VIJITABIA

````Vijitabia```
Wapenzi wengi
Sio sifa ni ujinga
Fanya vtu vy msingi
Ktk maisha kujipanga
Gari likitembelea lingi
Ukilalamika huo wanga
  ```Vijitabia```


Kushika sim za watu
Kisha kusoma ujumbe
Ni dalili za akili fyatu
Mtu anajiita jembe
Kijijini hupataki katu
Mwingine kutw pombe
Kuna watu na viatu
  ```Vijitabia```


Kazi kwenu wachunaji
Mkimaliza mnajisifia
Mwili unaufanya mtaji
Wajanja wanakutumia
Kama unadhan n kipaji
Gawa wateja tutanunua
   ```Vijitabia```


Domo km linamkosi
Na wenzio wankusifia
Unatukana matusi
Mpka watu wankimbia
Domo la mwendokasi
Achana na hiyo Tabia
    ```Vijitabia```


Tumechoka na uongo
Kila kitu unawka siasa
Eti mzee wa michongo
Kw mbwembe unatesa
Basi weka mpk bango
Ili tusije kukukosa
Kwa ubishi km mpingo
Kujisifia eti unapesa
    ``` Vijitabia```


Kuringa kumepitiliza
Km unaoga asali
Mbwembw za kingerza
Huna lolote ni tapeli
Kila kitu unakiweza
     ```vijitabia```


Usidharau kaz za watu
Na kujiona uko juu
Eti anaishi kwa upatu
Bora yeye ni nafuu
Acha roho ya kuku
Na tabia za kilikuu
    ```Vijitabia```


Kila kitu unatoa kasoro
Utadhan we umkamilka
Eti anashndia viporo
Na sura kama anawika
Mapnz yk kwny vichchro
Na viguu vy kupachika
Hizi kasoro ni kero
Hujafa hujaumbika
    ```vijitabia``
`
Kama tukikaa wote
Wala haina tatizo
Hebu toka tukutete
Huku utuachie gumzo
Zam ya nani afuate
Tuendelez kamchezo
     ```vijitabia```


Vitu vya kuazima
Vinatutia aibu
Unakosa cha kusema
Unakua km bubu
Akikudai utakoma
Mweny nach hna aibu
    ```vijitabia```


Kumlsha mtu limbwata
Ni dalili ya kutojiamini
Unamfanya km bata
Alafu unachofaidi nini?
Au kipi unachokipata
Ukishamuwka mkononi
    ```vijitabia```


Mapenz ufany mwnywe
Sisi uje utusimulie
Hizo Tania za mwewe
Kubwa zima jitambue
Mshamb mwny kiwewe
Mengine usituambie
      ``` vijitabia```


Kwa kupnda kuhukum
Mengine n ya ulimwngu
Usijifanye mtaalam
Utajiponza ndg yangu
Kujisifia una nidham
una mambo y kizungu
Hutaki hata salam
Mi namuachia Mungu


     ✍🏿Reporter
    *Bea Kusaga*
     0719368158
        Kasuku


VIJITABIA VIJITABIA Reviewed by WANGOFIRA on 12:12:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.