search Yanga yawafuta machozi mashabiki wake

Dar es Salaam. Walikuwa wapi? Ndilo swali unaloweza kuwauliza wachezaji wa Yanga baada ya kucheza kwa nidhamu na kuilaza MO Bejaia ya Algeria kwa bao 1-0 katika mchezo wa raundi ya tano wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

Source: MwananchiRead More 
search Yanga yawafuta machozi mashabiki wake  search Yanga yawafuta machozi mashabiki wake Reviewed by WANGOFIRA on 20:55:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.