DOWNLOAD JOINING INSTRUCTION ZA SHULE ZA KIDATO CHA TANO DOWNLOAD JOINING INSTRUCTION ZA SHULE ZA KIDATO CHA TANO Reviewed by WANGOFIRA on 21:20:00 Rating: 5
Mechi ya Yanga na Mazembe, Kamisaa ataka mashabiki 40,000 tu Mechi ya Yanga na Mazembe, Kamisaa ataka mashabiki 40,000 tu Reviewed by WANGOFIRA on 20:47:00 Rating: 5
SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 28, 2016 SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 28, 2016 Reviewed by WANGOFIRA on 20:43:00 Rating: 5
Waziri Mkuu alia na mauaji dhidi ya raia Waziri Mkuu alia na mauaji dhidi ya raia Reviewed by WANGOFIRA on 11:57:00 Rating: 5

Meli ya mizigo yazama Bahari ya Hindi

WANGOFIRA 11:55:00
MELI ya Mizigo ya Mv. Happy iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kwenda  Zanzibar  imezama katika Bahari ya Hindi ikiwa imebeba mbao zaid...Read More
Meli ya mizigo yazama Bahari ya Hindi  Meli ya mizigo yazama Bahari ya Hindi Reviewed by WANGOFIRA on 11:55:00 Rating: 5
Aliyeondolewa Ukuu wa wilaya Lushoto ajitetea,adai hakubebwa. Aliyeondolewa Ukuu wa wilaya Lushoto ajitetea,adai hakubebwa. Reviewed by WANGOFIRA on 11:51:00 Rating: 5
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kumuwakilisha Rais Magufuli Kesho Botwasana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kumuwakilisha Rais Magufuli Kesho Botwasana Reviewed by WANGOFIRA on 11:50:00 Rating: 5
Kitwanga Akabidhi Rasmi Ofisi Kwa Waziri Mwigulu Nchemba, Jijini Dar Es Salaam Leo. Kitwanga Akabidhi Rasmi Ofisi Kwa Waziri Mwigulu Nchemba, Jijini Dar Es Salaam Leo. Reviewed by WANGOFIRA on 11:48:00 Rating: 5

Watuhumiwa wa Mauaji Jijini Mwanza na Tanga Wauawa Dar es Salaam Seebait.com 2016SeeBait MTU mmoja anayedaiwa kuhusika katika mauaji yaliyotokea katika Msikiti wa Rahma, jijini Mwanza ameuawa. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limeeleza kumuua Salum Saidi Muhangwa (30) kwa madai ya kuwa miongoni mwa waliofanya mauaji kwenye msikiti huo. Akizungumza na wanahabari Simon Siro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema, mtu huyo ameuawa leo asubuhi wakati akijaribu kuwakimbia polisi kupitia dirishani. “Baada ya kufanya mauaji kule Mwanza na kikundi chake walikimbilia huku Dar es Salaam, taarifa za raia wema zimetuonesha jambazi huyo alikua anaishi Buguruni,” amesema. Mauaji hayo yalifanyika tarehe 19 Mei mwaka huu katika msikiti huo uliopo kwenye Kata ya Mkolani wilayani Nyamagana ambapo watu watatu, waumini wa msikiti huo waliuawa wakati mwingine mmoja akijeruhiwa. Kamanda Sirro amesema, mtu huo baada ya kugundua kuwa askari wamezunguka jengo alilokuwemo, alijaribu kujihami kwa kuwarushia askari bomu la mkono ambapo askari walifanikiwa kumpiga risasi ya mguu hatimaye kufariki wakati akipelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). “Tunashukuru askari hawakufanywa lolote katika tukio hilo na tunashukuru kwa sababu wapo makini,”amesema Kamanda Sirro. Hata hivyo amesema, mtu huyo amefanya matukio mengi pale Mwanza yakiwemo kufanya unyang’anyi katika vituo vya M-Pesa, Tigo Pesa, uchinjaji watu msikitini pamoja na maduka makubwa. “Kuna timu yake imebaki hapa Dar es Salaam lakini tuwahakikishie wana Dar es Salaam kwamba, tutawakamata na haki itatendeka lakini wakikaa vibaya wasilaumu serikali. “Kwa sababu silaha wanazozitumia hawajanunua madukani, wanakaa nazo visivyokua halali wabadilike wawe raia wema itawasaidia lakini kwa staili hii niwaambie wataacha familia zao kwa sababu ukamataji wa mtu mwenye silaha sisi ndio tunajua namna ya kukamata,”amesema. Katika tukio jingine, Jeshi hilo limefanikiwa kumkamata jambazi sugu aliyefahamika kwa jina la Mohamed Abdallah akiwa na bastora aina ya nolinko, risasi 19 na bomu la kutupa kwa mkono. “Baada ya kufanya mauaji Tanga na kikundi chake walikimbilia hapa Dar es Salaam, naye akachomoka na kuanza kupambana na polisi, na askari wetu waliweza kumjeruhi vibaya sana naye wakati akipelekwa hospitali alifariki dunia." Kamanda Siro amesema mtu huyo ni kiongozi mkubwa aliyebaki katika kundi la majambazi mkoani Tanga na amehusika katika mauaji ya watu wanane pamoja na ujambazi uliofanyika katika kituo cha mafuta mjini humo. “Wananchi na hasa raia wema waendelee kutupa taarifa kwa watu wanaowatilia mashaka,” amesema. Advertisement == Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana ) Newer Post Older Post Home My Blog List DAR ES SALAAM WIRE New Fastjet Boss plans to relocate head office to Tanzania or SA - *Fastjet’s CEO Nico Bezuidenhout* Fastjet Plc’s new chief executive officer said he may replace the African discount carrier’s planes with smaller ones a... GUMZO LA JIJI Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Manunuzi Wasomwa .....Waliohukumiwa kwa Rushwa Kunyimwa Zabuni, Mikataba yote Kuwa na Mashuhuda - MUSWADA wa Marekebisho ya Sheria ya Manunuzi wa Mwaka 2016, umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni jana na kuwekwa wazi kwa umma, na moja ya vifungu vinavyop... NEWZ XTRA Kenyan Wednesday Newspaper Front Pages - Habari Mpya HABARI MPYA Zilizosomwa Zaidi Breaking News: Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016 Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano, 2015/ 2016 Breaking News: Rais Magufuli Afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na Afanya Mabadiliko Madogo ya Wakuu wa Mikoa Zitto Kabwe Amjibu Rais Magufuli Magufuli Ashusha Nyundo 7.....Apasua makampuni ya madini, Mafao hewa na miamala ya simu Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya June 24 Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya June 26 Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya June 27 Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya June 21 Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo My Blog List Advert Seebait.com 2016SeeBait Ungana Nasi Facebook Followers Blog Archive

WANGOFIRA 11:46:00
MTU mmoja anayedaiwa kuhusika katika mauaji yaliyotokea katika Msikiti wa Rahma, jijini Mwanza ameuawa. Jeshi la Polisi Kanda Maalu...Read More
Watuhumiwa wa Mauaji Jijini Mwanza na Tanga Wauawa Dar es Salaam Seebait.com 2016SeeBait MTU mmoja anayedaiwa kuhusika katika mauaji yaliyotokea katika Msikiti wa Rahma, jijini Mwanza ameuawa. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limeeleza kumuua Salum Saidi Muhangwa (30) kwa madai ya kuwa miongoni mwa waliofanya mauaji kwenye msikiti huo. Akizungumza na wanahabari Simon Siro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema, mtu huyo ameuawa leo asubuhi wakati akijaribu kuwakimbia polisi kupitia dirishani. “Baada ya kufanya mauaji kule Mwanza na kikundi chake walikimbilia huku Dar es Salaam, taarifa za raia wema zimetuonesha jambazi huyo alikua anaishi Buguruni,” amesema. Mauaji hayo yalifanyika tarehe 19 Mei mwaka huu katika msikiti huo uliopo kwenye Kata ya Mkolani wilayani Nyamagana ambapo watu watatu, waumini wa msikiti huo waliuawa wakati mwingine mmoja akijeruhiwa. Kamanda Sirro amesema, mtu huo baada ya kugundua kuwa askari wamezunguka jengo alilokuwemo, alijaribu kujihami kwa kuwarushia askari bomu la mkono ambapo askari walifanikiwa kumpiga risasi ya mguu hatimaye kufariki wakati akipelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). “Tunashukuru askari hawakufanywa lolote katika tukio hilo na tunashukuru kwa sababu wapo makini,”amesema Kamanda Sirro. Hata hivyo amesema, mtu huyo amefanya matukio mengi pale Mwanza yakiwemo kufanya unyang’anyi katika vituo vya M-Pesa, Tigo Pesa, uchinjaji watu msikitini pamoja na maduka makubwa. “Kuna timu yake imebaki hapa Dar es Salaam lakini tuwahakikishie wana Dar es Salaam kwamba, tutawakamata na haki itatendeka lakini wakikaa vibaya wasilaumu serikali. “Kwa sababu silaha wanazozitumia hawajanunua madukani, wanakaa nazo visivyokua halali wabadilike wawe raia wema itawasaidia lakini kwa staili hii niwaambie wataacha familia zao kwa sababu ukamataji wa mtu mwenye silaha sisi ndio tunajua namna ya kukamata,”amesema. Katika tukio jingine, Jeshi hilo limefanikiwa kumkamata jambazi sugu aliyefahamika kwa jina la Mohamed Abdallah akiwa na bastora aina ya nolinko, risasi 19 na bomu la kutupa kwa mkono. “Baada ya kufanya mauaji Tanga na kikundi chake walikimbilia hapa Dar es Salaam, naye akachomoka na kuanza kupambana na polisi, na askari wetu waliweza kumjeruhi vibaya sana naye wakati akipelekwa hospitali alifariki dunia." Kamanda Siro amesema mtu huyo ni kiongozi mkubwa aliyebaki katika kundi la majambazi mkoani Tanga na amehusika katika mauaji ya watu wanane pamoja na ujambazi uliofanyika katika kituo cha mafuta mjini humo. “Wananchi na hasa raia wema waendelee kutupa taarifa kwa watu wanaowatilia mashaka,” amesema. Advertisement == Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana ) Newer Post Older Post Home My Blog List DAR ES SALAAM WIRE New Fastjet Boss plans to relocate head office to Tanzania or SA - *Fastjet’s CEO Nico Bezuidenhout* Fastjet Plc’s new chief executive officer said he may replace the African discount carrier’s planes with smaller ones a... GUMZO LA JIJI Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Manunuzi Wasomwa .....Waliohukumiwa kwa Rushwa Kunyimwa Zabuni, Mikataba yote Kuwa na Mashuhuda - MUSWADA wa Marekebisho ya Sheria ya Manunuzi wa Mwaka 2016, umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni jana na kuwekwa wazi kwa umma, na moja ya vifungu vinavyop... NEWZ XTRA Kenyan Wednesday Newspaper Front Pages - Habari Mpya HABARI MPYA Zilizosomwa Zaidi Breaking News: Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016 Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano, 2015/ 2016 Breaking News: Rais Magufuli Afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na Afanya Mabadiliko Madogo ya Wakuu wa Mikoa Zitto Kabwe Amjibu Rais Magufuli Magufuli Ashusha Nyundo 7.....Apasua makampuni ya madini, Mafao hewa na miamala ya simu Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya June 24 Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya June 26 Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya June 27 Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya June 21 Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo My Blog List Advert Seebait.com 2016SeeBait Ungana Nasi Facebook Followers Blog Archive  Watuhumiwa wa Mauaji Jijini Mwanza na Tanga Wauawa Dar es Salaam Seebait.com 2016SeeBait MTU mmoja anayedaiwa kuhusika katika mauaji yaliyotokea katika Msikiti wa Rahma, jijini Mwanza ameuawa.  Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limeeleza kumuua Salum Saidi Muhangwa (30) kwa madai ya kuwa miongoni mwa waliofanya mauaji kwenye msikiti huo.  Akizungumza na wanahabari Simon Siro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema, mtu huyo ameuawa leo asubuhi wakati akijaribu kuwakimbia polisi kupitia dirishani.  “Baada ya kufanya mauaji kule Mwanza na kikundi chake walikimbilia huku Dar es Salaam, taarifa za raia wema zimetuonesha jambazi huyo alikua anaishi Buguruni,” amesema.  Mauaji hayo yalifanyika tarehe 19 Mei mwaka huu katika msikiti huo uliopo kwenye Kata ya Mkolani wilayani Nyamagana ambapo watu watatu, waumini wa msikiti huo waliuawa wakati mwingine mmoja  akijeruhiwa.  Kamanda Sirro amesema, mtu huo baada ya kugundua kuwa askari wamezunguka jengo alilokuwemo, alijaribu kujihami kwa kuwarushia askari bomu la mkono ambapo askari walifanikiwa kumpiga risasi ya mguu hatimaye kufariki wakati akipelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).  “Tunashukuru askari hawakufanywa lolote katika tukio hilo na tunashukuru kwa sababu wapo makini,”amesema Kamanda Sirro.  Hata hivyo amesema, mtu huyo amefanya matukio mengi pale Mwanza yakiwemo kufanya unyang’anyi katika vituo vya M-Pesa, Tigo Pesa, uchinjaji watu msikitini pamoja na maduka makubwa.  “Kuna timu yake imebaki hapa Dar es Salaam lakini tuwahakikishie wana Dar es Salaam kwamba, tutawakamata na haki itatendeka lakini wakikaa vibaya wasilaumu serikali.  “Kwa sababu silaha wanazozitumia hawajanunua madukani, wanakaa nazo visivyokua halali wabadilike wawe raia wema itawasaidia lakini kwa staili hii niwaambie wataacha familia zao kwa sababu ukamataji wa mtu mwenye silaha sisi ndio tunajua namna ya kukamata,”amesema.  Katika tukio jingine, Jeshi hilo limefanikiwa kumkamata jambazi sugu aliyefahamika kwa jina la Mohamed Abdallah akiwa na bastora aina ya nolinko, risasi 19 na bomu la kutupa kwa mkono.  “Baada ya kufanya mauaji Tanga na kikundi chake walikimbilia hapa Dar es Salaam, naye akachomoka na kuanza kupambana na polisi, na askari wetu waliweza kumjeruhi vibaya sana naye wakati akipelekwa hospitali alifariki dunia."  Kamanda Siro amesema mtu huyo ni kiongozi mkubwa aliyebaki katika kundi la majambazi mkoani Tanga na amehusika katika mauaji ya watu wanane pamoja na  ujambazi uliofanyika katika kituo cha mafuta mjini humo.  “Wananchi na hasa raia wema waendelee kutupa taarifa kwa watu wanaowatilia mashaka,” amesema.  Advertisement ==  Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )  Newer Post Older Post Home My Blog List      DAR ES SALAAM WIRE     New Fastjet Boss plans to relocate head office to Tanzania or SA - *Fastjet’s CEO Nico Bezuidenhout* Fastjet Plc’s new chief executive officer said he may replace the African discount carrier’s planes with smaller ones a...     GUMZO LA JIJI     Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Manunuzi Wasomwa .....Waliohukumiwa kwa Rushwa Kunyimwa Zabuni, Mikataba yote Kuwa na Mashuhuda - MUSWADA wa Marekebisho ya Sheria ya Manunuzi wa Mwaka 2016, umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni jana na kuwekwa wazi kwa umma, na moja ya vifungu vinavyop...     NEWZ XTRA     Kenyan Wednesday Newspaper Front Pages -  Habari Mpya HABARI MPYA Zilizosomwa Zaidi      Breaking News: Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016     Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano, 2015/ 2016     Breaking News: Rais Magufuli Afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na Afanya Mabadiliko Madogo ya Wakuu wa Mikoa     Zitto Kabwe Amjibu Rais Magufuli     Magufuli Ashusha Nyundo 7.....Apasua makampuni ya madini, Mafao hewa na miamala ya simu     Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya June 24     Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya June 26     Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya June 27     Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya June 21     Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo  My Blog List  Advert Seebait.com 2016SeeBait Ungana Nasi Facebook Followers Blog Archive Reviewed by WANGOFIRA on 11:46:00 Rating: 5
Wananchi Watinga Mahakamani Kufungua Kesi ya Kupinga Agizo la Serikali Kuzuia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Bunge Wananchi Watinga Mahakamani Kufungua Kesi ya Kupinga Agizo la Serikali Kuzuia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Bunge Reviewed by WANGOFIRA on 11:45:00 Rating: 5
Serikali: “Mapenzi ya jinsia moja ni kinyume na sheria ya Tanzania” Serikali: “Mapenzi ya jinsia moja ni kinyume na sheria ya Tanzania” Reviewed by WANGOFIRA on 11:43:00 Rating: 5

Magesa Mulongo Atenguliwa ukuu Wa mkoa

WANGOFIRA 03:38:00
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo kuanzia jana.  Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawas...Read More
Magesa Mulongo Atenguliwa ukuu Wa mkoa Magesa Mulongo Atenguliwa ukuu Wa mkoa Reviewed by WANGOFIRA on 03:38:00 Rating: 5
Powered by Blogger.