MWANDISHI WA HABARI ALIYETEKWA APATIKANA




Mwandishi anayewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na gazeti la Mwananchi aliyetekwa na watu wasiojulikana siku ya ijumaa wiki hii, amepatikana. 

Kamanda wa polisi wa Dar es salaam Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo. 

Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma yumo anatoa maelezo polisi Dar es Salaam. 
Taarifa zaidi tutawaletea kadiri zinavyopatikana..
MWANDISHI WA HABARI ALIYETEKWA APATIKANA MWANDISHI WA HABARI ALIYETEKWA APATIKANA Reviewed by WANGOFIRA on 20:31:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.