KILICHOJILI LEO MLIMANI TV KWA WAGOMBEA WA URAIS NA UMAKAMU WA RAIS DARUSO.

Mgombea Urais wa DARUSO kwa mwaka 2016/17, Bwana Bahemu Dadley Akinadi sera zake kwenye mahojiano ya moja kwa Moja yaliyofanywa na Mlimani TV katika kipindi cha Jahara, kipindi kinachorushwa kila siku na kituo hicho kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa tatu kamili.
Mgombea Urais wa DARUSO kwa mwaka 2016/17, Bwana Bahemu Dadley Akifafanua jambo wakati wa mahojiano ya moja kwa Moja yaliyofanywa na Mlimani TV katika kipindi cha Jahara, kipindi kinachorushwa kila siku na kituo hicho kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa tatu kamili.


Mgombea Urais wa DARUSO Bwana Joseph Isack, akifafanua jambo kwa mwendesha kipindi Munira Hussein, wakati wa mahojiano ya moja kwa moja yaliyofanywa na Mlimani Tv, Kwenye Kipindi cha Jahara kinachorushwa kila siku majira ya saa moja kamili mpaka saa tatu kamili asubuhi.
Mgombea wa Nafasi ya Urais wa DARUSO Bwana Erasmi Leon akifanya mahojiano ya moja kwa moja na Mlimani TV asubuhi ya Leo katika kipindi cha Jahara, kinachorushwa na Mlimani TV kila siku kuanzia saa Moja kamili Asubuhi mpaka saa tatu kamili Asubuhi.
Muongozaji wa kipindi Munira Hussein akifafanua jambo kwa mtazamaji wa Mlimani TV wakati wa mahojiano ya Moja kwa moja kutoka mlimani Tv, kwenye kipindi cha Jahara kinachorushwa na kituo hicho kila siku kuanzia saa 1 kamili Asubuhi hadi saa tatu kamili Asubuhi.


Mgombea wa Nafasi ya Umakamu wa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam DARUSO Jackline Kavishe akinadi sera zake kwenye Mahojiano ya Moja kwa moja yaliyofanywa na kituo cha Mlimani TV, kwenye kipindi cha Jahara kinachorushwa kila siku kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa tatu kamili asubuhi.
Mgombea wa Nafasi ya Umakamu wa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam DARUSO Jackline Kavishe akifafanua jambo wakati wa Mahojiano ya Moja kwa moja yaliyofanywa na kituo cha Mlimani TV, kwenye kipindi cha Jahara kinachorushwa kila siku kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa tatu kamili asubuhi.

PICHA ZOTE NA WANGOFIRA BLOG

KILICHOJILI LEO MLIMANI TV KWA WAGOMBEA WA URAIS NA UMAKAMU WA RAIS DARUSO. KILICHOJILI LEO MLIMANI TV KWA WAGOMBEA WA URAIS NA UMAKAMU WA RAIS DARUSO. Reviewed by WANGOFIRA on 00:19:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.