ORODHA YA WATU 100 WENYE USHAWISHI ZAIDI DUNIANI MWAKA 2017


April 2017 Jarida la Times limetoa list ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani ambapo Rais wa Marekani Donald Trump ,Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Urusi Vladmir Putin wametajwa kama Marais wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2017.

List hii pia ilitaja wanamuziki kama John Legend,Chance the Rapa na Demi Lovato na kwa upande wa wanawake jarida la Times imetaja wanawake 40 wenye ushawishi kwa mwaka 2017 ambapo mshindi wa Olimpiki 2016 simone Biles na Ivanka Trump ni miongoni mwao.





ORODHA YA WATU 100 WENYE USHAWISHI ZAIDI DUNIANI MWAKA 2017 ORODHA YA WATU 100 WENYE USHAWISHI ZAIDI DUNIANI MWAKA 2017 Reviewed by WANGOFIRA on 20:31:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.