Rais mbabe au viongozi wa dini waoga?



TAIFA linahitaji uponyaji, maombezi na maonyo kutoka kwa viongozi wa dini zote, anaandika Mwandishi Wetu. Huduma hizo zinahitajika mno sasa kuliko wakati mwingine, kwa kuwa zipo dalili kwamba Tanzania sasa inaelekea kuwa dola la kipolisi linaloendeshwa kwa mkono wa chuma wa mtu mmoja. Kwa muda mrefu, viongozi wa dini wamekuwa na heshima ya kusikilizwa na ...

Source: MwanahalisiRead More 
Rais mbabe au viongozi wa dini waoga? Rais mbabe au viongozi wa dini waoga? Reviewed by WANGOFIRA on 20:51:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.