HESLB yatoa majina zaidi ya 300 ya waombaji wanaoendelea na masomo kupeleka vyeti vyao vya kuzaliwa.

Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu yaani HESLB imetoa majina zaidi ya 300 ya wanafunzi wanaoendelea yaani continues kwenda kupeleka vyeti vyao vya kuzaliwa vilivyothibitishwa.

Mwisho wa kupeleka vyeti hivyo ni tar 30 novemba 2015. Kuona majina hayo Bofya hapa

Aksanteni kwa kuendelea kutembelea blog hii kwa habari na MAKALA za kusisimua na kukuelimisha.

HESLB yatoa majina zaidi ya 300 ya waombaji wanaoendelea na masomo kupeleka vyeti vyao vya kuzaliwa. HESLB yatoa majina zaidi ya 300 ya waombaji wanaoendelea na masomo kupeleka vyeti vyao vya kuzaliwa. Reviewed by Unknown on 09:43:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.