Mfereji wa Panama wafunguliwa


 Meli kubwa ya kichina imeanza kupita katika mfereji wa Panama ikifanya safari yake ya kwanza kwenye mferejii huo uliofanyiwa ukarabati wa kuupanua uliochukua karibu miaka kumi.
Maelfu ya watu walipeprusha bendera wakati chombo hicho kinachosheheni zaidi ya mabohari 9,000 kiliingia mfereji huo kikitokea bahari ya Atlantic.

 


Meli hiyo itachukua saa chache kuvunjika na kuingia bahari ya Pacific ambapo viongozi wanane watahudhuria shere za kufunguliwa kwa mfereji huo wa Panama.
Mradi huo utaongeza mara dufu idadi ya meli wanaopita na kupunguza gharamna ya usafiri wa haharini kwa mabilioni ya dola kila mwaka.


CHANZO  BBC
Mfereji wa Panama wafunguliwa Mfereji wa Panama wafunguliwa Reviewed by Unknown on 08:55:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.