Rais wa Zamani wa Zanzibar afariki Dunia leo, Rais Dkt. Magufuli atuma salamu za rambirambi


Rais wa awamu ya pili wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (1972-1984), Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. 

Mzee Aboud Jumbe amefikwa na mauti hayo nyumbani kwake Kigamboni, Jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri wa Muungano amemtumia Salaam za rambirambi Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kwa msiba huu mzito
 

Rais wa Zamani wa Zanzibar afariki Dunia leo, Rais Dkt. Magufuli atuma salamu za rambirambi Rais wa Zamani wa Zanzibar afariki Dunia leo, Rais Dkt. Magufuli atuma salamu za rambirambi Reviewed by WANGOFIRA on 09:05:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.