Tigo yakanusha Manji kuimiliki kampuni hiyo

Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo imekanusha taarifa iliyotolea na gazeti la The Citizen toleo la Februari 22, 2017 kuwa mfanyabiashara Yusuf Manji anamiliki asilimia 99 ya kampuni hiyo.


Tigo imesema taarifa hiyo si sahihi kwa sababu shauri la umiliki wa hisa za kampuni hiyo bado lipo mahakamani.

Hapa chini ni taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti hilo na taarifa kutoka Kampuni ya Tigo.
20170222_061234-1_wmWhatsApp Image 2017-02-22 at 3.03.18 PM (1)WhatsApp Image 2017-02-22 at 3.03.18 PM

Tigo yakanusha Manji kuimiliki kampuni hiyo Tigo yakanusha Manji kuimiliki kampuni hiyo Reviewed by WANGOFIRA on 19:56:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.