NAJARIBU KUWAZA

*Najaribu kuwaza tu*
 Mimba ngebebw kwa zamu
Kila mwezi inahama
Ingekuepo nidhamu
Na kuoneana huruma
Tungeuona umuhimu
Mtoto si mzgo wa mama
Wanaojiona wataalam
Namba wangeisoma

*Najaribu kuwaza tu*
Uchaw ungehalalishwa
Usafiri usingekua shida
Limbwata tungelishwa
Wenzet wangpat faida
Bei yake ingepndishwa
Kazi ngum kw wadada

*Najaribu kuwaza tu*
Weupe ungekua uzuri
Weusi wangelingia nini
Mbona ingekua hatari
Weupe wangejiamini
Na kuzidisha kibiri
Uzuri w mtu uk machon

*Najaribu kuwaza tu*
Rais angekuwa diamond
Team kiba wapinzani
Makam awe Reymond
Jiulize we ungkua nani
Nchi ingewekw bondi
Tungekuwa hatujulikan
*Najaribu kuwaza tu*

Tunalilia utamaduni
Nguo zao ziko mwilini
Elimu yao iko kichwani
Saa zao zko mikononi
Lugha zao midomoni
Viatu vyao vk miguuni
Cheni zao zko vifuani
Mitaala yao mashuleni
Picha nyuma rudisheni

*Najaribu kuwaza tu*
Wote tungekua na akili
Shule zisinge kuwepo
Mtu kuikataa yk asili
Huwa na sifa ya popo
Mnyama,ndege hatujali

*Najaribu kuwaza tu*
Zisingekuwepo sidilia
Ubora ungepotea
Kandambili zingetokea
Tungekua tumezoea
Kidogo tu unadandia
Hata ivo zinasumbua
Wakati wa kuzitoa

*Najaribu kuwaza tu*
Mungu angeonekana
Kila mmoja kumuona
Maswali kuulizana
Majibu kupeana
Maovu kuumbuana
Wema ungeonekana
Tusinge salitiana
Mabaya kusemana
Na tusinge fatiliana

     ✍🏿reporter
    *Bea kusaga*
    0719368158
       Kasuku
NAJARIBU KUWAZA NAJARIBU KUWAZA Reviewed by WANGOFIRA on 12:20:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.