MWANAMKE

MWANAMKE
Nimshindw kuwa bubu
Nimeona nifunguke
Kwao wao sina tabu
Acha mazuri yanitoke
Ninazo nying sababu
Kumpend mwanawake
     
       Mwanamke
Wana sifa za pekee
Mfano ni wasikivu
Mapozi watuwekee
Km ndege watulivu
Shida tusiwaletee
Ingawa n wavumilivu
Tuwalinde wasipotee
Sifa ya mke ni wivu
Nawaruhus mtudekee


        Wanawake
Mungu katupa agizo
Mbali nami usiende
Wee ndo wang tulizo
Sitoruhusu ukonde
Kisa mm ni kikwazo
Ni haki yng nkulinde
Kwa tungo z bembelezo
Wengine ni dada zetu
Tusiwape sifa mbaya
Wengine wazazi wetu
Viongozi wa kaya
Wanasifa ya utu
Tusiwapake ubaya
Mnakonga mioyo yetu
Tanzania paka ulaya


        Wanawake
Wanawke wakaumbka
Mjini mpaka shamba
Bara, viziwan kadharka
Kw mapsh wanatamba
Wakipika vinapikika
Kwa usafi moja namba
Hasa nywele wakisuka
Haki yao kujigamba
Nyoyo zetu kuzishika
Uwe mkali km simba
Utatulia ht km hujataka


        Wanawake
Hivi ni nan hawapendi?
Twawafanyia utapeli
il twawanatia km gund
Wana radha ya asali
Na wamejaa maufundi
Kuwatunza ni halali
Tusiwe kina ndi ndi ndi
         Wanawake
          
                  ✍🏿reporter
                (B. J. Kusaga)


Ni lazima nikupende
      Mwanamke
Kweli Mungu kaumba
Namaliza na swali
MWANAMKE MWANAMKE Reviewed by WANGOFIRA on 15:05:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.