Polisi Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima


Taarifa zilizotufikia muda huu zinasema Polisi 6 wakiwa ndani ya Landcruiser wamezingira nyumbani kwa Askofu Josephat Gwajima.


Sababu za kufanya hivyo bado hazijafahamika, tutaendelea kuwajuza kadri tunavyoendelea kupata taarifa.
Chanzo-Mpekuzihuru.com
Polisi Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Polisi Waizingira Nyumba ya Askofu Gwajima Reviewed by WANGOFIRA on 20:06:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.