Kesi ya Aliyemtukana Rais Magufuli Facebook Kuanza Kusikilizwa Mfululizo Leo


Kesi inayomkabili Isaac Abakuk ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook jana June 07 2016 ilishindwa kuendelea kutokana na upande wa Jamhuri kutokamilisha ushahidi na kuiomba Mahakama kuahirisha shauri hilo hadi leo June 08 2016. 


Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Augustine Rwezire wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha alikubali ombi hilo na kuahirisha kesi hiyo ambapo inatarajiwa kuanza kusikilizwa mfululizo. Mshtakiwa anaendelea kuwa nje kwa dhamana kusubiri kesi yake itakapotajwa.
Kesi ya Aliyemtukana Rais Magufuli Facebook Kuanza Kusikilizwa Mfululizo Leo Kesi ya Aliyemtukana Rais Magufuli Facebook Kuanza Kusikilizwa Mfululizo Leo Reviewed by WANGOFIRA on 21:00:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.