RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 17 & 18 ( Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea )

Mtunzi: EDDAZARIA G.MSULWA

ILIPOISHIA...
....Mama akamuacha daktari na kuafuata wananchi waliokaa kwa wingi kwenye foleni isiyo sogee kiasi kwamba wagojwa wamechoka sana. na foleni hiyoAkawasalimia wananchi na wakamuitikia kwa furaha kisha akaanza kuwahoji mwaswali,nikapata upenyo wa kwenda katika chumba alicho ingizwa Manka jana usiku na nikajikuta wasi wasi ukizidi kuongezeka hii ni baada ya kumkuta Manka hayupo ndani  ya chumba hicho.......
 
ENDELEA...
....Nikabaki nimesimama huku sielewi ni kitu gani nifanye nikageuka kiunyonge na kukutana na daktari tuliyemkuta jana usiku akiwa anatembea mwendo wa kasi sikujua ni wapi anapoelekea ikanibidi nimsimamishe.
 
“Daktari vipi”
“Salama mdogo wangu nakomba tuzungumze baadaye mimi ngoja niondoke hali imeshakuwa mbaya”
“Sijakuelewa dokta?”
“Kuna waziri wa afya amekuja hapa tayari dokta mkuu ameshapigwa chini wewe nakuomba tuondoke kama vipi njoo tuzungumze nyuma huku”
 
Nikatoka huku nikicheka kimoyo moyo na kusema laiti angejua huyo mtu anaye mkimbia ni mama yangu wala asingezungumza na mimi.
“Ehee kijana shida yako ni nini?”
“Dokta jana nilileta mgojwa hapa mida wa usiku alipatwa na….”
 
“Ohooo nimekumbuka huyo mgonjwa wako tumemsafirisha kuelekea katika hospitali ya K.C.M.C”
“Hali yake ikoje?”
“Si nzuri sanaa na kama tungembakisha hapa angetufia bure…..Kijana hebu nakuomba uniache niende kwani huyo mama namuona anakuja huku”
 
Dokta alizungumza huku akichungulia chungulia kupitia mlango tulio tokea nje huku akianza kupiga hatua za haraka kuelekea kwenye njia ya kichochoro iliyopo karibu na Zahanati hiyo.Nikarudi ndani huku nikiwa nawaza ni nini nifanye ili mama aweze kunielewa kama ni kuenda shule niende siku hiyo hiyo.Mama akamaliza kuzungumza na madaktari pamoja na manesi aliowakuta.
 
“Ehee wee huyo mgonjwa wako yupo wapi?”
“Wamesema wamemuamisha hospitali”
“Nani kasema?”
“Waulize hao madokta hapo”
“Eti kuna mgonjwa aliletwa jana amepata ajali?”
“Ndio muheshimiwa”
 
“Ahaa bahati yako haya jamani tekelezeni yale niliyo waambia ni bora mupoteze kazi nyingi kuliko kupoteza nguvu kazi ya taifa kwa vifo vinavyosababishwa na uzembe wenu na kuanzia sasa hivi Kiongozi mkuu atakuwa huyo hapo bwana nani vile?”
“Bwana John Henry”
 
“Ok bwana John ndio atakuwa kiongozi wenu kwa muda hadi pale wizara itakapo leta mtu daktari mwengine sawa jamani.”Madaktari na Manesi wakamuitikia mama kisha akaagana nao pamoja na wananchi kisha tukaingia ndani ya gari na safari ya kurudi nyumbani ikaanza.Tukafika nyumbani mida ya saa saa nane mchana.Wakanishusha getini kisha mama akaelekea kwenye mishuhuliko yake.Mida ya jioni mama akarudi huku akionekana amechoka nikamsalimia na moja kwa moja akaenda chumbani kwake na kulala.Nikakaa nyumbani kwa siku mbili na bila ya kuzungumza na mama kuhusiana na swala la kurudi shule.
 
“Eddy shule unakwenda lini?”
Mama aliniuliza baada ya kupita mbele yake nikitokea nje huku yeye akiwa amekaa sebuleni akitazama taarifa ya habari ya saa mbili usiku
“Mama nakusikilizia wewe?”
“Unanisikilizia mimi hivi unaakili kweli mwanangu?”
“Sasa mama kuzungumza hivyo ndio mimi sina akili?”
“Nakuona bado unaakili za kitoto.Sasa anaye soma ni mimi au wewe?”
 
“Ila kumbuka mama wewe ndio uliye niruduisha nyumbani”
“Nilikurudisha ili akili yako ikae sawa.Na sijui hiyo PCB yako unaisoma vipi?”
“Mama mimi Genius”
“Mmmm genius uwe wewe,kesho shule na uondoke na gari ya kwanza uwahi kufaika shuleni?”
“Mama siwezi kusafiri ijumaa”
“Pumbavu wewe usiniletee ujinga nimekuambia kesho alfajiri nikitoka kwenda kazini ninakuacha ubungo sawa”
“Ila mama hizi safari zako za kushtukiza huwa sizipendi kama nini”
“Upende usipende kesho shule”
 
 Kama alivyozungumza mama safari ya kurudi shule ikaanza na akaniacha stendi ya mabasi ya Ubungo mida ya saa kumi na moja asubuhi kisha yeye akaelekea ofisini kwake sikujua ni kwanini siku hiyo amewahi sana kwenda ofisini.Nlicho kifanya ni kutafuta nyumba ya wageni(gest house) iliyo karibu na stendi kwa bahati nzuri nikapata chumba nikaingia na kulala hadi mida ya saa tatu asubuhi kisha nikarudi stendi na safari ikaanza kwa kutumia basi Dar Express na katika siti niliyokaa nipembeni yangu kuna msichana amavalia baibui ninja na ni ngumu kuweza kuiona sura yake.

Hatukusemeshana chochote kiasi kwamba safari nzima kila mtu akawa kimya,kwa bahati mbaya tukakuta ajali ya roli mbili zimegongana maeneo ya Wami kiasi kwamba ikatuchukua muda mrefu kukaa barabarani tukisubiria gari hizo kuja kuondolewa kutokana zimeifunga barabara na hapakuwa na uwezekano wa magari kupita.
 
“Aisee hii ajali inatuchelewesha”
Msichana niliye kaa naye alizungumza na kunifanya nimtazame kwa muda kisha nikamjibu.
“Wee acha tuu yaani nilisaa la tatu tumekaa hapa na hiyo foleni hapa hadi tuimalieze ni shughuli”
“Ndio tatizo la nchi yetu kukitokea jambo kama hili basi wahusika wataanza kujivuta vuta usishangae hapa tunakaa zaidi ya masaa kumi”
 
“Kweli na hapa mtu huwezi kusema utahairisha safari kwani nyuma yetu kuna foleni mbele huko ndio usiseme”
“Kuna biashara zangu nilitaka kuziwahi ila hapa nimesha chelewa itanilazimu kulala Arusha kitu nilichokuwa sijakipanga kabisa”
  
“Ulitaka urudi leoleo?”
“Ndio ila kwa hali hii nahisi hapa kuna kulala”
“Wewe ni mfanya biashata?”
“Ndio ninachukua mizigo ya nguo za wanawae na watoto kutoka Dar na kwenda kuuza Arusha”
“Ahaa hivi hiyo biashara inalipa?”
“Ina lipa pale mtu unapokuwa mchacharikaji ila ukiwa goigoi utaiacha kazi…..Vipi wewe uanashughulika na nini?”
 
“Mimi ni mwanafunzi nipo kidato cha tano”
“Ahaaa ila si hamjafunga bado?”
“Ndio ila mimi kuna matatizo kidogo yalinipata ndio nikarudi nyumbani ila sasa hivi kidgo nipo powa”
“Soma bwana sisi wengine tulikimbia shule na sasa hivi tunazunguka zunuka na dunia”
“Sawa ila hata wanao soma pia wanaangaika na dunia”
 
“Ni kweli ila huwa ninawashangaa sana wale wanaosoma na kutaka kuajiriwa.Wanashinda kutumia elimu walizonazo katika kubuni miradi itakayo waingizia pesa wanakazi ya kukaliaa kuhangaika na vijibahasha vyao kwenye maofisi ya watu na mbaya zaidi unakuta mshaara anaolipwa ni waajabu sana”
 
“Yaani wee acha tuu mdoi maana mimi katika maisha yangu sijapanga kuja kuajiriwa nahitai nijiajiri mimi mwenyewe”
“Ukiwa na nia na malengo utaweza hakuna kinacho shindikana chini ya jua”
 
 Gafla tukasikia mlipuko mkubwa ukitokea katika magari ya mbele ya magari yetu na ikatulazimu tushuke kwenye gari haraka kwenda kuangalia ni nini.Tukakuta moshi mwingi mweusi ukisambaa angani na huku magari mawili ya mbele ikiwemo roli la mafuta lililopata ajali yakiteketea kwa moto mwingi.Watu waliopo kwenye magari ya karibu na magari hayo yanayowaka moto wakaanza kukimbia kurudi nyuma  tulipo sisi na kusababisha msongamano mubwa wa watu wanao jaribu kuziokoa roho zao.
“Huu moto utakuja tuu huku”
 
Msichana alizungumza huku akiwa anafunua kitambaa kilicho iziba sura yake na kujikuta nikimeza fumba kubwa la mate na kubaki nikimtazama jinsi alivyojaliwa uzuri wa sura kiasi kwamba nikajikuta nashindwa kumjibu kitu
“Vipi mbona unanishangaa?”
“Ha…haaa pana”
 
Kabla sijajibu chochoye gari nyingine mbili zikashika moto na kuanza kuteketea na kwa mahesabu ya haraka haraka gari letu ni la nane kutoka katika gari nne zinazoteketea kwa moto.Polisi wa kikosi cha barabarani wakaanza kuwaomba watu kurudi nyuma kwani hali sio nzuri na muda wowote magari mengine yanaweza kufwata katika kuungua kwa moto.Nikaingia ndani ya basi na kuchukua begi langu la nguo pamoja na pochi kubwa ya msichana huyo kisha nikashuka na tukajumuika na watu wengine kurudi nyuma huku tukizipisha gari za zima moto kufanya kazi yao.
 
“Kaka unaitwa nani?”
“Ninaitwa Eddy wewe je?”
“Mimi ninaitwa Sheila”
“Una jina zuri”
“Hahaaaaa wapi mbona jina la kawaida”
“Ebwaane ehee hapa safari inaweza ikaahiriswa?”
“Sijui tusubirie matoke kwa maana hapa hali imeshakuwa mbaya”
 
Kazi ya kuuzima moto unaowaka ikaanza kuwashinda wazimaji kwani magari mengine yakaanza kushika moto kwa kasi na mbaya zaidi katika eneo tulilokuwepo upepo wake ni mkali kiasi kwamba husababisha moto huo kuyapata magari mengine.Watu baadhi wakaanza kupanda boda boda za pikipiki kuondoka katika eneo hilo huku watu wengine wakiyalilia magari yao yanayo teketea kwa moto na kujikuta nikaanza kumcheka jamaa mmoja anayelia.
 
“Eddy unacheka nini?”
“Yule jamaa pale aliye kaa chini kwenye majani ameunguliwa na ile Nohah yake kule mbele”
“Ndio unamcheka mwenzoko?”
“Hapana ninachokicheka mimi ni maneno yake anadai gari ameichukua juzi kwa mkopo wa benki alafu leo limeungua moto”
“Masikini wee kaka wa watu hadi huruma”
“Kweli anatia huruma ila vitu vya mkopo vinapo pata majanga kama haya hukufanya upagawe na kulia kama mtoto mdogo”

Tukaendelea kukaa kwa masaa matatu mbeleni ila matumaini yetu yakaanza kupotea taratibu huku sote tukishuhudia basi letu likiwa ni miongoni mwa magari yanayo teketea kwa moto.Nikiwa nimeduwaa simu yangu ikaita na kukuta mama ndio anaye piga.
 
“Wewe umeshafika wapi?”
“Mama ndio tunakaribia kuingia Moshi”
Ikanilazimu kukaa kumdanganya mama kwani tangu ninaondoka nyumbani alikuwa akinisema sema na kuniona mimi ni mzembe wa kutokupenda shule isitoshe aliniambia niondoke na gari la kwanza kwenda Arusha mida ya saa kumi na moja alfajiri ila kwa uzembe wangu nikaondoka na gari la saa nne asubuhi.
 
“Ahaaa nilijua umekwama hapo WAME”
“Hapana tumepapita muda mrefu sana hapo wami kwani kuna nini?”
“Kuna magari yamepata ajali hapa natazama breaking news kwenye Tv ndio maana nikakuuliza”
Moyo ukanipasuka kwani katika sehemu niliyo kuwepo kuna Camera za waandishi wa habari ila sikujua ni waandishi wa kituo gani cha habari.
 
“Haya mama simu yako inakata kata sikusikii vizuri “
Mama akakata simu ikanibidi nimshike mkono Sheila na kusimama naye mbali kidogo na walipo waandishi wa habari
“Vipi mbona ngija ngija za kuvutana?”
“Ahaa nimeamua tuje tusimame huku nifanye mpango wa kutafuta pa kwenda kulala ka maana hapa naona safari hakuna tena”
 
“Si urudi nyumbani?”
“Nyumbani hakurudiki itanilazimu nikalale hoteli”
“Mmmm basi fanya hivyo ngoja mimi nione kama kuna uwezekano wa kuendelea na safari”
 “Sidhani kama utaweza kuendelea na safari”
“Eddy mbona unanikatisha tamaa?”
“Sikukatishi tamaa ila ndio ukweli wenyewe”
 
“Powa basi twende kwangu”
“Kwako?”
“Ndio unaogopa nini kwani?”
“Siogopi ila nisije nikavunjwa meno tu”
“Uvunje meno na nani?”
“Na wanao miliki mali yao”
“Hakuna kitu kama hicho”
“Sawa”
 
Tukapanda boda boda za pikipiki hadi chalinze na tukakodi taksi hadi nyumbani kwa Sheila maeneo ya Kimara na tukasimama mbele ya nyumba ya kifahari nyenye geti kubwa.Sheila akamlipa dereva taksi kisha tukashuka akafungua geti na kuingia ndani na nyumba imetawaliwa na ukimya mkubwa
“Mbona kupo kimya?”
“Ninaishi peke yangu”
“Kumbe unamaisha mazuri hivi?’
“Wapi nimepanga tuu hapa”
 
  Tukaingia ndani na Sheila akanikaribisha kwenye sofa zake na kunipa kunipa maji ya baridi kisha yeye akaingia ndani.Kutokana kupo kimya sana nikaona ni bora niwashe Tv iliyopo hapo sebleni na nikachagua CD zilizopo juu ya spika za redio na kuipata CD moja isiyo na maandishi ya aina yoyote wala kuwa na picha.Nikaiweka kwenye deki kisha nikapunguza sauti hadi mwisho kwani ninakumbuka yaliyo nikuta kwa Madam Mery kwa kukuta CD ya ngono.

Kajasho kembamba kakaanza kunimwagika baada ya kuona CD hiyo ikionyesha mazingira ya humu sebleni na katika kochi nililo kaa mimi kulikuwa na jamaa amekaa huku akipiga kelele na akionekana analia kama mtoto mdogo.Camera ikashushwa chini kidogo na nikaona jamaa akivuja damu nyingi sehemu zake za siri kiasi kwamba damu zikaanza kunisisimka.Mapigo ya moyo yakazidi kunienda mbio baada ya kumuona msichana akiwa amesimama mbele ya kamera huku akiwa uchi na mkononi mwake akiwa ameshika uume wa mwanaume uliokatwa.
 
Mwanamke huyo akaishika kamera na kuipandisha juu kidogo na kuiona sura Sheila huku akiwa ametabasamu na kuzungumza maneno yaliyozidi kuniogopesha
“KILA MWANAUME KWANGU NIKITEGA UCHUMI HAHAAAAAAAAAAAAAA…………”
 

                         *****SORY MADAM*****(18)
    
 Baada ya Sheila kuzungumza maneno hayo akaanza kuutafuna uume wa mwanaume aliomkata na kunifanya nifumbe macho kwa kuogopa kitu anachokifanya.Kishindo cha mtu kukaa pembeni yangu huku akionekana kujirusha juu ya ofa hilo ukanifanya nishtuke huku nikiyafumbua macho yangu na kumkuta Sheila akiwa amekaa huku ameshika glasi ya maji ya kunywa
“Mbona umeshtuka?”
“Haaaaa…..?
 
Nilijibu kiwoga ila nikajitahidi kujikaza ili Sheila asijue kuwa nimeogopa.Kwa macho ya kuiba nikaitazama movie niliyo iweka na kumuona Sheila akicheka pamoja na watu wengine wawili ambao ni wanaume wakiwa wamevalia boxer,Ikanibidi sura yangu kukigeukia kioo cha luninga huku nikiwa na wasiwasi kwa mbali huku jicho langu moja nikimtazama Sheila kwa umakini.Nikazidi kushangaa baada ya kumuona jamaa aliyekatwa uume na Sheila akiinama na kumfuata Sheila aliyesimama mbele ya video camera na kumkumbatia kwa nyuma huku wote wakipunga mikono yao kwa mtazamaji kwa ishara ya kumuaga mtazamaji.
 
“Hii movie imeniingizia pesa nyingi sana,japo mara ya kwanza ilinipa shida katika uchezaji wake”
“U…nata…ka kusema hii ni m…ovie?”
“Ndio ni movie ila hao jamaa niliocheza nao ni wamarekani na sio watanzania….”
 
Nikashusha pumzi taratibu huku nikimgeukia Sheila na kumtazama machoni,tukatazamana kwa dakika kadhaa kisha nikayarudisha macho yangu kwenye kioo cha Tv(Luninga) na kukuta kioo kimeandika SAMSUNG DVD ikimaanisha ni jina la deki hiyo na CD niliyo iweka imefikia mwisho.
 
“Sheil bado sijakuelewa…….Unataka kusema hii ni Movie?”
“Ndio jamani ni movie hiyo na hiyo CD uliyo itazama ni CD ya DEMO?”
“DEMO…..Demo ndio nini?”
“Eddy kwa ujanja wako wote unaoonekana unataka kusema wewe huijui DEMO ni nini?”
“Ndio maana nikakuuliza”
 
“Ok…..Demo ni kipande cha kazi au kazi nzima ya movie kikiwa ni hakijafanyiwa marekebisho au kimefanyiwa marekebisho tayari ila si rasmi katika kuuzwa”
“Hapo kidogo nimekupata pata…..Sasa hii movie si mmecheza uchi kabisa?”
 
“Ndio kama nilivyokuambia pale mwanzoni kuwa hii filamu ilinipa shida sana katika kuicheza na hicho ulichokitazama ni kipande kifupi tuu.Mkanda wenyewe upo chumbani kwangu”
“Sasa kwa nini uliamua kucheza filamu kama hiyo ambayo ni kinyume na maadili ya Kitanzania?”
 
 Sheila akaanza kunitazama kwa macho ya unyonge kisha akanyanyuka na kukaa mbele yangu kwenye meza na akanyanyua glasi ya maji ya kunywa na akapiga mafumba mawili ya maji kisha akakohoa kidogo kulisuuza koo lake kisha akainama kidogo huku mikono yake akiiweka juu ya mapaja yake na kuikutaniha kwa pamoja na kuanza kuminya minya vidole vyake kimoja baada ya kingine.
 
“Eddy katika maisha kuna vitu vingi ambavyo wanadamu huwa tunapitia…..Hii yote ni ili tupate mafanikio ambayo yanaweza kukufanya ukaishi maisha uyatakayo”
“Ni kweli ila sijajua ni kwanini ulichukua maamuzi kama hayo ya uchezaji wa filamu za uchi?”
 
“Eddy japo leo ndio siku ya kwanza kuonana mimi na wewe ila nimetokea kukuamini na utakuwa ni mtu wa kwanza kujua historia ya maisha yangu ila nitakuadisia kwa ufupi tuu na sintohitaji maswali mengi……..Nimeishi na bibi yangu tangu mimi nipo mdogo na kwa kipindi chote nilichokuwa nikiishi na bibi yangu sikuwahi kusikia story zinasohusu wazazi wangu.Kasi kwamba ikafikia hatua nikawa ninamlazimisha bibi yangu niweze kuwajua wazazi wangu.Sitoisahau siku ya Octobar 5,hii siku inanikumbusha mambo mengi ambayo kusema kweli yananiumiza”
 
Sheila alizungumza huku machozi yakianza kumchuruzika taratibu huku akiendelea kuvikunja kunja vidole vyake taratibu akachukua tena glasi ya maji na kunywa kidogo kisha akaendelea kuzungumza.
 
“Sku hiyo bibi yangu alianza kuugua,nikamkimbiza hospitali Muhimbili na uchunguzi wa madaktari ulionyeha kuwa bibi moyo wake ni mkubwa.Wakaniamba kuwa ninahitajika kufanya utaratibu ili niweze kumpeleka nchini India kwa matibabu zaidi…..Nakumbuka kipindi icho nilikuwa nipo katikati ya mtihani wa kumaliza kidato cha nne.Sikuwa na jinsi zaidi ya kwenda kwa rafiki wa bibi zangu ambao walikuwa ni manesi wezake,Huwezi kuamini wale rafiki zake walitoa visingizio vingi sana ikimaanisha hawataki kumsaidia rafiki yao……

Na wawngine wakaanza kuzusha eti bibi ni mcahwi na kwa kipindi chote nilichoishi na bibi yangu sikuwahi kumuona ndugu yake hata mmoja akikanyaga katika nyumba tunayo ishi na pia sikuwahi kumuona bibi akikosa kuhudhuria Kanisani siku za jumapili……Eddy kuanzia hapo ndipo ndipo nilipo anzakuamini kuna watu na viatu humu duniani kwani nilikwenda kanisani kuonana na mchungaji wa kanisa ambalo bibi alikuwa akisali na alikuwa mzee wa kanisa na mimi pale nilikuwa ninafahamika sana kutokana nilikuwa muimbaji mzuri wa kwaya na mmoja wa wanamaombi katika kanisa lile.Mchungaji akaniahidi kunisaidia swala la bibi yangu ila akanipa sharti moja ili aweze kunisaidia”
“Lilikuwa ni sharti gani?’”
 
“Mmmm aliniomba nimpepenzi ndio amsaidie bibi yangu….Kutokana bibi yangu alikuwa na hali mbaya nikaona siina ujanja katika hilo ikanilazimu nimvulie chupi mchungaji na akawa mwanaume wangu wa kwanza kumvulia chupi……Eddy huwezi kuamini yule baba hakunipa hata shilingi kumi na mbaya zaidi akatangaza kanisani kuwa mimi ninamlazimisha kufanya naye mapenzi na ikafikia hatua kanisa likanitenga.

Niliumia sana tena sana,hali ikazidi kuwa mbaya pale nilipofika nyumbani na kukuta nyumba tunayoishi imefungwa na makufuli mengine na benki waliitaifisha kwa madai bibi yangu alikwenda kukopa shilingi milioni hamsini na takribani miaka mitatu ilipita na hakuweza kurejeha kiasi walicho kubaliana kwa mwenzi.Na nilipo muuliza bibi juu ya mkopo huo akasema ni kweli.Ila alisema aliweka milioni 45 DESI naamini umaikumbuka ile benki ya kuweka na kuvuna baada ya miezi mitatu?”
“Ndio ninaikumbuka”
 
“Basi pale bibi yangu alikwenda akaziweka hizo pesa na hakuna kilicho tokea katika kuzirejesha kiasi kwamba bibi yangu ndipo alipo anza kupata matatizo hayo ya moyo”
“Ilikuwaje hadi benki wakamkopesha pesa zote hizo?”
 
“Kusema kweli hata mimi sijui ni kwanini walimkopesha kiasi hicho cha fedha…..Baada ya hapo nikaanza kujihisi mabadiliko katika mwili wangu na kwakipindi hicho nilikuwa nikiihi kwa jirani zangu huku nikiendelea kulishughulikia swala la bibi.Kunasiku nilianguka kwenye chumba cha mtihani wa mwisho na kukimbizwa hospitalini nikajulikana nilikuwa ni mjamzito wa wiki moja na nusu.Nilizidi kuchanganyikiwa kwa uchungu na sikuwa na jinsi ikanibidi niweze kuitoa mimba aliyonipa mchungaji japo natambua nilifanya kosa mbele za Mungu ila sikuwa na jinsi…..”
 
Sura ya Sheila ilitawaliwa na machozi na kunifanya na mimi kwa mbali machozi kunilengalenga kwani kwa jinsi nilivyo mchululia baada ya kuiona CD yake sivyo alivyo.
 
“Nilitumia kidonge fulani hata jina silikumbuki alinipa dokta mmoja aliyekuwa akifanya kazi na bibi…..Lengo la dokta lilikuwa ni kunitaka kimapenzi na baada ya mimba kutoka akaniomba anisafishe ili kizazi changu kisiharibike…Ila kipindi anamaliza kunisafisha aliniingilia kinguvu hadi akafanikiwa kunibaka….Basi ilinibidi nianze kufanya kazi ya kuuza mwili wangu huku pesa ninayo ipata ninamlipia bibi pesa ya kukaa wodini kwani hata ningesema nimrudishe nyumbani hatukuwa na pakuishi……

Mwaka jana mwezi wa pili nikakutana na hao jamaa kupitia Facebook na wao ni waongozaji wa movie za ngono wanao chipukia nchini Marekani……Nikawasiliana nao na nikawaelezea maisha yangu kuwa nina mgonjwa nina muhudumia ikawalazimu wao kuja huku Tanzania kwani walinihitaji mimi niwafwate ule na wakakodisha nyumba hii na kulipa pango kwa miaka mitatu.Ndipo hapo nikajikuta nikiigiza filamu hiyo ili lengo langu bibi yangu nimuuguze apone……..Siku ambayo ninatoka kuwasindikiza jamaa Airport na tayari walisha nipa changu ndipo nesi mmoja akanipigia simu na kunipa taarifa kuwa bibi yangu amefariki dunia”

Nikajikuta nikishusha pumzi taratibu huku jicho mmoja likichuruzikwa na machozi na kujikuta nikitoa kitambaa na kujifuta machozi
 
“Eddy nililia sana tena sana kwani juhudi zangu za kuuza mwili wangu na kufanya shunguli za kishenzi ila sikuweza kutimiza adhima yangu ya kuyaokoa maisha ya bibi yangu…..Inaniuma tena sana”
 
Sheila alizungumza kwa uchungu na kuitupa glasi ya maji chini na kunyanyuka na kuanza kuikanyaga glasi hiyo kwa kutumia miguu yake iliyo vaa kandambili(malapa).Ikanibidi nimshike kwa nyuma Sheila kumzuia kuendelea kuikanyaga galsi hicho kisha nikanyanyua na kumlaza juu ya kochi kabla sijanyanyuka akanivuta shati na tukabaki sura zetu zimesogeleana huku kila mmoja akimwagikwa na machozi.Nikaushusha mdomo wangu taratibu kuelekea zilipo lipsi za Sheila  ila akaukwepa mdomo wangu na kujikuta mdomo wamgu ukitua kwenye shavu lake.

 
“Samahani Sheila”
“Hapana hujanikosea”
Sheila akaniomba anyanyuke kisha taratibu akanishika mkono na kuninyanyua na kuelekea chumbani kwake.Akanikalisha kitandani na kufungua droo yake na kutoa Laptop na kuja nayo kitandani akaiwasha na akaanza kufungua fungua mafile na kuweka filamu aliyo icheza.
 
“Hii filamu walinitumia kwenye mtandao baada ya kumaliza kuifanyia Editing”
“Na walikulipa kiasi gani?”
“Ni siri yangu nimekuamini kwenye mambo mengine ila sio pesa”
“Kweli ni ngumu kuniamini mimi kwani ndio leo tumekutana na nikapata bahati ya kuyajua masha yako ya kiundani”
“Ni kweli uachokizungumza”
“Hivi yule jamaa ulimkata uume wake kweli au?”
 
“Hapana kuna vitu walifanya wakampaka paka kama damu kisha ile niliyokuwa ninakula iliyokaa kama uume ilikuwa ni keki iliyotengeneza kwa mfano wa uume”
“ Weee inamaana sio kweli ulipokuwa ukiitafuna kwa madoido?”
“Ndio sio kweli mambo mengine wezetu wapo mbali katika maswala y utengenezaji wafilamu”
 “Ndio sio kweli mambo mengine wezetu wapo mbali katika maswala ya utengenezaji wafilamu”
 
Tukaendelea kutazama filamu ya ngono aliyocheza Sheila na kunifanya taratibu hamu ya kufanya mapenzi kuanza kunipanda na kujikuta mkono wangu mmoja nikiupeleka kwenye kifua chake na kuanza kuyachezea maziwa yake yaliyojazia vizuri kuanza kuyaminya minya taratibu,Sheila akanitazama kwa sekunde kadhaa kisha akaushika mkono wangu uliopo kwenye kifua chake na kuuweka pembeni kwenye kitanda na akanyanyuka kitandani na kufungua kabati lake na kurudi akiwa na pakti za tano za kondom.
 
“Eddy natambua wewe ni mwanaume rijali ambaye ukiona vitu kama hivi ni lazima usisimke mwili wako…..Nakupenda na sitaki nikuharibie maisha yako kama yalivyo haribika ya kwangu japo hujanisimulia historia ya maisha yako”
 
“Sijakuelewa bado?”
“Nina maana yangu kuzungumza hivyo nahitaji nijue maisha yako kiujumla na wazazi wako?”
“Ahaaa mimi nimezaliwa katika familia ya maisha ya kawaida sana,Mama yangu ni mwalimu na baba yangu nimuuza nafaka….Husafiri kwenda mikoani kununua magunia ya mchele,mahindi na vitu vitu vingine na huvileta hapa Dar na kuviuza na kwetu mimi nipo peke yangu”
 
“Ahhh kwa hapa Dar unaishi wapi?”
“Mbagala rangi tatu”
Ilinilazimu kumdanganya Sheila kwani katika maisha yangu huwa sipendi kumuhadisia mtu juu ya ukweli wa wazazi wangu na uwezo walionao.Sheila akasimama na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine na akabaki kama alivyo zaliwa kisha na mimi nikazivua nguo zangu kwa haraka na kubaki mtupu.Sheila akaishika Koki yangu na kuanza kuinyonya ratatibu huku akizilamba lamba kokwa zangu zilizopo chini ya koki yangu na kuifanya mwili mzima kusisismka kwa raha.Nikamlaza kitandani na kuyapanua mapaja yake na taratibu ulimi wangu nikaanza kuupeleka kwenye ikulu yake ila Sheila akajiziba na mkono.
 
“Usininyonye”
“Kwa nini?”
“Huwa sipendi kunyonywa”
Ikanilzimu kuingiza kidole kimoja kwenye ikulu yake na kuanza kukichezesha kwa utaalamu mkubwa na kumfanya Sheila kuanza kutoa vilio vya raha.Sheila akatoa kondom kwenye kipakti chake na kunivisha kisha akaishika koki yangu na kuingiaza kwenye ikulu yake taratibu huku miguu yake akiwa ameipanua.Shughuli ikaanza taratibu huku nikiwa na hamu ya kummuonyesha Sheila ujuzi nilionao kwenye mambo ya mechi za wakubwa kwani kwa jinsi filamu yake inavyoonyesha ni mjuzi na mtaalamu wa haya mambo kupita maelezo.
 
Mechi ikawa ni piga nikupige kila mmoja akijitahidi kumuonyesha mwenzake shughuli pevu kiasi kwamba ndani ya dakika arobaini na tano tuajikuta miili yetu ikiwa imelowana kwa jasho kiasi kwamba shuka tulilolilalia limelowa kwa jasho letu na Sheila akajikuta amenilalia kifuani kwagu baada ya mzunguko wa kwanza kuisha.
 
“Eddy”
“Naam”
“Mmmm nimekukubali”
“Umenikubali na nini?”
“Shughuli unaijua”
“Wewe mwenyewe umenipeleka”
“Mmmm wewe ndio umenipeleka hadi pumzi zikawa zinaniishia……Tangu nianze kuwajua wanaume sikufichi wewe ndio umenifikisha pale ninapo pataka”
“Kweli?”
“Kweli Eddy…..Sijawahi kumsifia mwanaume ila kwako nimelazimika kufanya hivyo”
“Kwa nini walikuwa hawakufikishi?”
 
“Kipindi nilipokuwa ninafanya biashara ya kujiuza tulikuwa tunafanya mapenzi kwa muda ili mtu uweze kuwahi wateja wengine,Kwahiyo ile ladha yenyewe ya mapenzi mtu ulikuwa huipati kutokana kuna mikaao ukimuwekea mwanaume hazipiti dakika hata kumi ni lazima akojoe”
 
“Eheeee!”
“Kweli na mimi leo nimejitahidi kukuwekea wewe ila mikao yote umeweza kujizuia hadi mimi mwenyewe nikawa nimechoka kupita maelezo”
“Pole”
 
“Asante mwaya…..Unajua katika swala zima la kupeana raha siku zote kila mwanamke anahitaji watu wa aina yako wanaume wengi huwa hawawafikishi wake zao kikamilifu……Utakuta mwengine anajizuia vizuri ila ni mvivu kupita maelezo akikuweka mikao miwili basi unamkuta anahema kama bata mzinga na shuguli yote anakuachia mwanamke”
 
“Sheila wewe kiboko lakini….Kuna mkao wako Fulani umeniwekea nikajiuliza hivi hapa sinto kuvunja shingo kweli ila nimejikuta nimeridhika”
“Mkao upi?”
 
“Ule ulioweka mikono chini na mimi nimesimama na kuyashika mapaja yako kwa juu”
“Ahaaa…..nisikudanhanye ile ndio mikao yangu ya mwisho mwisho katika mechi nikiona umwanaume unashindwa kuhimili basi najua wewe unahitilafu”
 
“Alafu nimekumbuka…..Mbona ulikataa nisikunyonye?”
“Nina ugonjwa wa YUTIAI nikaona sio vizuri kukuacha unyonye na kupata bacteria”
“Mmmmmm pole”
 
“Asante….Ngoja nikaandae chakula”
Sheila akashuka kitandani na kutoka chumbani kwake na kuniacha mimi nikichezea chezea laptop yake.Kwa uzuri wa Sheila huwezi kuamini kama alikuwa anafanya biashara ya ngono,Nikanyanyuka kitandani na kujifunga taulo lililokuwa limening’inizwa kwenye kamba msumari uliopo nyuma ya mlango na kutoka kwenda sebleni.Nikamkuta Sheila jikoni akikaanga mayai na soseji huku akiwa amejifunga khanga moja na kuyafanya makalio yake kujichora vizuri kiasi kwamba mwili ukaanza kunisisimka.Nikamfuata na kumshika kwa kiuno kwa nyuma na kuanza kukiminya minya taratibu.
 
“Eddy bwana tulia”
“Mmmmm kigogo tuu”
“Eddy unajua nitaunguza hivi vitu huku jikoni”
“Sawa ngoja nikuache”
“Umekasirika?”
“Hapana wewe endelea tu, si hutaki nikushike”
“Njoo”
 
Sheila akanivuta mkono na kunipiga busu la mdomoni kisha akaanza kuninyonya lipsi zangu taratibu huku mkono wake mmoja akiupeleka kwenye koki yangu na kunishika taratibu na kuanza kuiminya minya.
 
“Ohhh unaunguaza”
Sheila akaiachia koki yangu na kugeuza geuza vitu anavyo vipika kisha akaviepua na kuzima jiko lake la umeme na kunigeukia.
 
“Tule au tunanilio kwanza…..?”
Sheila aliniuliza huku akiibinua midomo yake na kumfanya azidi kuonekana mzuri kiasi kwamba nikajikuta nikiwa sina jibu la kumpa.
 
“Eddy Eddy”
“Naam”
“Mbona umeduwaa?”
“Natazama hizo dimpozi zako”
“Ndio zinakufanya uduwae kiasi hicho?”
“Ndio”
“Haya twenda tukale”
 
Takasaidiana kubeba vyakula alivyopika Sheila na kuviweka kwenye meza ya chakula kisha akatoa juisi ya matunda kwenye friza na kuiweka mezani na taratibu tukaanza kula.
 
“Eddy hivi unamchumba?”
“Sina mchumba”
“Nyinyi vijana wa bongo ndio zenu ukiulizwa unamchumba unasema huna”
“Kweli siwezi kukudanganya”
“Mbagala yote hiyo umeshindwa kupata mchumba?’
“Nilikuwa naye ila nimeachana naye”
“Kwa nini uachane naye?”
“Hajatulia na anapenda penda sana hela”
“Alikufanya kadi ATM?”
“Umejuajee”
“Mshamba huyo”
“Kwa nini?”
 
“Sikuhizi mwanamke hutakiwi kumtegemea mwanaume.Maisha ni kujitaftia ukisema ujibweteke usubirie mwanaume akupe utanyanyasika”
 
“Ni kweli….Je wewe una mwanaume?”
“Tangu niache kazi ya kujiuza sikuwa na haja ya kuwa na mwanaume wa aina yoyote….Namshukuru Mungu nilipima sikukutwa na HIV”
 
Nikabaki kimya nikijaribu kuvuta picha ya wanaume wote alio tembea nao Sheila imekuwa kuwa vipi hajaweza kupata HIV kama anavyosema yeye mwenyewe.
 
“Mbona kimya?”
“Mmmm hongera kwa kuepuka kwenye hilo gonjwa”
“Weee acha tuu yaani hapa niliponimemrudia Mngu wangu na sitaki ujinga na mwanaume ila nimeshangaa wewe umeziteka hisia zangu na nikakuvulia chupi yangu”
“Kweli….?”
 
“Kweli Eddy huwa mimi ni mtu msema kweli na siku zote katika maisha yangu naogopa sana kumdanganya mtu….Ngoja nikuonyeshe kitu”
 
Sheila akasimama na kwenda chumbani kwake na akarudi akiwa amezishika karatasi kadhaa mkononi mwake na kuja kunikabidhi.
 
“Hizo ni karatasi zinazo onyesha vipimo vyangu vya HIV kila baada ya miezi mitatu na mara ya mwisho kupima ilikuwa juzi”
 
Nikaanza kupitia karatasi moja baada ya nyingine na zinaonyesha Sheila hana virusi vya ugonjwa huo nikaziweka pembani na kunyanyuka na kumsogelea Sheila kwenye kiti alicho kaa na kuimnyanyua na kuivuta khanga yake na kuzisogeza sahani za chakula pembani huku nyingine zikianguka chini kisha nikamlanza juu ya meza na kuanza kuichezea ikulu yake kwa kidole kimoja kisha nikashika koki yangu na kuanza kuuingiza kwenye ikulu yake
“Ila Eddy kumbuka nina  UTI?”
“Ila si inaponyeka?”
“Ndio”
“Hakuna tatizo”
 
Mechi ikaanza huku huku safari hii nikiwa ninaipangua mitego ya Sheila anayo niwekea kiasi kwamba katika mzunguko huu wa pili nikajikuta nikiumuonea kupita maelezo na kutokana mimi ndio mchezeshaji mkubwa wa mechi Sheila akajikuta akianza kumwagikwa na machozi ya furaha na sikujua ni kwanini machozi hayo yanamwagika.Nikambeba na kumuweka kwenye sofa na kazi ikaendelea huku nikijitahidi kumpagawisha Sheila hadi ikafikia kipindi akaniomba apumzike.
 
Mapumziko tukaenda kuyafanyia chumbani na baada ya mida mechi ikaaendelea kiasi kwamba tukajikuta tumechoka zaidi ya mara ya kwanza huku tumboni mwangu nikijihisi njaa kunitawala.Hadi mechi inaisha hakuna mwenye hamu na mwenzake,tukanyanyuka kiuvivu vivu na kuingia bafuni tukaoga na kurudi kitandani ambapo Sheila akabadilisha shuka na kuweka shuke jengine safi na sote tukalala.Kutokana na ndoto mbaya niliyoota ya baba kumuua mama kwa kutumia kisu nikaijkuta nikishtuka huku jasho likinimwagika na kukaa kitandani.Saa ya ukutani inaonyesha ni tisa usiku.
 
“Eddy una nini?”
“Nimeota ndoto mbaya”
“Ndoto gani?’
“Baba anamuua mama kwa kumchinja”
“Usiwaze sana ni ndoto tuu”
“Kweli ila nimewaacha wakiwa hawana maelewano vizuri”
“Mmmm si unasimu?”
“Ndio”
“Hembu mpigie mama”
Nikashuka kitandani na kuitoa simu yangu kwenye mfuko wa suruali yangu na kumpigia mama,simu yake ikaita kwa muda kisha akaipokea
 
“Shikamoo mama”
“Marahaba vipi mbona usiku usiku”
“Nilitaka kukusalimia kwani hapa ndio ninatoka darasani kujisomea”
“Ahaa mimi nipo salama ila kesho ninakwenda kuonana na baba yako Pakistani”
“Kuna nini?”
“Kuna maswala nataka nikayaweke sawa”
“Ninakuomba usiende mama yangu”
“Kwa nini?”
 
“Mmm sipendi tu uende huko Pakistani”
“Ni mara moja kwani ninamuwakilisha Raisi kwenye ziara yake kuonana na waziri mkuu wa nchi hiyo”
“Mama….”
“Eddy iyo ni kazi mwangu”
“Unaondoka saa ngapi?”
“Mchana na ndege ya shirika la KLM”
“Mama nakuomba usionane na baba”
“Eddy kwanini unazungumza hivyo?’
“Nakuomba sana mama yangu usionane na baba huko Pakistani”
 
“Sawa mwanangu….Jitahidi kusoma kwa juhudi sawa baba?”
“Ndio mama nimekuelewa”
Nikakata simu na kubaki nikiitazama nikashtukia kibao kizito kutoka kwa Sheila na kujikuta nikimtazama kwa mshangao
“Eddy wewe ni muongo”
“Kwa nini…..!?”
 
“Umenidanganya wazazi waako ni watu wa maisha ya kawaida kumbe mama yako ni muwakilishi wa Raisi.Wewe umeona ukiniambia ukweli mimi nitafanyaje?” Sheila alizungumza kwa hasira huku machozi yakimtoka.
 
“Katika maisha yangu nawachukia watu waongo sana.Nimedanganywa sana na wanaume,wewe umenidanganya juu ya familia yako unadhani afya yako si utakuwa pia umenidanganya?”
“Shee..ila naku…..”
“Huna cha kuniomba Eddy.Wewe ni muongo nakuomba utoke ndani kwangu sasa hivi”
“Sheila nakuomba unipe nafasi nijielezeee”
“SITAKI NASEMA EDDY TOKA NDANI KWANGU”
 
Sheila alizungumza huku akinisukuma kitandani na sikuwa na kipingamizi nikashuka huku machozi yakinilenga lenga na kuichukua surualia yangu na kuivaa taratibu.Nikachukua shati langu na kuliweka begani na huku begi langu nikiwa nimelishika mgongoni.
 
“Sheila ninaondoka huu usiku na umenifukuza mimi kama mwizi…Ila ninakuombea maisha mema.Mimi ngoja nikalale pembeni mwa geti lako ili huu usiku upite nakuomba kwa hilo”.
 
Nilizungumza huku machozi yakinimwagika na nikafungua mlango na kutoka taratibu huku nikiwa siamini kiu kilicho nitokea

ITAENDELEA...
RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 17 & 18 ( Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea ) RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 17 & 18 ( Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea ) Reviewed by Unknown on 21:02:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.