MICHE YA MITI YA MATUNDA KUPOKELEWA WILAYANI MEATU MAPEMA LEO.

















Baadhi ya wakazi wa jimbo la kisesa mkoani Simiyu katika picha pamoja na miche ya miti ya matunda waliyo ipokea kutoka serikalini kupitia Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira

Afisa Misitu wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Bw. Sunday Anut akipanga miche ya miti ya matunda kitaalamu leo, baada ya kuipokea Wilayani humo mapema leo.

Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu wakishusha miti ya Matunda kutoka kwenye gari iliyoibeba mapema leo, miti hiyo walihaidiwa na Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.


Bw. Paschal Lugali, mfanyakazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Meatu akipanga miche ya miti ya matunda mapema leo, ikiwa ni ahadi ya serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira.




Afisa Misitu Mwandamizi kutoka Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Raisi bw. George Kafumu akiangalia miche ya miti ya matunda baada ya kuiwasilisha katika Halmashauri ya Wilaya ya Meatu mapema Leo.
(PICHA ZOTE NA OMR)


MICHE YA MITI YA MATUNDA KUPOKELEWA WILAYANI MEATU MAPEMA LEO. MICHE YA MITI YA MATUNDA KUPOKELEWA WILAYANI MEATU MAPEMA LEO. Reviewed by WANGOFIRA on 01:26:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.