Utacheka Mpaka Mbavu Ziume Leo..Video ya Mchekeshaji Matata Tanzania "JK Comedian "

 
Msanii JK Comedian amezidi kuonyesha ubora wake katika kuigiza sauti za watu mashuhuri kwa style ya kuchekesha, time hii kaisogeza burudani kwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa katiba na sheria Harryson Mwakyembe na Waziri wa zamani wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka. 


Tazama hapa chini video yake..
Utacheka Mpaka Mbavu Ziume Leo..Video ya Mchekeshaji Matata Tanzania "JK Comedian "  Utacheka Mpaka Mbavu Ziume Leo..Video ya Mchekeshaji Matata Tanzania "JK Comedian " Reviewed by WANGOFIRA on 20:37:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.