WAKAZI WA DAR WAPEWA OFA YA KUPEWA VITAMBULISHO VYA UTAIFA

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote wakazi wa Dar es salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya vitambulisho vya uraia siku ya maonyesho ya sababa ya 41 yanayotarajiwa kufanyikia katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini DSM.

Aidha,taarifa hiyo imeeleza kwamba usajili huo utafanyikia kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi Julai 10 mwaka huu.
 
==>Taarifa ya NIDA 
WAKAZI WA DAR WAPEWA OFA YA KUPEWA VITAMBULISHO VYA UTAIFA WAKAZI WA DAR WAPEWA OFA YA KUPEWA VITAMBULISHO VYA UTAIFA Reviewed by WANGOFIRA on 20:49:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.