo yetu na kuanza kupigana mabusu yaliyo fuatiwa na kunyonyana lipsi zetu.

Manka akasogeza madaftari hadi yakaanguka chini kisha akakaa juu ya meza huku mikuguu yangu ikiwa nimeipitisha katikati ya miguu yake.Nikamshika kiuno chake kisha taratibu huku tukiendelea kunyonyana lipsi zetu hadi nikaanza kujishangaa mwenyewe imekuaje kwa Manka kunikubali gafla wakati kipindi ninakuja alinitisha kwa maswali yake adi nikahisi ni polisi.Nikamsimamisha na kumvua Suruali aliyo ivaa sikutaka kumvua nguo za juu kuhofia na mazingira tuliyopo si salama sana.

Nikafungua zipu ya suruali yangu na kuitoa karoti yangu kisha Manka akaikalia na kuanza shughuli ya kupeana raha.Manka anaonekana ana kipindi kirefu hajakutana na mwanaume kwani kwa mihemo ya fujo inadhihirisha kitu hicho.Raha zikazidi kuongezeka kwani Manka kwa kitu alicho barikiwa ni kukata mauno kiasi kwamba anaanza kuziteka hisia zangu kwani raha ninayo ipata si yakitoto.Nikasikia mlio wa pikipiki ukisimama nje ya nyumba nikastuka na kujua moja kwa moja ni Sir Mayange kwani mlio huo ni wa piki piki yake.....

                            *****SORY MADAM*****(10)
    
......Nikamuachia Manka na akakimbila chumbani kwake huku suruali yake akiwa ameishika mkononi na mimi nikaifunga zipu yangu na kujifuka kajasho kanachonitoka kwa kutumia kitambaa cha kochi na kujiweka vizuri nikimsubiria Mwalimu Mayange kuingia sebleni.Baada ya sekunde kadhaa nikasikia mlango wa kuingilia sebleni ukigongwa,Manka akatoka huku akiwa amejifunga tenge na kwenda kuufungua mlango.

“Habari yako?”
“Salama tu”
“Mzee ameniagiza niilete pikipiki yake na hiki chakula”
“Asante…wao wapo wapi?”
“Wamepata safari ya gafla yule mwenye kikao chake cha harusi amefiwa na mama yake ila wameseme watakupigia simu”
“Haya nashukuru kaka yangu”
“Sawa basi ngoja nikusaidie kuiingiza hii pikipiki”
“Wee acha tuu nitaiingiza wala usijali”
“Haya kwaheri”

   Manka akafunga mlango huku mkononi kwake akiwa na kifuko cheusi kwa harufu nikajua zitakuwa ni chipsi.Manka akakiweka kifuko cha chipsi kwenye meza kisha akakaa karibu yangu huku akitabasamu.

“Manka una simu?”
“Ndio nimeiweka chaji chumbani kwangu ngoja nikaichukue”
Manka akarudi huku akiwa na simu mkononi aina ya ‘Black berry’ na kurudi nilipokuwa nimekaa
“Tena dada alinipigia simu”
“Basi naomba umpigie shemeji yako ili nijue kama atarudi leo au hatorudi”
 Manka akafanya kama nilivyomuagiza na akaanza kuzungumza na Mwalimu Mayange
“Shikamoo shemeji”
“Ndio chakula nimekipata na pikipiki imeshaletwa”
“Mtarudi leo au?”
“Haya sawa.Poleni kwa msiba”
   Nikaanza kupata wasiwasi na wala sikujua kama amejibiwa kitu gani kwani sikusikia majibu ya mwalimu Mayange
“Wamesema watarudi baada ya kuzika”
“Khaaa hajasema ni lini?”
“Hajaniambia”

Nikashusha pumzi nyingi huku nikitafakari kitu cha kufanya.Nikasimama huku wazo la kuondoka likinitawala katika akili yangu.Manka akasimama na kulivua tenge lake akabaki kama alivyozaliwa.
“Eddy usiondoke nahitaji unikamue hadi nichoke”
“Wala nisikudanganye hapa nilipo akili yangu wala haisomi kabisa”
“Kwa nini?”
“Sina hela”
“Kwani Eddy pesa ndio inakufanya wewe usome?”
“Ingekuwa sio pesa wala nisingekuja kwenye hii shule”

 Nilizungumza huku nikiwa nimekasirika kidogo kwani Manka ananiuliza maswali ya kijinga ambayo nahisi majibu yake anayo kichwani
“Eddy sikuwa na nia mbaya ya kukuuliza hivyo…..niambie unataka kiasi gani?”
“Utanipa hicho kiasi ninacho kuambia au unataka tu ujue matatizo yangu?”
“Ndio nitakupa kwani tatizo lako liko wapi?”
“Nataka laki mbili”

Nilizungumza kwa kumtega Manka nikashangaa mwenzangu akiokota tenge lake na kujifunga kisha na kuingia katika chumba kingine.Nikakaa kumsubiri arudi,baada ya dakika tatu akarudi huku mkono wake mmoja akiuweka nyuma,Akakaa nilipo huku akiwa najichekesha chekesha
“Fumba macho”
“Ili iweje”
“No wewe fumba tuu macho”
Nikafumba macho huku akilini nikiwazia pesa ambazo Manka amekwenda kinichukulia na kujikuta nikianza kuzipangia mahesabu hata kabla ya kukabithiwa.
“Haya fumbua”

Nikafumbua macho na kukuta Manka akiwa ameninyoshea bastola huku akiwa amesimama mbali kidogo kutoka eneo nililokaa na sura yake kwa wakati huu ipo katika muonekano wa tofauti na mwanzoni na uzuri wake wote umepotea.

“Eddy sijawahi kumbembeleza mwanaume tangu nizaliwe na sitaki unipotezee muda.Sasa niambie utanila au hunili?”
Sikuwa na chakuzungumza zaidi ya mwili wote kupoteza mawasiliano.Manka anaonekana kuzungumza bila ya kuwa nautani wa aina yoyote.

“Eddy nisikilize kwa umakini……Mimi ni katili na leo ninakuambia siri hiii,mimi ndio niliyeichoma shule niliyotoka baada ya headmaster kunizingua.Eddy mimi nina roho mbaya tena sana na huwa sina shobo na mwanaume.Wewe umeuona uchi wangu alafu unanizingua si ndio…..?”
“Haa……haap…..”
“Sasa unacho ringia ni nini……?”
“Ehhheee”
“Usiniletee habari za kifala simamisha kwato zako hizo”
  
Nikasimama huku mwili mzima ukiwa una nitetemeka sikuamini kama Manka atabadilika ndani ya dakika chache kiasi kwamba amekuwa adui kwangu.Nikaanza kukumbuka jinsi alivyokuwa akinipiga mkwara mlangoni wakati nilipokuwa nikibisha hodi.

“Vua kila kitu ulicho kivaa”
  Nikaanza kuvua kitu kimoja baada ya kingine hadi nikabaki kama nilivyo zaliwa.Kwa ishara akaniamuru nikae kwenye kochi kisha akaniambia nianze kula chipsi zilizopo kwenye kifuko cheusi.Nikafungua kifuko na kuanza kula huku mwili ukiwa unatetemeka
“Acha uboya wewe kula fasta fasta na ujiandae kusali sala yako ya mwisho”

 Machozi yakaanza kunilengalenga na nikazidi kufundia chipsi nyingi mdomoni ili nimalize haraka haraka.Manka akaikoki bastola na kuendelea kuielekeza kwangu,Nikaanza kusali kiroho roho ili kama kuna muujiza wowote ambao Mungu ataweza kuutenda wakati huu nikawa ninauhitaji.Nikamaliza kula kwa ishara Manka akaniamuru kusimama kisha akanimbia nitangulie kwenye chumba alicho ingia kwa mara ya kwanza baada ya kusikia hodi.

Tukaingia ndani  na akaniambia nilale kitandani na kuichanua miguu yangu na mikono,nikafanya kama alivyoniambia.Akachukua kamba aina ya manila iliyokuwa juu ya meza kisha akaanza kunifunga kila mguu mmoja kwenye kishikizo cha kitanda.Sikujua ni wapi nguvu za mwili zilipo kimbilia kwani ninauwezo wa kupambana na Manka ila hata kuunyanyua mkono ninashindwa.Akaufunga kila mkono wangu mmoja katika kila kona ya kitanda upande wa kichwani kwangu.

Manka akavua tenge alilolivaa na kuiweka bastola juu ya meza kisha akakaa pembeni ya miguu yangu huku akinitaza kisha akaanza kuichua karoti yangu huku akiwa anainyonya.Haikuchukua muda kwa karoti yangu kusimama kisha Manka akaikalia na kuanza shughuli ya kujichimbisha mgodi.Sikuwa na raha kabisa na wala utamu wa kuchimba mgodi kusema ukweli sikuisikia.Manka akanitazama kwa macho ya kushangaa ikabidi aniulize swali
“Wewe Eddy hukojoi au?”

Sikumjibu zaidi ya kumuangalia,akajichomoa na kujilaza pembeni yangu huku akikichezea kifua changu taratibu
“Eddy nisingefanya hivi wala nisinge kupata……Leo nataka tukeshe usiku kucha nikijipa raha mwenyewe”.

 Manka akaendelea kuzungumza vitu ambavyo sikumuelewa kabisa ninaona ananichanganya,usingizi ukampitia nikaanza kujitahidi kufungua kamba alizo nifunga kwenye mikono ila nikashikwa kutokana amezikaza sana.Na mimi usingizi ukaaza kunipitia taratibu ila nikaja kustuka na kumkuta Manka akijiandaa kukaa katika karoti yangu.

“Manka nakuomba unifungue nirudi shule”
“Eddy hilo halitowezekana niache hamu yangu ikatike ndio uondoke na kwa jinsi ulivyomtamu ndio kwanza hamu zangu zimeanza upya”
“Manka ila ngoja kwanza…..Natambua wewe ni mwanamke huwezi kunifaidi kwa mtindo huu wa kunifunga funga mijikamba nakuomba unifungue”
“Eddy mimi si mtoto mdogo wa kunidanganya kiasi hicho”

 Manka hakuniamini kabisa zaidi ya kuanza kuichua karoti yangu taratibu hadi ikasimama laiti kama ningekuwa na uwezo ning iamuru karoti yangu kulala na isisimame.Manka akaikalia karoti yangu na kuanza kujiburudisha mwenyewe.Kwa vilio na kiuno jinsi anavyovikata nikajikuta nikifikia mwisho wa uchimbaji madini.Manka akashuka kitandani na kujifunaga tenge lake na kutoka chumbani huku bastola yake ikiwa mkononi.

“Wanawake wengine wase**e kweli”
Nikajikuta nikitukana kwa sauti huku hasira zikinipanda.Manka akafungua mlango na kukaa juu ya meza kisha akawasha sigara na kuanza kuvuta huku akinitazama
“Eddy hata ukinitukana haisaidii kitu”
“Hivi wewe ni mwanamke wa aina gani?”

“Eddy goja nikuambie kitu……Mimi nilikuwa na boy wangu aliye nitoa usichana wangu au bikra……Nilikuwa ninampenda sana tena sana mpaka nikawa ninampa pesa yoyote aliyokuwa akiniomaba…….Kwa ufala wake kuna siku nikamkuta na chiki mmoja hivi wakilana denda yaani kuanzia ile siku nikawa nawachukia maboy sana.Lakini sikumuacha hivi hivi yule boy nilimtumia raia wakamla kiboga mpaka leo yule fala ananirespect sana.Na mimi mtu hawezi kunifanya chochote kwasababu mshua wangu ni mjedaa.

 Manka alizungumza kwa sauti ya kibabe na kunifanya nibaki nikimtazama pasipokumuunga mkono kwenye mazungumzo yake.Akavuta fumba kubwa la moshi wa sigara kisha akaja kunipulizia usoni na kunifanya hasira zizidi kuongezeka.

“Huyo ticha wenu mayange kwangu hapa ananihanya siku nikimuanzishia mtiti yeye mwenyewe anambwela……Kuna siku nilimkuta anamkoromea sister kilichompata anakijua mwenyewe”

“Manka mpenzi wangu nakuomba unifungue basii?”
“Hahaaaaa wewe fala mimi sio mpenzi wako usijidai una gia za uongo uongo halafu ukadhani mimi ni kenge kiasi hicho kugekuwa na demu yoyote ninayesoma naye ungemuuliza kuwa Mamka G. ni nani?”

Manka akamaliza kuvuta sigara yake kisha akatoka chumbani huku bastola yake ikiwa mkononi.Nikaona nikiendelea kujilaza kitandani utakuwa ni ujinga wa karne.Nikajivuta juu kidogo na kuanza kuifungua kamba ya mkono wa kulia kwa kutumia meno japo ninapata maumivu ila nikayapotezea.

 Nikafanikwa kuifungua kamba kisha kwa haraka nikaifungua kamba ya kumkono wa pili na kumalizia kamba za miguuni kabla sijanyanyuka kitandani nikajikuta tunatazamana na Manka huku bastola yake akiwa amenielekezea kwangu.Nikamrukia Manka kabla hata sijamfikia nikstukia kitu chenye ncha kali na chamoto kikipenya ndani ya kifua changu na kuniangusha chini......

  ITAENDELEA.......
RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 9 & 10 ( Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea ) RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 9 & 10 ( Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea ) Reviewed by Unknown on 20:18:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.