NAIBU WAZIRI HABARI APOKEA VITABU VYA KUHAMASISHA JAMII HURU ISIYOTUMIA DAWA ZA KULEVYA NA KUHIFADHI MAZINGIRA


 Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (wa pili kulia) akisalimiana na Bw. Kishor Thakrar kutoka  Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru  isiyotumia Dawa za Kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii walipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kumpatia vitabu vinavyohamasisha jamii iliyo huru, leo jijini Dar es Salaam. 
 Bw. Kishor Thakrar kutoka Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru  isiyotumia Dawa za Kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii (kulia) akizungumza na Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura alipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kumkabidhi vitabu vinavyotoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya Dawa za  Kulevya pamoja na uharibifu wa mazingira leo jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (wapili kulia) akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru isiyotumia Dawa za Kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii walipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuwasilisha vitabu wanavyovitumia kutoa elimu hiyo kwa jamii hasa katika shule za msingi na sekondari leo jijini Dar es Salaam. 
 Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (wapili kulia) akipokea vitabu vinavyotumika kuhamasisha jamii hasa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kujiepusha na matumizi ya Dawa ya Kulevya pamoja na kuhifadhi mazingira kutoka kwa ujumbe kutoka Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru isiyotumia Dawa ya Kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. 
   Bibi. Sarla Thakrar kutoka Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru isiyotumia Dawa ya Kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii (katikati) akimuonyesha Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) moja ya vitabu vinavyotumika kuwaongoza vijana kuwa huru na kuacha kutumia madawa ya kulevya walipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuwasilisha vitabu hivyo ili viweze kutumiwa na jamii leo jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (wapili kulia) akiangalia picha za matukio mbalimbali yanayofanywa na Kampuni ya Shree All World Gayarti Pariwar inayohamasisha jamii huru isiyotumia madawa ya kulevya, kutunza na kuhifadhi mazingira pamoja na kuwa na mazoezi ya afya kwa jamii walipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam.


Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM
NAIBU WAZIRI HABARI APOKEA VITABU VYA KUHAMASISHA JAMII HURU ISIYOTUMIA DAWA ZA KULEVYA NA KUHIFADHI MAZINGIRA NAIBU WAZIRI HABARI APOKEA VITABU VYA KUHAMASISHA JAMII HURU ISIYOTUMIA DAWA ZA KULEVYA NA KUHIFADHI MAZINGIRA Reviewed by WANGOFIRA on 08:34:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.