NAIBU WAZIRI ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI RUVU.

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina  akipanda Miti katika Hifadhi ya Msitu  wa ruvu kaskazin uliyopo kibaha Mkoani Pwani mapema hii leo,wengine ni Baadhi ya wakurugenzi wakishuhudia Upandaji huo.

 
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akitoa maelekezo kwa Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya  Maliasili na Utalii Injinia Angelina Madete( katikati) kuhusu upandaji miti katika sehemu mbalimbali katika hifadhi ya misitu kibaha Mkoani Pwani,mapema hii leo katika siku ya upandaji miti.
 
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkururugenzi wa Idara ya Misitu na nyuki kutoka Maliasili Bi. Gladness Mkamba mapema  leo katika kuadhimisha siku ya upandaji miti iliyofanyika ruvu kaskazini Mkoani Pwani
NAIBU WAZIRI ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI RUVU. NAIBU WAZIRI ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI RUVU. Reviewed by WANGOFIRA on 12:03:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.