Salaumu’ za UKUTA zaifikia Marekani


  
NCHI ya Marekani kupitia ubalozi wake nchini Tanzania, imepata taarifa za uwepo wa maandamano na mikutano ya kisiasa kote nchini mnamo Septemba Mosi mwaka huu na kuwatahadharisha raia wa taifa hilo, anaandika Charles William. Operesheni ya kupinga kile kinachoitwa ‘udikteta unaoanza kumea’ hapa nchini, ilitangazwa mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu na Freeman Mbowe, mwenyekiti ...

Source: MwanahalisiRead More
Salaumu’ za UKUTA zaifikia Marekani Salaumu’ za UKUTA zaifikia Marekani Reviewed by Unknown on 21:13:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.