CHUO CHA ST. FRANSIS CHAFUKUZA WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA YA UDAKTARI MWAKA WA TATU

35


Chuo Kikuu cha St. Francis ambacho ni tawi la Chuo Kikuu cha St. Augustine kimewafukuza wanafunzi wote waliokua wakisoma katika kitivo cha Medical Science.
Chuo hicho kimefikia hatua hiyo baada ya kueleza sababu 5 kwanini wanafunzi hao hawatakiwi kuwapo chuoni baada ya saa kumi jioni ya jana.
Nimeambatanisha na taarifa ya kufukuzwa kwa wanafunzi hao. 

 IMG-20160519-WA0083
CHUO CHA ST. FRANSIS CHAFUKUZA WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA YA UDAKTARI MWAKA WA TATU CHUO CHA ST. FRANSIS CHAFUKUZA WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA YA UDAKTARI MWAKA WA TATU Reviewed by WANGOFIRA on 20:56:00 Rating: 5
Powered by Blogger.