Wema Sepetu Atinga Maahakamani....Kesi Yaahirishwa Hadi March 15

Mwigizaji Wema Sepetu leo alienda tena  Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi  15 March 2017 baada ya upande wa Mashtaka kusema upelelezi bado  haujakamilika 
Wema Sepetu Atinga Maahakamani....Kesi Yaahirishwa Hadi March 15 Wema Sepetu Atinga Maahakamani....Kesi Yaahirishwa Hadi March 15 Reviewed by Unknown on 05:15:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.