MATUKIO YA FIESTA 2016 DAR ES SALAAM....CHID BENZ AIBUKIA JUKWAANI

Ikiwa imetimia ile sku ya Show kubwa iliyotarajiwa na wa Tanzana wengi "Fiesta" nimekuwekea picha zote za kwenye matukio ya kwenye show hiyo.Fiesta hiyo ambayo imepambwa na wasanii wengi kutoka BONGO na wasanii wa Nigeria Yemi Alade, Tekno na msanii wa Uganda Joseph Chameleon.

Wasanii wengine wakubwa kutokea Tanzania ni Roma, Stamina, Rayvany,jux, madee, chege, nandy, maua barnaba na wengine kibao.

TAZAMA PICHA HAPA
Msanii Nandy hotmaker wa "Nagusagusa" akifanya yake jukwaani




Maua Sama akiwa katika jukwaa akionyesha umahiri wake wa sauti nzuri mbele ya jukwaa

Msanii Juma "JUX" Akiwa amepamba jukaa na style ya kipekee ya uimbaji.


Msami akiwa na madansa wake mbele ya mashabiki wakionyesha umahir wa kucheza na kuimba.


Mama wa Benny Paul naye hakupenda kubaki nyuma kwani na yeye aliweza kumleta ,toto wake Ben Paul kwenye Fiesta 2016.



Rayvany akiwa katika Pozi backstage.








Chid Benzi akiwa jukwaani akitoa vionjo baada ya kutokea kama ya suprise kwa mashabiki wake kwenye Fiesta




Msanii TEKNO kutokea nigeria akifanya yake jukwaani
MATUKIO YA FIESTA 2016 DAR ES SALAAM....CHID BENZ AIBUKIA JUKWAANI MATUKIO YA FIESTA 2016 DAR ES SALAAM....CHID BENZ AIBUKIA JUKWAANI Reviewed by WANGOFIRA on 21:40:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.