KUHUSU KUPANDISHWA KWA VIWANGO VYA UFAULU (GRADE RANGES)

                                  BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

                                                   

    VIWANGO VYA UFAULU (GRADE RANGES) ZA MITIHANI HAZIJABADILIKA

Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa limebadilisha Viwango vya Ufaulu (Grade Ranges).

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwajulisha watahiniwa na umma kwa ujumla kuwa taarifa hizo ni za UONGO na zinalenga kupotosha umma na kuleta taharuki.

Hivyo, Baraza linaomba umma kuzipuuza taarifa hizo kwa kuwa Baraza halijafanya mabadiliko yoyote kuhusu Viwango vya Ufaulu vinavyotumika sasa.
Imetolewa na,




                         AFISA HABARI NA UHUSIANO
KUHUSU KUPANDISHWA KWA VIWANGO VYA UFAULU (GRADE RANGES) KUHUSU KUPANDISHWA KWA VIWANGO VYA UFAULU (GRADE RANGES) Reviewed by WANGOFIRA on 03:08:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.