BASI LA MWENDO KASI LAUA MMOJA DAR

 
Basi la mwendo kasi ( DART) limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo.Inaelezwa kuwa ajali hiyo imesababishwa na mwendesha bodaboda kuwa mzembe.



Ajali hiyo imetokea leo katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam.
Dereva wa gari la mwendo kasi amesema mwendesha bodaboda alikatiza wakati taa zikiwa zimeruhusu basi kupita 

 
 
 
Pikipiki iliyohusika kwenye ajali hiyo 
BASI LA MWENDO KASI LAUA MMOJA DAR BASI LA MWENDO KASI LAUA MMOJA DAR Reviewed by WANGOFIRA on 20:33:00 Rating: 5
Powered by Blogger.