Picha: JINSI ALLY KIBA ALIVYOPOKELEWA KISHUJAA DAR BAADA YA KUPATA TUZO YA MTV AFRIKA KUSINI

Ally Kiba akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Afrika Kusini mara baada ya kukabidhiwa tuzo yake ya MTV kama msanii bora wa kiume Afrika
Ally Kiba akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Afrika Kusini mara baada ya kukabidhiwa tuzo yake ya MTV kama msanii bora wa kiume Afrika

Mashabiki wa Ally Kiba ambao walifika katika uwanja wa ndege wa JNA jijini Dar es Salaam wakiwa na mabango kama wanavyoenekana pichani
Kiba akielekea kwenye gari maalum aliyoandaliwa mara baada ya kuzungumza na mashabiki wake
Ally Kiba akiwa na Meneja wake Seven Mosha mara baada ya kuingia katika gari hiyo maalum
Ally Kiba akiwa katika mitaa ya Kariakoo huku akiwa amezunguskwa na mashabiki mbalimbali ambao walipata fursa ya kuona Tunzo yake ya Mtv base kama msanii bora wa kiume Afrika
Mashabiki wa Ally Kiba wakiwa wamezunguka gari ya msanii huyo katika mitaa ya Kariakoo
Ally Kiba akiwa katika mtaa wa Mueza eneo alikokokulia akiwa na Tunzo yake
Ally Kiba akiwa na Ndugu Yake Abdul Kiba juu ya gari la wazi katika mita aya Buguruni
Ally Kiba akimkabidhi Tuzo yake Mama yake mzazi maarufu kama Mama K
Mama K ambaye ni mama mzazi wa Ally Kiba akionyesha Tuzo ya msani huyo juu

Baadhi ya Mashabikiwa Ally Kiba wakiwa katika Pikipiki na shangwe ya Alli ya juu
Picha: JINSI ALLY KIBA ALIVYOPOKELEWA KISHUJAA DAR BAADA YA KUPATA TUZO YA MTV AFRIKA KUSINI Picha: JINSI ALLY KIBA ALIVYOPOKELEWA KISHUJAA DAR BAADA YA KUPATA TUZO YA MTV AFRIKA KUSINI Reviewed by Unknown on 21:00:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.