WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU SAMWEL JOHN SITTA





 Mama Margareth Sitta ambaye ni Mjane wa marehemu Spika mstaafu,  Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mumewe katika kazishi yaliyofanyika Urambo, Tabora, Jumamosi Novemba 12, 2016.
 Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa marehemu  Spika Mstaafu Samuel Sitta     akitupa udongo kwenye kaburi la mwanae katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Tabora  
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika mazishi  yaliyofanyika Urambo.
 Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu,  na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipokuwa ukiteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika urambo, Tabora.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Job Ndugai akiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU SAMWEL JOHN SITTA WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU SAMWEL JOHN SITTA Reviewed by WANGOFIRA on 21:20:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.