WAZAZI WALAZIMISHWA KUCHIMBA KABULI, WANANCHI WAKATAA KUZIKA MWILI WA MAREHEMU

Wakazi wa mtaa wa NAMANYINGU kata ya MSHANGANO Manispaa ya Songea Mkoani RUVUMA, wamewalazimisha mume na mke kuchimba kaburi la mtoto wao aitwaye DANROAD MAHUNDI mwenye umri wa miaka 36 ambaye inasemekana wazazi wake wamemuua kwa njia za kishirikina.




WAZAZI WALAZIMISHWA KUCHIMBA KABULI, WANANCHI WAKATAA KUZIKA MWILI WA MAREHEMU WAZAZI WALAZIMISHWA KUCHIMBA KABULI, WANANCHI WAKATAA KUZIKA MWILI WA MAREHEMU Reviewed by WANGOFIRA on 19:40:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.