TV 1 YAWAKUMBUKA WAPENZI WA SOKA NCHINI, SASA KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA


DR.
Ricky
Abdallah ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Soka Nchiniakizungumza na waandishi wa habari kuhusiama na uzinduzi wa kuonyesha Mechi za ligi kuu za Uingereza zitakazokuwa zinaonyeshwa na kituo cha TV 1 kuanzia msimu huu.
Joseph Sayi Mkurugenzi mkuu wa TV 1 akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kuonesha mechi za ligi kuu ya Uingereza zitakazooneshwa kituo cha televisheni cha TV 1 inayopatikana kwenye king'amuzi cha StartimesGillian Rugumamu Meneja masoko wa TV 1 akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kituo cha televisheni cha TV 1 kilivyojipanga kuonesha mechi za ligi kuu ya Uingereza itakayoaanza wiki ijayo.Meneja wa Uzalishaji wa Vipindi wa TV1,Mukhsin Mambo akionesha waandishi wa habari sehemu ya itakayotumika kurushia matangazo ya mechi za ligi ya Uingereza zitakazorushwa kupitia kituo cha Televisheni cha TV 1
TV 1 YAWAKUMBUKA WAPENZI WA SOKA NCHINI, SASA KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA TV 1 YAWAKUMBUKA WAPENZI WA SOKA NCHINI, SASA KURUSHA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA Reviewed by WANGOFIRA on 20:17:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.