Video Mpya : P-Square – Bank Alert


Baada ya kuvunjika kwa kundi la P-Square linaloundwa na ndugu wawili, Peter na Paul Okoye huku kila mtu akifanya kazi kivyake, hatimaye kundi hilo limerudi tena kwa wasanii hao kuachia video ya wimbo wao mpya ‘Bank Alert. 

Tazama hapa chini video hiyo.


Video Mpya : P-Square – Bank Alert Video Mpya : P-Square – Bank Alert Reviewed by Unknown on 21:57:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.