WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI 16 YA WATU WALIOFARIKI KWA TETEMEKO LA ARDHI BUKOBAWaziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumapili,Septemba 11,2016amewaongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi lililotokea janaSeptemba 10 mkoani Kagera.


Zoezi hilo la kuaga miili limefanyika katika Uwanja wa Kaitabauliopo Bukoba Mjini mkoani Kagera.

Mpaka sasa jumla ya watu 16 wamefariki dunia na zaidi ya 250 wakijeruhiwa.

SOMA ZAIDI HAPA>>


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumapili,Septemba 11,2016amewaongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi lililotokea janaSeptemba 10 mkoani Kagera.


Zoezi hilo la kuaga miili limefanyika katika Uwanja wa Kaitabauliopo Bukoba Mjini mkoani Kagera.

Mpaka sasa jumla ya watu 16 wamefariki dunia na zaidi ya 250 wakijeruhiwa.

SOMA ZAIDI HAPA>>BOFYA AFYA
WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI 16 YA WATU WALIOFARIKI KWA TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI 16 YA WATU WALIOFARIKI KWA TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA Reviewed by Unknown on 20:56:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.