MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI 10,027 WALIOKOSEA KUJAZA FORM ZA MIKOPO BODI YA MIKOPO 2016/2017

Image result for bodi ya mikopo  

KUONA MAJINA HAYO  <<BONYEZA HAPA--PDF>>


SOMA TAARIFA KAMILI  

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza majina ya wanafunzi2016/2017, waliokosea kujaza form za mikopo kwa kutokuweka vitu muhimu kama  sahihi za muombaji na sahihi za wadhamini wao.Kwa sababu hiyo kundi la hawa watu wanatakiwa kufika moja kwa moja ofisi ya bodi ya mikopo kuweka sahihi hizo.

Ofisi za bodi ya mikopo zipo Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge, Dar es Salaam.

Wote mliokosea mnatakiwa kufika katika ofisi za bodi ya mikopo kuanzia tarehe 3 jumatatu asubuhi kwa ajili ya kuviweka.

Lakini wale wote ambao hakuweka picha,vyeti ,picha za wadhamini ,vyeti ambavyo havijakikiwa na mahakama wanatakiwa kutuma vitu hivyo  kwa anwani ya EMS kwenye anwani ifuatayo; 
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.


Pia bodi inawahasa wanafunzi kuwa kusahihisha information za mikopo sio gurantee kwamba ndio utapata mkopo.

pia kama hautasahihisha information zako,itaendelea kuwa hivyo hadi utakapoamua kusahihisha. 
 

DEADLINE YA KUREKEBISHA NI TAREHE 7/10/2016 

NOTE:LINK IPO POA,DOWNLOAD
 
KUONA MAJINA HAYO  <<BONYEZA HAPA--PDF>>
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI 10,027 WALIOKOSEA KUJAZA FORM ZA MIKOPO BODI YA MIKOPO 2016/2017 MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI 10,027 WALIOKOSEA KUJAZA FORM ZA MIKOPO BODI YA MIKOPO 2016/2017 Reviewed by Unknown on 20:26:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.