MWANAMUZIKI VANESSA MDEE AACHIWA KWA DHAMANA POLISI DAWA ZA KULEVYA

Mwanamuziki Vanessa Mdee maarufu Vee Money ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam baada ya kuwa ameshikiliwa kwa takribani wiki moja kufuatia tuhuma ya dawa za kulevya inayomkabili.



Mdee aliachiwa jana jioni ambapo anatuhumiwa kutumia na kusambaza dawa za kulevya. Alishikiliwa na Polisi tangu juma lililopita baada ya kwenda kuripoti kufuatia kutajwa kwenye orodha ya watuhumiwa wa dawa hizo iliyosomwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Slaam, Paul Makonda.
MWANAMUZIKI VANESSA MDEE AACHIWA KWA DHAMANA POLISI DAWA ZA KULEVYA MWANAMUZIKI VANESSA MDEE AACHIWA KWA DHAMANA POLISI DAWA ZA KULEVYA Reviewed by WANGOFIRA on 20:23:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.