News Alert!! MBUNGE WA NYAMAGANA,MWANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI YA GARI NA TREKTA

Watu watano akiwemo mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi John Dotto  na mbunge wa Nyamagana Mkoani Mwanza Stanslaus Mabula wamenusurika kifo baada ya kupata ajali eneo la Dumila mkoani Morogoro


Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo imehusisha gari lao kugongana na Trekta lililokuwa likingia bila tahadhari barabara kuu .


Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.

 Chanzo: Mwandishi wa ITV Morogoro Vedasto Msungu


Tutawaletea taarifa kamili hivi punde
News Alert!! MBUNGE WA NYAMAGANA,MWANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI YA GARI NA TREKTA News Alert!! MBUNGE WA NYAMAGANA,MWANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI YA GARI NA TREKTA Reviewed by Unknown on 20:48:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.