TABIA TANO AMBAZO ZINAWEZA KUHATARIBU MAHUSIANO

Wakati mwingine unaona kuna mapenzi ya kweli na ni mazuri na wakati mwingi unaona kama uhitaji mapenzi na unaona kutopendwa?


Kuna tabia nyingi zinazotutoa katika furaha ya mahusiano, uzuri na kutupeleka katika maigizo na udanganyifu na kutufanya tuharibu kabisa .


Kama ungependa mahusiano yako yapite na kuendelea vizuri, ondoa haya mahusiano yaliozoeleka yanayoharibu tabia nzuri.


1.Kutafuta Tatizo.


13 Jan 2015, New York City, New York State, USA --- Jay-Z and his wife Beyonce sit courtside during the Brooklyn Nets vs the Houston Rockets game at the Barclays Center in Brooklyn, NYC on January 12, 2015. Pictured: Jay-Z and Beyonce --- Image by © Anthony J. Causi/Splash News/Corbis


Inatokeaje mara nyingi unaangalia matatizo? Mwenza wako ana tatizo au mapungufu gani, kuna matatizo gani kwenye mahusiano yako, na kuna tatizo gani kwako? Iwe hakuna hukumu hapo. Utaua mahusiano, usiwe muuaji wa mahusiano. Kujihukumu kuwa una matatizo , mwenye wako ana mapungufu, na mahusiano yako yana mapungufu, utaharibu haraka sana kuliko kitu chochote.


Kama umeangukia kwenye tabia za kutafuta mapungufu , swali kubwa utakalojiuliza ni, Kitu gani hakiko sahihi katika hili nisilopata? Unaweza pia kujiuliza, ni kitu gani sahihi kwa mwenza wangu nisichokipata? Na kitu gani sahihi kwangu ambacho sikipati.?


Kujiuliza haya maswali yatakuchukua kutoka kule unakotafuta matatizo na kupata shukrani kwa yote. Na shukrani ni mwisho wa kujihukumu. Huondoa sumu ya kujihukumu.


2.Kulinganisha Na Mahusiano Ya Wengine.


c7


Mara nyingi tunalinganisha mahusiano na ya wengine, labda tunafikiri kuwa kuna njia sahihi na zisizo sahihi za kufanya kwenye mahusiano, kwa hio tunajaribu kulinganisha njia sahihi na kukopi hizo njia .


Au, labda tunaona mahusiano ya watu wengine yanaenda vizuri kuliko ya kwetu, na tunaamua kuwa wana takwimu nzuri na tunajaribu kuiga maisha yao ili kuangalia kitu gani kitafanyika. Hii itakufanya uchanganyikiwe na kuanza kuhukumiana zaidi wenyewe. Kwa sababu mahusiano yenu hayawezi kufanana na mahusdiano ya watu wengine hata siku moja. Bya kwako ni ya kipekee, unatakiwa kufanyia kazi kile kinachowafanya muwe na furaha.


Kuna rafiki yangu alinipa story moja ya ajabu sana, kuhusu dawa ya kupigia mswaki, Yeye alikuwa anapenda kuminya dawa kuanzia chini , lakini mwenzake alikuwa anapenda kuminya kuanzia katikati, baada ya miaka 16 ya mwingiliano huo, akamsikia mtu. Oh ! tunaweza kuwa na tubes mbili za dawa za mswaki.


Ni vipi kama utaacha kuangala kuangalia wengine wanafanyaje kwenye mahusiano na kujiuliza ,Ni uamuzi gani , na ufumbuzu gani niwe nao hapa.? Unaweza kupata ufumbuzi na uchaguzi ambao hukuwahi kuwa nao kabla.


3.Kujitolea Kwenye Mahusiano.


c8


Ni mara ngapi umeingia kwenye mahusiano na kukuta wiki mbili tu , kila kitu kimeenda sahihi kama watu wengine? Unaacha kufanya vitu vinavyokufurahisha., unaacha kuwa na watu unaowafurahia, maisha yako yote yawe na mwenza wako. Na ujitoe kabisa kwa ajili yake na uache kujipunguzia.


Hii haiwezi kufanya kazi, wewe ni kiungo muhimu katika mahusiano .kama utajitoa , mahusiano hayatakuwa na nafasi , tunza mahusiano. Endelea kufanya kitu unachofurahia. Chagua kuwa na watu ambao unawathamini na wao wanakuthamini, hii inaongeza uhusiano, haitakuondoa kwenye mstari.kama utaacha kufanya unayoyapenda na kuacha kuungana na marafiki, utaanza tena leo! Anza kuchukua saa moja kufanya vitu ambavyo unavipenda.


4.Kurudisha Makosa Yaliopita.


c9


Hujawahi kuamka asubuhi na kitu cha kwanza kukumbuka ni kile mwenza wako alichokukosea siku iliopita? Inawezekana alisahau kufanya kitu ambacho ulitaka akufanyie. Labda alikuondolea kitu. Haijalishi ni kitu gani kilitokea siku iliopita na hata siku zilizopita kabla ya hio, kuliko kukumbuka kichwani mwako, acha yaondoke hayo , sahau yaliopita.


Njia nzuri yenye matunda ya kufanya kitu hiki, kila asubuhi baada ya kuamka ni kuharibu vitu vinavyoharibu mahusiano yako.Komesha kujihukumu, matarajio mabaya, na vitu vyote vinavyoua mahusiano ili uwe na furaha yote ya mahusiano .


Kila siku sema , kila kitu kilichotokea kwenye mahusiano siku iliopita , kujilaumu, matarajio mabaya yote, mazungumzo mabaya yote, nayasahau sasa.


Tumia mbinu kioa siku, na mahusiano yako yatakuwa bora kuliko siku zote zilizopita.


5.Ingia Kwenye Mahusiano Kabisa.


c10


Umepoteza furaha na hamu kama ya kwanza ulipoingia kwenye mahusiano? Umekutana na kitu kinakuboa? Unashangaa nini kitafuata? Unatamani uone unawashwa na kuwa na cheche tena?


Kama hivyo vinaelezea mahusiano yako , unaweza kubadilisha, fanya uchaguzi kila siku katika mahusiano yako. Kama utafanya hivi, utaondoka kutoka katika kuwepo kwenye mahusiano na kurudi katika kutengeneza , nzuri, hamu uliokuwa nayo pale kwanza ulipoanza.


Hata kama mahusiano yako ni mapya au umekuwepo miaka mingi , bado yanaweza kuwa na furaha, inayoendelea, ya kufurahia. Hujachelewa kuacha tabia zinazoharibu mahusiano na kuanza kutengeneza kitu kipya kinachofanya kazi ya kujenga mahusiano.
TABIA TANO AMBAZO ZINAWEZA KUHATARIBU MAHUSIANO TABIA TANO AMBAZO ZINAWEZA KUHATARIBU MAHUSIANO Reviewed by WANGOFIRA on 21:45:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.