BREAKING NEWS; MATOKEO YA FORM SIX YATOKA, YOTE YAPO HAPA
Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,
Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.
Shule 10 zilizofanya vizuri: Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba
KUANGALIA MATOKEO<<<<<<<BOFYA HAPA>>>>>>>>>
BREAKING NEWS; MATOKEO YA FORM SIX YATOKA, YOTE YAPO HAPA
Reviewed by WANGOFIRA
on
01:57:00
Rating:
No comments: