RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 19 & 20 Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea )


Mtunzi:EDDAZARIA G.MSULWA


ILIPOISHIA...
“Sheila nakuomba unipe nafasi nijielezeee”
“SITAKI NASEMA EDDY TOKA NDANI KWANGU”
Sheila alizungumza huku akinisukuma kitandani na sikuwa na kipingamizi nikashuka huku machozi yakinilenga lenga na kuichukua surualia yangu na kuivaa taratibu.Nikachukua shati langu na kuliweka begani na huku begi langu nikiwa nimelishika mgongoni.

“Sheila ninaondoka huu usiku na umenifukuza mimi kama mwizi…Ila ninakuombea maisha mema.Mimi ngoja nikalale pembeni mwa geti lako ili huu usiku upite nakuomba kwa hilo”
Nilizungumza huku machozi yakinimwagika na nikafungua mlango na kutoka taratibu huku nikiwa siamini kiu kilicho nitokea

ENDELEA....
.....Nikaendelea kupiga hatua za taratibu hadi nikafika getini na kusimama baada ya kuisikia sauti ya Sheila ikiniita
“Eddy unataka kwenda wapi?”
“Kwani wewe unataka kujua hivyo kama nani?”
“Hapana Eddy mpenzi wangu ninakuomba unisamehe ni hasira tuu,nilidhani kuwa wewe ni wale wale walio niongopea”

“Kwahiyo mimi unanifananisha na hao watu wako?’
“Hapana Eddy ila nawaogopa sana wanaume ila kwako hadi ninajishanga ni kwanini imetokea nikakupenda gafla”
Sheila alizungumza huku akinivua begi langu nililolivaa mgongoni kisha akanishika mkono na tukaanza kurudi ndani taratibu
“Kwa nini lakini umehitaji niuondoke usiku huu?”
“Eddy jamani si tumesha yamaliza mpenzi wangu”
  
Sheila alizungumza huku akinishika kiuno taratibu na kuanza kuifungua zipu ya suruali yangu na kukiingiza kiganja chake kwenye koki yangu na kuanza kuiminya minya huku akitoa mihemo mizito iliyoanza kuusisimua mwili wangu.Nikaipeleka mikono yangu kifuani mwa na Sheila na kuanza kushika shika chuchu zake moja baada ya nyingine nikainyonya na kumfanya Sheila kuzidisha mihemo yake.Nikamnyanyua na kumuweka juu ya kitanda kisha nikaivua suruali yangu na kuitupa pembeni huku nikiimalizia khanga yake aliyoivaa kwa kuitupa pembeni
 Vidole vyangu viwili vya kati vikaingia kwenye ikulu ya Sheila na kuanza kuitafuta Gsport kwenye sehemu ilipo jificha huku nikiendelea kunyonya ziwa lake la upande wa kushoto.Sheila akaanza kutoa kilio kingine kilichozidi kunipagawisa kiasi kwamba nikazidi kuviingiza vidole vyangu kwenye ikulu yake.Nikamshika kiuno Sheila na kumgeuza akalala kifudi fudi kisha miguu yake nikaichanua na kwa nguvu nikayabananisha makalio yake makubwa kiasi kisha nikayaachia na kuanza kuyachezesha chezesha kwa viganja vyangu huku nikiyapiga makofi madogo madogo na yakazidi kutingishika

 Koki yangu nikaipaka mate kiasi kisha kwa mkao wake wa kulala na huku akiwa ameipanua miguu yake nikaizamisha kwenye ikulu huku mikono yangu nikiwa nimeikita kwa ngumi kwenye godoro zuri la kitandani taratibu nikaanza kuikarabati ikulu ya Sheila huku nikijitahidi kupiga pande zote nne za ikulu hiyo.Nikagundua kuna upande mmoja nikiukarabati Sheila hutoa kelele za hali ya juu nikajua hapo ndipo anapo pata raha zaidi.Nikazidi kupashambulia kiasi kwamba Sheila akaanza kukichezesha kiuno chake huku makalio yeke yakitingishika kama vibration ya simu,Akajibinua kidogo na kukifanya kiuno cheke kunyanyuka juu kidogo na shughuli ikazidi kunoga na kujikuta nikianza kulalamika huku matusi yakinichomoka mdomoni.

 Sheila akjichomoa kwenye koki yangu kisha akanilaza chali na kwa haraka akaikalia koki yangu huku akinitazama kwa macho malegevu na shughuli ikaendelea kwa kasi ya ajabu huku akiwa kama amepandisha mashetani,Kiuno chake kikawa na kazi ya kuizungusha koki yangu kiasi kwamba nikajikuta ninazidi kupagawa kwa shunguhi anayonionyesha Sheila.Mikono yangu ikashika kiuno cha Sheila na kuanza kumsaidia kumpeleka juu chini chini juu pale ninapomuona akiwa amechoka na kuishiwa na pumzi.Nikamvuta na kifua cheke akakilaza juu ya kifua changu kipana kiasi na kukiminya kwa kutumia mikono yangu na kusababisha chuchu zake kuleta msisimko mkali mwilini mwangu na shughuli ikaendelea huku ikiwa kazi yangu ni kukichezesha kiuno changu.
 Nikaipanua miguu yangu vizuri huku koki yangu ikiwa ndani ya ikulu ya Sheila na nikavuta pumzi ya kutosha na kwa kwasi ya hali ya juu nikaendelea kuishambulia ikulu ya Sheila na kumfanya azidi kuchanganyikiwa ila sikutaka kumuachia kifua chake kwani kinanipa joto la kutosha linalozidi kunipa nguvu na kasi ya kumshambulia Sheila.Kazi ya kiuno cha Sheila ikaanza huku akiendelea kuizungusha koki yangu kama kirungu cha gia kwenye magari aina ya ‘manuel’

“Eddy nakupenda sana”
“Na mimi pia Sheila”
“Mpingoo wako mtamu sana baby”
“Hata wewe ikulu yako tamu sanaa”
“Ohoooo…..iiisssss”

 Sheila akazidi kuchanganyikiwa tulipokutanisha viuno vyetu vinavyokatika kwa kasi ya ajabu na kusababisha hali ya chumba kutawaliwa na makelele ya raha.Sheila akajichomoa na kuishika koki yangu kisha akaidumukiza mdomoni karibia yote na kuitoa ikiwa imejaa mate mengi na kuanza kujipiga piga nayo mashavini mwake hadi akaridhika

“Eddy mpingo wako ni mzuri hadi rahaa”
“Kweli”
“Ndio baby….Yaani ninausikilizia hadi masikioni ukiingia kwenye himya yangu”
“Hata wewe Ikulu yako ina joto la kutosha hadi natamani usiitoe”
“Ninavyoitoa ninakuudhi?”
“Hapana”

 Sheila akairudisha tena koki yangu mdomoni mwake na safari hii akajitaidi kuiinginza yote kisha akaitoa na kuanza kuisugua kwa viganja vyake vilaini.Nikanyanyuka na kushuka kitandani kisha na yeye akashuka kama vile alijua akajiinamisha huku akishika uzio wa kitanda kwa mikono yake miwili huku taratibu koki yangu ikirudi kwenye ikulu yake na kuendelea na kazi.Kutokana nimesimama kwa miguu yote miwili kasi ya ukarabati ikazidi kuongezeka na kumfanya Sheila kuanza kunitukana matusi mazito yaliyozidi kunipa nguvu ya kuendelea kuishambulia ikulu yake

“Shei……..”
“Ehe…….”
“Kwa nini ulinifukuza…….”
“Ni…..likuwa nat….ania……baby”
“Kweli?”
“Ehheeee…….”
“Unanipenda?”
“Nd…ii…..ooooo….Uwiii mamaaa weeeeee”

Nikazidi kuongeza kasi huku misuli ya mapaja yangu ikiwa imejitokeza ikonekana kweli imehimili vishindo vya mashambulizi ninayo yafanya
“Ulilipwa bei gani katika filamu yako”
“Mii…..lionim….oja na nu…suuuuu”
“Unanidanganya eheee?”

Nikaongeza kasi huku kiganja changu kimoja nikimshika Sheila nywele zake ndefu na kuzivuta kwa nyuma nilipo mimi
“Haaa…..ppppppaaaaanaaaaa Edddy…”
“Sasa sema ulilipwa kiasi gani?”
“Mil…..ioni moja ba….by ya…..kimarekani”
“Utakuwa na mwaname mwengine zaidi yangu?”
“Haaaaaapana E….E….Eddyyyy….”

 Sheila alizungumaza kwa sauti ya kukata kata kiasi kwamba nikamuonea huruma na kumuachia nywele zake kisha nikamchomoa kwenye koki yangu na kumbeba huku miguu yake akiipitisha kiunoni mwangu na kuiunganisha kwa pamoja kwa nyuma huku mikono yake akiipitisha kwenye shingo yang.Nikaizamisha koki yangu ndani ya ikulu na mikono yangu nikayashika makalio ya Sheila vizuri na kuendelea kuyawezesha katika kuikalia koki yangu ambayo inahasira kali kama Mbogo aliye jeruhiwa na risasi.Sheila akanza kuninyonya masikio kwa ulimi wake na kujikuta nikizidi kupagawa na kuongeza kasi ya kumkalisha kwenye koki yangu.Nikahisi kuchoka kusimama na taratibu nikakaa kwenye kiti ambacho mara nyingi ninaviona kwenye maofisi makubwa na hutumiwa na mabosi wengi.
 Sheila akaanza kazi ya kukatika huku akinitolea jicho kali akionekana anakimbilia kufika kileleni na mimi sikutaka nimchoshe sana na nikazivuta hisia zangu kwa kasi ya ajabu na kwa mbali nikaanza kusikia risasi zikijiandaa kutoka.Gafla Sheila akanyanyuka na kufanya risasi zisimame na akageuka na kunipa mgongo na kuikalia koki yangu huku mguu mmoja akiuweka kwenye paja langu na kuanza kukizungusha kiuno chake huku akiyachezesha makalio yake na kuzidi kunipa raha ambazo mwanaume yoyote rijali ni lazima atatoa miguno endapo atakunata na mtu kama Sheila.

 Sheila akazidi kukichezesha kiuno chake na safari hii amejiinua kidogo na kuanza kuikatikia koki yangu maeneo ya kwenye kichwa na kujikuta nikifumba macho yangu na kwa mbali nikianza kuitukana safari ya kwenda shule huku nikiaanza kupanga mipango ya kukaa kwa Sheila japo kwa wiki moja ndio niende shule na uzuri wenyewe mama anaondoka nchini kikazi.
Sheila akashika chini kwa mikono yake na kuanza kukatika kwa kasi ya ajabu na kujikuta miguu yangu nikiinyanyua taratibu nikisikilizia jinsi risasi zinavyo kuja kwa kasi ya ajabu na zote zikatoka kwa mfululizo na kuingia kwenye ikulu ya Sheila na kumfanya apunguze kasi ya kuishambulia koki yangu hadi akatulia tuli huku akiwa ameikalia koki yangu na sote tukihema kama tumetoka kukimbia mbio ndefu

   Sheila akajilaza chini kwenye zulia na mimi nikalala taratibu kwenye zulia huku kila mmoja akiwa kimya kiasi kwamba hakuna aliye msemesha mwenzake na sote tukawa na kazi ya kuliangalia feni lililofungwa juu jinsi linavyo zunguka taratibu.

“Sheila leo siendi shule”
“Kwa nini?”
“Kwa raha zote unadhani kuna kusoma kweli shule”
“Mmmm Eddy mpenzi wangu shule ni muhimu japo na wewe umenipa raha nilizo zikosa kwa wanaume wote walio nipitia”
“Kweli”
“Ndio Eddy wangu hapa nilipo kiuno kizima hakina kazi”
“Hata mimi mwenyewe miguu yote nahisi kama sio yakwangu”

“Eddy mama yako ni nani?”
“Mama yangu ni waziri wa afya”
“Ehee kumbe wewe mtoto wa kishua?”
“Sio sana”
“Hata kama ni sana unadhani utasema…..Alafu Eddy unaonekana msiri sana”
“Huwa sipendi kujitangazia na hata shule rafiki wangu wa karibu hajui kama mama yangu ni waziri na wengi wao ninawaambia mama yangu ni mwalimu”
“Ila ni vizuri…Je baba anafanya kazi gani?”

“Yeye ni mkuu wa jeshi”
“Waoo eheee kumbe upo kwenye maraha”
“Raha wapi….Usione watu wanatembelea na Miji Hammer ukasema wana amani majumbani mwao ila ukweli hakuna familia zenye migogoro kama familia za kitajiri”
“Weee kwanini unazungumza hivyo?”
“Ahaaa nimeona sehemu nyingi nyingi kwenye familia za matajiri mfano mzuri ni familia yangu”
“Kwanini familia yako haina amani wakati baba anapesa,mama ni kama hivyo?”

“Mama na baba hawapatani kutokana kuna swala fulani hivi sio vizuri nikakuambia sasa hivi lilitokea na kupelekea hali kama hiyo kutokea kati ya baba na mama ndio maana nilijikuta nikiota mambo mabaya mabaya”

“Mmm pole baby…..Ila tambua ya kuwa wewe ni mwanaume na kama mtoto unatakiwa kuweza kusimama katikati ya baba na mama na uwapatanishe na amani irudi kati yao”

“Sheila ndio maana nimekumambia hizi familia zetu zina matatizo mengi sana kiasi kwamba swala kama hilo kutokea kati yetu ni vigumu kwa mwana familia kuweza kulitatua labda atokee mtu wa njee kabisa ambaye baba na mama wanaweza kumsikiliza”

“Sasa Eddy mimi leo nahitaji nifike Arusha na nikikaa hapa kama unavyo taka sijui kama mipango yangu itakwenda sawa…..Nimepata wazo moja hivii”
“Wazo gani?’

“Unaonaje tukaende wote Arusha na leo ni jumamosi kisha tukafikizia hotelini tukalala na jumapili mimi nikirudi zangu huku wewe uanakwenda zako shule”
“Kweli ilo wazo ni zuri baby unaonaje ukakaa hadi jumatatu asubuhi ndio ukarudi Dar”
“Ni wewe tuu mpenzi wangu ila tutaangalia ratiba itakaa kaa vipi?”

“Sawa.Tunaondoka na gari la saa ngapi?”
“Tuondoke na gari la saa kumi na mojana na nusu ili nikifika Arusha nifanye mizunguko yangu kisha tujiachie zetu Hotelini”
“Powa itatubidi tujiandae sasa hivi kwani hiyo saa hapo inaonyesha ni saa kumi na dakika kimi usiku”
“Mwenzio hapa hata kunyanyuka ninaona uvivu”
“Tupige kingine cha kuichangamsha miili yetu?”
“Mmmm Eddy wewe unataka kuniua……Huu umzunguko ulio pita nilijikaza tuu usinione nimeshindwa na mechi”
“Mmmm kweli ulijikaza mpenzi wangu”

 Tukanyanyuka na kuingia bafuni na Sheila akafungua bomba la maji na taratibu tukaanza kuoga huku kila mmoja akimuogesha mwenzake na kwa furaha tuliyo nayo unaweza kusema  tumeonana siku nyingi kumbe ni jana tu ndio mapenzi yameanza.Tukamaliza na kurudi ndani na tukaanza kuvaa taratibu.Sheila akafunga kabati lake na aktoa raba nyeupe nzuri ambazo ni za kiume akanipa.

“Asante baby”
“Usijali hiyo raba nilinunua majuzi juzi nilipotoka china kuchukua mzigo”
“Sasa ilikuwaje ukanunua raba za kiume?”
“Yaani imetokea nikazipenda sana na kujikuta nikizinunua na kuziweka tuu kabatini”
Tukamaliza kuvaa Sheila akanipulizia manukato yake kwenye nguo zangu zote zilizopo ndani ya begi langu
“Unapesa ya matumizi ya kutosha mume wangu”
“Yaaap! ila si unajua maisha ya shule siku yoyote inaweza ikaibiwa au kuisha”

“Aaaahaaa basi unikumbushe nikupatie pesa ya matumizi na kama una laini ya Voda nitakuwa ninakuingizia pesa kila wiki kutumia M-pesa”
“Nitashukuu sana mpenzi wangu.Ila nitakuwa ninakuomba pale nitakapokuwa nimepungukiwa”
“Sawa ila sipendi uende ukateseke”
“Usijali mpenzi wangu”
“Huwa nasikia mnakuala ugali wa dona na maharage yenye funza?”

“Hapana ila inategemea na shule”
Tukatoka nje na Sheila akafunga mlango wa kuingilia kwake kabla hatujatoka getini nikamuuliza swali
“Baby unataka kusema wewe huna gari?”
“Gari mbona mimi ninalo ila sijawa dereva mzuri na pia ninaogopa gari nililo nalo ni la gharana sana”

“Mbona silioni?”
“Lipo chini ya ardhi”
“Chini ya ardhi……!! kivipi?”
“Ngoja nikuonyeshe”
Sheila akalazimika kufungua tena mlango wake wa kuingilia ndani kisha akarudi akiwa na rimoti mkononi mwake na yenye batani tano tu
“Sogea nyuma kidogo”

Nikasogea kutoka sehemu niliyo simama kisha akaminya batani moja ya rimoti hiyo na taratibu ardhi ikaanza kufunguka kwenda juu nikabaki nikishangaa.Akaminya batani nyingine na taa zikawaka katika chumba kilichopo ardhini na taratibu tukaingia ndani kwenye chuma hicho

“Aisee kama ulaya vile”
“Ulaya wapi mume wangu au unataka uniambie na ujanja wote huo hujawahi kuona kitu kama hichi?”
“Sijawahi kuona mke wangu zaidi ya kwenye movie.Nani alikutengenezea?”
“Wale jamaa walikuja na mafundi wao ndio waka nitengenezea mfumo huu”

“Sasa siku ukitaka kuhama itakuwaje?”
“Hii nyumba ni yangu”
“Ahaa kumbe na wewe ni muongo?”
“Jamani Eddy?”
“Sio Eddy kumbe na wewe unajua kudanganya?”
“Eddy tuachane na hiyo mada kwani sikutaka ujue kama mimi ninamiliki vitu kama hivi ungeanza kunihisi vibaya mapema”

“Nisinge kuhisi vibaya kutokana ni kila binadamu ana uwezo wake wa kiuchumi”
“Hebu fungua hiyo kamba iliyofungwa kwenye chuma”
Nikaifungua kamba iliyo nielekeza Sheila na kusababisha turubai lililo funika gari lake kufunguka na macho yangu yakakutana na gari aina BMW ambayo tangu niijue Tanzania na kutembea kwangu sikuwahi kuiona MBW ya muundo huu.

“Duuuu hii ngoma bei gani?”
“Jamaa wameniambia ni laki mbili na nusu za kimarekani”
“Kudadadeki ni kama Milioni 400 za Kitanzania”
“Ndio maana yake”
“Funguo yake iko wapi?”
“Unataka twende nalo?”
“Ndio”
“Eddy hatuta kamatwa na polisi?”
“Si imesajiliwa kila kitu?”
“Ndio”

“Basi kalete funguo yake”
“Ipo hapo hapo kwa juu kwenye vidude vya kuzuia jua”
Nikafungua sehemu aliyo nielekeza Sheila na kukuta funguo ikining’inia na haraka haraka nikaichomeka kwenye sehemu yake na kuizungusha funguo yake kama ninavyo washa magari ya kawaida ila cha kushangaza gari halikuwaka.

“Mbona haliwaki sasa?”
“Kwani ni lako hadi liwake?”
“Ehee hebu njoo unielekeze bwana linawashwa washwa vipi?”
“Eddy mpenzi wangu kama kuwasha unashindwa je kuendesha utaweza kweli?”
“Wewe njoo unionyeshe linawashwa washwa vipi”
Sheila akazunguka upande wa pili na kukaa siti ya pembeni kisha akaminya kitufe chekundu kilichopo pembeni yangu kilicho andikwa ‘VOICE’ kisha akanitazama usoni na kuachia tabasamu.

“BMW 007 START”
Nikashtuka gari likiwaka na kila kitu kikaanza kusoma kwenye dashboard yake na kujikuta nikibaki ninashangaa
“KARIBU BI.SHEILA KWENYE GARI LAKO BMW 007 JE UNAHITAJI KUELEKEA WAPI TUKUONYESHE RAMANI”
Sauti ya msichana ilisikika kwenye spika za gari hilo na kubaki nikikaa kimya

“Nahitaji kuelekea mkoani Arusha”
“SUBIRI KWA DAKIKA”
Tukasubiri kwa sekunde kadhaa huku nikibaki kimya na kila nilicho kiona machoni mwangu ninakiona kama ni kipya na ramani ikajitokeza kwenye kioo cha ya gari hilo dashboard
“RAMANI YAKO IMEKAMILIKA JE UNAHITAJI HUDUMA NYINGINE”
“Ndio”

“CHAGUA KATI YA HIZI ZIFWATAZO 1.TAZAMA USALAMA WA GARI LAKO, 2.TAZAMA UJAZO WA UPEPO ULIPO KWENYE MATAIRI YAKO, 3.BADILISHA DEREVA 4…….”
“Tatu”
“DEREVA MPYA ATAJE JINA LAKE”
Sheila akanikonyeza na kunifanya nikohoe kidogo huku nikiwa ninafuraha kwani sikuwahi kuona gari kama hilo zaidi kuona gari linalo endana na hilo kwenye filamu za JAMES BOND.

“EDDY GODWIN”
“KARIBU BWANA BWANA EDDY GODWIN KWENYE BMW 007 WEKA KIDOLE GUMBA CHA MKONO WA KUSHOTO KATIKATI YA KIENDESHEO CHA GARI”
Nikaweka dole gumba katikati ya mskani ambapo kuna kioo kidogo na mstari mwekundu ukaanza kupita kwenye kidole changu kuanzia chini hadi juu
“UMEFANIKIWA KUWA DEREVA WA BMW 007 NAWATAKIA SAFARI NJEMA NA UENDESHAJI MWEMA”

 Sauti ikakata na gari ikaaendelea kunguruma taratibu ikisubiria kuanza kwa safari.Kutokana nina uzoefu kidogo kwenye uendeshaji wa magari haikuwa ngumu.Nikakanyaga taratibu mafuta na gari likaanza kusogea kwenda mbele,nikalitoa kwenye chumba hicho na kulisimamisha pembeni na Sheila akashuka na kuminya rimoti yake na kila kitu kikajifunga  na akairudisha ndani na kufunga milango yake kisha akafungua geti la mbele na nikalitoa gari nje na kumsubiria Sheila akimalizia kufunga geti lake na kuingia ndani ya gari

Mwanga wa jua bado haukuwa umeanza kuchomoza ikanilazimu kuwasha taa za gari ambazo zina mwanga mkubwa kupita maelezo.Nikaingia kwenye batabara kuu ya mikoani huku ramani ikinionyesha wapi nielekee.

“Hivi hii gari ina spidi ngapi?”
“380 na ina Turbo”
Ilinibidi nimuulize Sheila kutokana hakuna mishale inayoonyesha mwendo kasi zaidi ya kiio tu kinacho onyesha mfumo mzima wa spidi zinavyo ongezeka kama saa ya kawaida
“Mmmm tumuombe Mungu”
“Kweli mume wangu safari ni ndefu”

 Nikaendelea kukanyaga mafuta huku moyoni mwangu nikiwa ninafuraha kuendesha gari kama hili ambalo nahisi ni watu wachache sana walilo nalo Tanzania au hakuna kabisa.Safari ikazidi kwenda mbele huku mara kwa mara nikijipima uwezo wa uendeshaji wa gari kwa mwendo wa kasi kiasi kwamba Sheila akaanza kuniomba nipungunze mwendo.

“Tulia mimi ndio dereva hatuwezi kupata ajali apa najitahidi niifike Segera mapema”
“Eddy lakini muda si upo?”
“Ndio ila najitahidi pia kuepukana na trafki”
“Haya dereva”

  Safari ikazidi kusonga mbele huku magari madogo na mabasi makubwa nikiyapita japo yapo kwa mwendo wa kasi ila niliyapoteza sana.Hadi ninafika Korogwe tayari ni saa moja na dakika zake na tukaingia kwenye Hotel ya High Way kupata chakula kwani kwa shuguli tuliyo ifanya muda mchache uliopita ni pevu kupita maelezo.Tukaagiza kifungua kinywa na kuanza kula taratibu huku nikiendelea endelea kumtazama Sheila machoni.

“Mbona unanitazama hivyo?”
“Ninakuangalia jinsi ulivyo mzuri mpenzi wangu”
“Mmmm muongo wewe”
“Kweli baby”
“Asante kama ni kweli”
“Shei umeliona hilo basi linalo ingia?”
“Ndio”
“Unakumbuka tulilipita wapi?”
“Si tulilipita Kabuku”
“Sasa hivi ndio linaingia hapa na hili ndio basi la kwanza kuondoka Dar kuelekea Arusha”
“Na lilikuwa lipo kasi”

“Ehee ila ndio hivyo tumelipita”
“Ila wewe uendeshaji wako ni wafujo”
Tukamaliza kula na kulipa tulicho kula kabla hatukatoka jamaa mmoja akanifwata na kunipa mkono huku akicheka
“Kaka hongera sana”
“Kwa nini?”
“Wewe jamaa si ndio ulikuwa unaendesha ile gari pale?”
“Ndio”
“Wewe ni dereva.Yaani mimi nilijitahidi kukanyaga mafuta ili nikupite nakukuta hapa”
“Ahaa ile ngoma pale mziki wake tofauti na hizi gari nyingine”
“Mimi ni dereva wa hilo basi hapo”
“Ahaa kumbe wewe ndio tuliye kupita ukawa unatupigia honi?”

“Ndio kaka….Unaelekea wapi?”
“Arusha”
“Kaka naomba uniachie namba zako tunaweza tukawasiliana kama hutajali”
“Powa”
Nikampa dereva namba yangu ya simu kisha na yeye akanipa namba yake
“Ni save nani?”
“Save RAMA”
“Powa utanisave kwa jina la Eddy”

 Nikamkuta Sheila ndani ya gari na safari ikaanza na sehemu isiyo na trafki nikaendesha kwa kasi na tukafanikiwa kufika Arusha mida ya saa sita mchana bila ya kusimamishwa njiani na trafiki kwani hapa nilipo sina leseni.Tukachukua chumba kwenye hoteli moja ya kifahari na kumuacha Sheila akienda kwenye mizunguko bila ya kutumia gari yake na mimi nikabaki nikiwa nimelala kwa uchovu nilio upata wa kuendesha gari kwa safari ndefu.Nikaamka saa moja usiku baada ya kusikia simu ikiita na kukuta ni Sheila ndio anaye piga.

“Mmm vipi?”
“Safi baby mimi nimesharudi nipo hapa chini hotelini shuka huko gorofani basi tuje kula mpenzi wangu”
“Umeagiza chakula gani?’
“Nakusubiria tuagize pamoja”
“Powa ngoja nivae”
“Ulikuwa bado umelala nini?”
“Ndio”
“Fanya basi uje mumwe wangu ninakupenda”
“Ninakupenda pia”

 Nikakata simu na kunyanyuka kitandani huku mwili ukiwa umechoka kidogo,Nikaingia bafuni na kunawa uso ili kuutoa mikunjano ya usingizi kisha nikavaa shati langu vizuri na kufungua mlango.Moyo ukanipasuka baada ya macho yangu kugongana na macho ya Salome akiwa ameshikwa kiuno na mkuu wa shule wakitoka ndani ya chumba tunacho tazamana huku nao wakionekana kukosa pozi baada ya kuniona.......

   
                               *****SORY MADAM*****(20)
   

......Tukatazamana kwa dakika mbili huku kukiwa hakuna anayemsemesha mwezanke na gafla nikamshuhudia Salome akilegea na kuanguka chini na kuzidi kumfanya mkuu wa shule kuweweseka.Nikataka kupiga hatua kwenda kuwafua ila roho yangu ikasita na kujikuta nikisimama huna nikiitoa simu yangu mfukoni.

“Wewe kijana njoo unisaidie kumnyanyua mwenzio”
Sikutaka kumjibu kitu chochote mkuu wa shule kwani taratibu nikajikuta hasira zikianza kunipanda
“We….ewe naniii……Eddy njoo basiiii”
“Wewe mzee una mapepo nahisi…..Starehe mle wenyewe alafu unasema mimi nikusaidie”
“Ahaaa kijana usinifanyie hivyo”
“Mpuuzi nini wewe kumbe ndio kazi yako kuwatorosha wanafunzi na kuja kuwamega huku hotelini?”
“Kijana wangu nakuomba basi…Njoo basi hata tumbebe tumuingize ndani”

Nikapata wazo la haraka nikaingia upande wa kamera kwenye simu yangu aina ya HTC kisha nikaanza kuwapiga picha Salome na mkuu wa shule kitendo kilichozidi kumpagawisha mkuu wa shule.
“Wewe si Malaya sasa nautangazia ulimwengu mzima waone kitu ulicho kifanya na huyo mwanafunzi wako”
“Haki ya Mungu wewe  mtoto lazima nikufunge”
“Unasemaje wewe boya?”
“Lazima nikufunge”
“Sasa ili unifunge vizuri nampigia simu waziri wa elimu sasa hivi tuone kama nitafungwa mimi au wewe?”
“Acha kunitisha wewe”

Mkuu wa shule alizungumza huku akimnyanyua Salome na kurudi naye ndani walipo toka na kabla hawajafunga mlango na mimi nikaingia.Mkuu wa shule akamuweka Salome kitandani na kinigeukia mimi huku akicheka
“Unajua kijana mimi ndio nimetangulia kuliona jua kabla yako…..Naomba hiyo simu?”
“SITAKI HUNA HADHI YA KUWA NA SIMU KAMA HII”
Nikazidi kumpiga picha kila hatua anayoifanya nikaona haitoshi nikaanza kumrekodi video.

“Eddy nimekuambia ninaomba hiyo simu”
“Sitaki”
Mkuu wa shule akapiga hatua hadi kwenye kitanda na kukaa akimtazama Salome nikapanda juu ya sofa ili niwarekodi vizuri kwa juu
“Endelea kumchezea chezea nywele”
“Kubabak* wewe mtoto nitakuua”

Mkuu wa shule alizungumza huku machozi yakimlenga lenga na macho yake kuwa maekundu mithili ya mtu aliyevuta bangi.Mkuu wa shule akainama kama anafunga kamba za viatu vyake na gafla akanyanyuka huku akiwa ameshika bastola kwenye mkono wake
“Utatoa simu hutoi”

Nikakaa kimya huku tukio la Manka kunishikia bastola likanijia kichwani na kuanza kulifananisha na tukio la mkuu wa shule kunishikia bastola na kuufanya mwili wangu kunitetemeka
“Nakupa sekunde 30 jifikirie unanipa simu au nikifumue kichwa chako”

 Mwili ukaendelea kunitetemeka huku mkuu wa shule akionekana hana masihara na kitu anacho kizungumza.Nikamuona Salome akinyanyuka taratibu kitandani huku akijishika shika maeneo ya kichwani mwake.Akabaki ameshangangaa kumuona mkuu wa shule akiwa ameshika mbastola huku akiwa amempa mgongo.Nikamkonyeza Salome na kwa haraka akamsukuma kwa nyuma mkuu wa shule na akaangukia kwenye meza ya kiio hadi ikavunjika na bastola yake ikaangukia mbali.Nikamshika mkono Salome na kumyanyua kitandani kabla hatujatoka Salome akarudi alipo angukia mkuu wa shule anaye lia lia kwa maumivu aliyo yapata.Salome akaanza kumpiga mateke ya kwenye makalio mkuu wa shule huku akionekana kuwa na hasira
“PUMBAVU WEE……SHENZII……MTU MZIMA HUNA HAYA MALAYA MKUBWA WEWE….”
“Salome twende bwana”
“Huyu mzee mshenzi”
“Sawa tutazungumza mbeleni”

 Nikamshika mkono Salome na tukafungua mlango na kutoka njee kitendo cha kupiga hatua mbili mbeleni huku nikiwa nimemshika mkono Salome nikakutana na Sheila akiwa yupo kwenye mwendo wa haraka akija sehemu tunayo tokea.Sheila akasimama kwa muda akionekana akishangaa na akaanza kupiga hatua za kuja sehemu nilipo huku akionekana kupandwa na hasira.Cha kwanza alicho kifanya Sheila ni kutuachanisha mikono mimi na Salome kisha akamgeukia Salome.

“Malaya wa kiarusha kumbe wewe ndio unachukua mabwana za watu si ndio”
“Sheila ninakuomba unisikilize”
“Weee Eddy nyamaza huwezi ukaniweka nje kule mimi kama roboti kumbe upo na Malaya zako huku”

 Sheila akamshika Salome nywela na kuanza kumtingisha tingisha huku akipiga makofi na ikanilazimu kumshika Sheila kwa nyuma na kumuachanisha kutoka mikononi mwa Salome ambaye kwa kiwewe akaanguka chini.Tukiwa tunageuka ili nimpeleke Sheila katika chumba tulicho fikia gafla mlio wa bunduki ukasikika na huku macho yangu yakikukutana na macho ya mkuu wa shule akiwa ameishika bastola yake huku ametuelekezea sisi.Nikaanza kuhisi maji ya moto yakiaanza kuvichoma viganja vyangu na taratibu nikanza kwenda chini baadaya ya mwili wa Sheila kuniegemea na kunizidi uzito
Hadi ninakaa sakafuni nikaona damu nyingi zikimwagika kifuani mwa Sheila huku akitetemeka kwa woga
“Eddy ninakufa mume wangu”
“Huwezi kufa baby”

   Nlizungumza huku nikimziba kwa nguvu Sheila kwenye jeraha lake na nikaamshuhudia mkuu wa shule akianza kukimbia akipita katikati yetu.Nikanyanyuka kwa haraka huku mikono ikiwa na damu nyingi na kuanza kumkimbiza,kabla sijamfikia askari wawili wenye bunduki wakatokea mbele yetu na kutuomba tusimame.Nikasimama huku nikitazama nyuma na kumuona Salome na watu wengine wakitoka kwenye vyumba vingine wakimuhudumia Sheila aliye lala chini.Mkuu wa shule akanyanyua mikono juu huku akiwa ameishika bastola yake.

“Hilo ndio jijambazi lililo mpiga risasi mke wangu”
Askari wakanisikiliza na kumfunga pingu mkuu wa shule na mimi nikarudi kwenye kundi la watu walio mzunguka Sheila.Tukasaidiana na watu wengine na tukashuka chini kwa bahati nzuri hoteli hiyo ina gari la wagonjwa aina ya Landcruzer za zamani zenye mkonga mweusi.

“Salome nenda nao mimi ninakuja na gari kwa nyuma”
Salome akaingia kwenye gari pamoja na meneja wa hoteli kisha mimi nikaelekea kwenye maegesho ya magari na kuingia kwenye gari letu tlilo kuja nalo.Nikaingiza funguo na kuminya batani nyekundu kama alivyo fanya Sheila asubuhi kilicho andikwa ‘VOICE’
“BMW 007 START”

 Gari halikuwaka nikarudia kuzungumza tena kama mara nne halikuwaka nikujikuta nikilipiga piga kwenye usukani kwa hasira huku nikitukana na kuwafanya watu walio karibu nami kunisogelea huku wakiwa wananishangaa.Nikafungua mlango kwa hasira na kuufunga na kukuta watu wakiongezeka huku kukiwa na jamaa mmoja akinipiga piga picha kwa kamera na anaonekana ni mwandishi wa habari kutokana na kitambulisho alichokivaa shingoni na kuning’inia kwenye kifua chake.Nikamsogelea mtu anaye nipiga picha na kumpokonya kamera yake na kuitupa chini na kuaanza kuikanyaga kanyaga na kusabiabisa mtafaruku mkubwa huku jamaa akionekana kupandwa na hasira akitaka kunipiga ila watu wakawa wanamzuia wengine wakimlaumu kwa umbea wake anaoufnya.

“Mim mwandishi wa habari hawezi kunivunjia kamera yangu”
“Na wewe ni mbea imekuaje kupiga piga watu wa watu usio wajua”
“Hayakuhusu na wewe”
“Sio hayanihusu ingekuwa mimi ni huyo chalii hapo ningekutia vitasa vya kutosha”
“Jaribu”
Vurugu zikaongezeka na polisi waliopo eneo la tukio wakatuchukua mimi na mtu niliyemvunjia kamera na wakatupeleka kwenye moja ya kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.

“Kwanini ulivunja kamera”
Askari mmoja aliniuliza swali huku nikiwa nimekaa kwenye kiti pembezoni mwa meza kubwa kiasi iliyopo kwenye chumba cha mahojiano
“Nisikilize bwana afande……Mimi sijui jamaa ana maana gani ya kunipiga mimi pichaa”

“Hata kama hutakiwi kuchukua sheria mkononi huoni umemnyima jamaa haki kama muandishi wa habari?”
Afande kuna maswala ya haki na mengine ya kipuuzi……Haiwezekanai mimi mpenzi wangu apigwe risasi na ninajitahidi kwenda kuwafuata hospitali eti anakuja mtu kunipiga piga picha hivi ni akili kweli?”

“Na wewe unahusika kwenye tukio la binti kupigwa risasi?”
“Sijakuelewa unavyosema nimehusika?”
“Wewe ndio uliye mpiga risasi”
“Acha bangi maswali ya kiseng* mimi siyataki umenielewa wewe afande na kama umekosa cha kuzungumza muite mkuu wako mimi ndio nitazungumza naye na si wewe”

Askari akaanza kucheka huku akinyanyuka kwenye kiti alicho kikalia na kuanza kunizunguka huku akipiga makofi ya kejeli
“Bwana mdogo jua upo kwenye mikono ya dola na ukileta mchezo utakwenda kunyea debe”
“Hivi wewe unadhani nitanyea debe kirahisi rahisi…..Na huyo fala niliye mvunjia camera yake nenda kamuulize ameinunua kiasi gani nimlipe”
“Hujanijibu swali langu la awali?”
“Sawali gani?”

“Umehusika kwenye tukio la ujambazi lililo tokea hotelini”
“Sasa wewe naona unanichanganya ni hivi nikiendelea kuzungumza mimi mtaniweka ndani kwa maana ninajijua.Sasa siwezi kukujibu chochote hadi mwanasheria wangu aje hapa na sitoongea na wewe kenge nitazungumza na mkuu wako”
“Kijana ninaona hunijui wewe”

Askari alizugumza huku akiviminya minya vidole vyake na vikaanza kutoa mlio watu wenyewe hukiita kitendo hicho ni kuvunja koda.Akanisogelea na kunishika shati langu na kunivuta jua hadi nikasimama kabla hajanipiga kofi mlango ukafunguliwa na akaingia mkuu wa polisi na kumfanya jamaa kuniachia.

“Mjomba vipi tena mbona hapa saa hivi?”
Mkuu wa polisi alizungumza na ninavyo kumbuka nilisha wahi kumuona hospitalini kipindi nimepigwa risasi na alikuwa ni rafiki yangu ambaye aliweza kunipa taarifa za kumkamata Manka na mara nyingi alikuwa pia akizungumza na mimi
“Ni hawa vijana wako mjomba wananisumbua sumbua”
“Ispekta ninakuomba utupishe”
“Sawa mkuu”
Askari akatoka na kutuacha tumasimama ndani ya chumba hicho.

“Haya niambie mjomba ni yapi yaliyokukuta?”
“Mjomba bwana nilikuwa pale hotelini kuna tukio limetokea la mchumba wangu kupigwa risasi sasa nimekwenda kwenye gari letu kuna jamaa akaanza kunipiga piga picha kutokana nina hasira nikampokonya jamaa kamera yake na kuivunja ndio hawa vijana wako wakanileta hapa”.

“Ahaaa wapumbavu kweli….Unajua nilipigiwa simu kuwa mkuu wenu wa shule amempiga risasi binti mmoja hotelini sasa nikajua basi yeye ndio yupo humu anahojiwa ndio maana nikaingia mara moja ili nimpatie dhamana kutokana yule ni kama kaka yangu”

“Mjomba huyo usimpatie dhamana kwani amempiga risasi mchumba wangu”
Mkuu wa polisi akashusha pumzi huku akionekana akifikiria cha kufanaya kisha akanitazama kwa sekunde kadhaa na kuzungumza.

“Sasa mjomba ni kwanini hujakwenda shule?”
“Mjomba leo ndio nimetoka Dar nimekuja na mchumba wangu ili arudi na gari home na mambo yamekuwa kama hayo unayo yaona”
“Huyo mchumba wako mama anamjua?”
“Mama hamjui na ninavyohisi mama atakuwa amesha ondoka na kwenda nje ya nchi”
“Ahaaa twende hospitali”

Tukatoka na mkuu wa polisi na kuwafanya askari wengine wakiwa wanashangaa akiwemo yule askari aliyekuwa akinihoji maswali ya ajabu ajabu.Jamaa niliye mvunjia kamera yake alipo niona akanyanyukwa kwenye benchi alilo kaa na kunifwata kwa hasira na kabla hajanifikia askari wengine wakamuwahi.

“Namdai kamera yangu huyo na nyinyi mnamuachia”
“Sema hiyo kamera yako ni bei gani nikulipe sasa hivi?”
“Laki tatu”
Nikafungua waleti yangu na kuanza kumuesabia pesa anayo ihitaji na kabla sijailipa mkuu wa polisi akanizuia
“Huyo mpiga picha ndio mwenye makosa muwekeni ndani hadi nirudi na nimkute ….Twende mwaya mjomba”

Tukatoka nje na kuingia kwenye gari analotembelea mkuu wa polisi huku likiendeshwa na askari mwengine na haikuchukua muda tukafika kwenye hospitali aliyo pelekwa Sheila ambayo ni hospitali ya kanisa la katoliki na kumkuta Salome akiwa amekaa kwenye benchi huku akilia na alipo niona akanikimbilia na kunikumbatiaa na kuzidisha kilio na kunifanya nianze kuchanganyikiwa na kuhisi Sheila atakuwa nimempoteza

“Sheila yupo wapi?”
Salome akanionyesha kwa ishara ya kidole chumba alichoingizwa Salome na nikamuachia na kupiga hatua za kwenda kuingia kabla sijafika manesi wawili wakanizuia
“Samahani kaka hiki ni chumba cha oparesheni haruhusiwi mtu yoyote kuingia humu ndani zaidi ya madaktari”
“Mpenzi wangu anaendeleaje lakini?”
“Madaktari wanajitahidi kuyaokoa maisha yake tunakuomba uwe mpole na mtulivu”
“Ila si atapona na kuwa mzima kama zamani”
“Ndio”

Nilizungumza huku machozi yakinimwagika nikatafuta sehemu na kukaa juu ya viti vilivyopo katika kordo ya kuingilia ndani ya chumba hicho.Mkuu wa polisi akanifuata na kuniaga.

“Mjomba nitakuja asubuhi kuangalia hali ya mgonjwa inaendeleaje mimi ngoja niende nikashuhulikie hili suala”
“Sawa mjomba”
“Ila usije ukamjulisha mama hili suala mimi nitalishughulikia hadi mwisho”
“Asante mjomba”

Mkuu wa polisi akaondoka na kuniacha nikiwa nimejiinamia,Salome akatoka kwenye kiti alicho kaa na kuja kukaa kando yangu huku na akilia kichini chini.Hatukusemeshana kitu chochote zaidi ya kila mmoja kuwaza anacho kiwaza yeye mwenye.Nikanyanyuka na kukaa upande mwengine wa viti na kumfanya Salome unyanyuka na kuja kukaa karibu yangu.

“Salome rudi ulipokuwa umekaa”
“Eddy samahani kwa kilicho tokea”
“Nimekusamehe ila sihitaji ukae karibu yangu”
“Ndio Eddy ninalijua hilo ila ninakuomba tafadhali nikae karibu na wewe”

“Ukae karibu na mimi….Mfuate basha wako ukakae naye ila sio mimi sawa”
Nilizungumza kwa sauti ya juu na kuwafanya manesi na baadhi ya watu waliopo eneo tulilo kuwepo sisi wakitutizama kwa mshangao
“Eddy”
“Eddy jina langu…..Ila Salome ninakuomba ukakae sehemu uliyo kuwepo na sihitaji kukuona hapa”

Salome akazidi kulia kwa uchungu kiasi kwamba akazidi kunikasirisha,nikasimama na kuelekea nje kupata upepo japo kuna baridi ila mwili wangu umetawaliwa na joto kali.Salome akanifuata sehemu niliyo kaa huku akilia
“Eddy ninajua kuwa unanichukia kwa sababu nimekuwa chan…..”

“Nyamaza kwani tatizo lako wewe ni nini?”
“Nakuomba unisamehe”
“Haya nimekusamehe nenda zako sasa”
“Eddy usinifukuze kama mbwa kumbuka kuwa mimi ninakupend……”
“Malaya wewe unanipenda mimi……Niachie unafiki wa kiseng* seng*,Wewe ni super star wa shule basi tembeza mbaliga zako nenda shule au unataka nikuchomeshe kwa askari?”

“Hapana”
“Powa nakuomba unipotezee”
Salome akanyanyuka kiunyonge nyonge na kubaki akiwa ananitazama huku akionekana kama anahitaji kuzungumza kitu ila anashindwa na kuanza kutembea taratibu
“Unashangaa shangaa nini wewe?”
“Mmmmm”
“Njoo”

Salome kapiga hatua hadi sehemu niliyo kaa na nikanyanyuka taratibu na kufungua waleti na kutoa noti mbili za elfu kumi na kumpa Salome
“Nenda zako shule na sihitaji nikuone hapa”
“Wewe utakuja?”
“Hilo halikuhusu wewe nenda zako”

Salome akaondoka huku akiangalia angalia nyuma akapanda bajaji na kuondoka,Sikuwa na hata hamu ya kula nikarudi ndani ya hospitali na kukuta manesi wakisukuma kitanda kutoka katika chumba alicho lazwa Sheila.Nikakimbia na kuwapata na kumkuta Sheila akiwa amewekwewa mashine ya gesi huku macho yake ameyafumba na uzuri wake ukazidi kuongezeka.Wakamuingiza kwenye moja ya chumba na kilicho tulia huku na mimi nikiwa ninafuatia kwa nyuma kisha wakamuweka juu ya kitanda tulichokikuta humo na kumzifunga mashine za upumuliaji vizuri.

“Nesi atapona kweli mke wangu?”
“Usijali kaka kwa maana hapa risasi imetolewa na uzuri zaidi risasi haikumdhuru kitu chochote ndani ya mwili wake”
“Sasa nesi unataka kuniambia hadi kesho atakuwa ameshapona?”

“Kaka nakuomba uwe mvumilivu na utulie kutokana mgonjwa wako hali yake ni nzuri hapo amelala kutokana na sindano ya nusu kaputi aliyo chomwa kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni.Cha msingi nikuendelea kumuombea kwa Mungu”
“Sawa nesi”

“Ila uanatakiwa usipige kelele na kama una simu yako iweke silence ili isije ikamsumbua mgonjwa”
“Sawa nesi…..Naruhusiwa kulala humu humu?”
“Hapana kutokana hichi chumba ni cha wagonjwa mahututi ila tunakuomba utoke nje kuna mavazi malumu ya kuvaa ili uweze kuingia humu ndani”

Tukatoka na manesi hao na tukaingia kwenye moja ya chumba wakanivalisha nguo maalumu amabazo nimezivaa juu ya nguo zangu kisha nikarudi ndani ya chumba alicho lazwa Sheila
“Kaka tunakupa dakika kumi na tano za kukaa na mgojwa wako”
“Sawa nesi”

Nikasimama pembeni kwenye kitanda alicholazwa Sheila na kujikuta machozi yakianza kunimwagika kwa uchungu.Kumbukumbu ya maisha ya nyuma aliyonisimulia Sheila nikaanza kuikumbuka na maisha magumu aliyo yapitia na nikajikuta ninazidi kuhuzunika na machozi yakazidi kunimwagika

“Ohhh Mungu wangu najua kuwa wewe ndio kimbilio langu.Natambua mimi ni mtenda dhambi ila ninakuomba unisamehee mimi na huyu mpenzi wangu Sheila.Nakuomba umpe nafasi nyingine ya kuishi……Risasi hii nilistahili mimi na sio yeye nakuomba umpe mwangaza wa kuona tena….”

Nilijikuta nikizungumza huku machozi yakinimwagika kiasi kwamba mwili mzima ukapoteza nguvu na kujikuta nikikaa kwenye kiti kilichopo pembeni na kitanda na taratibu kichwa changu nikakilaza pembeni na mwili wa Sheila huku nikiendelea kulia kwa uchungu.Taratibu usingizi mzito ukanipitia.Kwa mbali nikaanza kuisikia sauti ikiniita jina langu nikaipotezea na kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo ikaendelea kuniita ikanibidi nifumbue macho taratibu na kutazama ni nani anaye niita.

Nikamkuta Sheila akiwa analia taratibu huku akiniita kwa sauti ya chini nikanyanyuka na kukaa karibu yake huku nikimtazama kwa huruma na sote tukajikuta machozi yakitumwagika kiasi kwamba hakuna aliye weza kuzungumza chochote kwa wakati huu.Mwanga wa jua ulitawala ndani ya chumba chetu ukiashiria asubuhi imesha fika.

“EDDY KWANINI UMENISALITI MPENZI WANGU?”
“No Sheila sijakusaliti na siwezi kukusaliti”
“Eddy unaniongopea….Unajua ni jinsi gani ulivyouchoma moyo wangu ehee”
“Sheila usizungumze kwa sauti ya juu utajitonesha kidonda”
“Eddy acha nitoneshe kidonda na jua hii risasi nimepigwa kwa ajili yako.Eddy ni nini nilichokufanyia baba yangu hadi umeamua kunisaliti”

“Sheila nakuomba unisamehe mke wangu ila tambua mimi pia ninakupenda na siwezi kufanaya ujinga kama huo”
“Eddy wewe ni muongo”
“Sio kweli mke wangu nakuomba unielewe kwa hilo”
Sheila akatabasamu huku machozi yakizidi kumwagika kwa uchungu na kunifanya na mimi nizidi kumwagikwa na machozi mengi

“Eddy niahidi huto nisaliti?”
“Nakuapia kwa MUNGU wangu sitokusaliti”
“Sawa baby…..Gari ipo wapi?”
“Nimeiacha hotelini nimeshindwa kuiwasha”
“Pole baby nenda kaingize namba za siri ni mwaka wangu wa kuzaliwa na wa kwako”
“Umeujuaje mwaka wangu wa kuzaliwa?”
“Kipindi pale hotelini unazungumza na yule jamaa nilikikuta kikadi chako cha bima ya afya kikiwa na mwaka wako wa kuzaliwa ndio nikabadilisha na kuweka na namba ya miaka tuliyozaliwa”

“Wewe mwaka gani?”
“1991 na mbele utaweka mwaka wako”
“Je sauti itakuwaje?”
“Nimebadilisha mfumo wa uwashaji na kuweka huo wa kuingiza namba za siri”
Sheila alijikaza kuzungumza kwa sauti ya chini sana kutokana sauti ikiwa kubwa anaweza kujiumiza kidonda,Kabla sijatoka nesi wa jana usiku akaingia na tukasalimiana naye
“Jana usiku nilikuja nikakukuta umelala nikaona nisikusumbue”

“Kweli nesi kidogo nilikuwa nimechoka”
“Dada unaendeleaje?”
“Salama japo maumivu yapo mengi kifuani”
“Ohoo pole utapona mwaya hapa namsubiria dokta kuna dawa atakuja kukuchoma ya kukausha vidonda”
“Baby nikuchukulie chakula gani?”
“Mmmm baby sijisikii kula”
“Kaka usimletee chakula kutokana hapa hospitalini tunatoa huduma ya chakula na huyu itambidi apatiwe chakula maalumu kwa jinsi ya ungojwa wake ulivyo”
“Ahaaa baby mimi ngoja nikalichukue gari wasije wakalichukua bure”
“Eddy njoo”

Nikarudi na Sheila akaniomba nimbusu kwenye shavu nikafanya hivyo na kutoka nikaingia kwenye chumba nilicho vaa nguo maalumu za kuingilia kwenye chumba cha wagonjwa mahututi kisha nikatoka nje ya geti la hospitali.Nikajikuta nimesimama kwenye moja ya kibanda cha magazeti na kutazama gazeti moja lililo andikwa kwa maandishi makubwa meusi,
‘HEAD MASTER AUA KISA MAPENZI’  
 
  Ikanibidi kutoa pesa mfukoni na kulinunua,kutokana nina haraka nikalikunja na kukodisha pikipiki ikanipeleka hadi hotelini na kumlipa muendeshaji huyo wa pikipiki na moja kwa moja nikaelekea kwenye maegesho ya magari na kulikuta gari letu likiwa kama nilivyoliacha jana usiku.Nikaingia ndani ya gari na kuziingiza namba alizo nimbia Sheila na gari likawaka na nikalizima.Nikakumbuka kuna begi langu la nguo kwenye chumba tulicho kodisha jana.Nikapandisha gorofani kwenye chumba chetu na kulikuta likiwa salama,Kutokana chumaba tumekodisha kwa siku mbili sikuona haja ya kulichukua.Nikachukua wallet ya Sheila yenye kadi zake mbili za benki pamoja na pesa kiasi.Nikiwa ninashuka kwenye ngazi za kushuka chini muhudumu mmoja wa kiume akanisimamisha.

“Samahani kaka jana wakati ugomvi ulipokuwa unatokea kuna hichi kitambulisho kilidondoka”
Jamaa akanionyesha kitambulisho cha Salome ambacho ni cha shule
“Nakiomba”
“Ahaaa kaka sio kirahisi rahisi hivyo kuna polisi walikuja kukagua ila nikaibania nikijua utarudi tu”
“Kwa hiyo wewe unataka nini?”
“Japo ya maji ya kunywa si unajua sote vijana”
“Powa”

 Nikatoa elfu hamsini na kumpa jamaa kisha na yeye akanipa kitambulisho na tukaagana na mimi nikaelekea kwenye gari.Nikajifikiria kwa muda ni wapi nianzie nikaona ni bora niende shule kukipeleka kitambulisho cha Salome isije ikatokea polisi wakanihitaji tena kituoni na kunikuta na kitambulisho hicho na kumuingiza Salome kwenye matatizo hayo.Nikawasha gari na kuondoka nikaingia kwenye moja ya sheli nikajaza mafuta ya kutosha kwenye gari na safari ya kwenda shule ikaaza.Nikafika getini na na walinzi wakanifungulia geti na wakaonekana wakinishangaa,Nikaachana nao na moja kwa moja nikafika kwenye maegesho ya magari katika endeo la shule na kushuka na baadhi ya wanafunzi wa vidato vingine wakaendelea kunishangaa hadi nikawa ninajiuliza kinacho wafanya wanishangae mimi ni nini.

Nikakutana na Madam Mery akitoka ofisini huku akiwa ameongozana na madama Rukia na wote walipo niona wakanifuata na kila mmoja akaonekana kunifurahia ila kwa Madam Mery nikaanza kumuona anamabadiliko katika mwili wake

“Eddy mpenzi wangu unaendeleaje?”
Madam Mery akashindwa kuficha hisia zake hadi machozi yakamlenga lenga
“Salama sijui wewe?”
“Mimi nipo powa…..Mbona umekuja hivyo na nguo za nyumbani hurudi tena shule”
“Narudi mbona kama tumbo limekuwa kubwa?”
“Madam Mery akainama chini na kuanza kuvichezea vidole vyake nanikaona pete ya ndoa kwenye kidole chake cha mkono wa kushoto
“Eddy nimeolewa”
“Hongera”

  Nilizungumza huku nikilitazama gari la shule linalo simama na kumouna mkuu wa shule akishuka huku akiwa na mkewe wakicheka kwa furaha na kwa bahati mbaya hakuniona.Nikapiga hatua za haraka  hadi alipo simama mkuu wa shule na kumgusa bega kitendo cha yeye kugeuka na kuiona sura yangu akashtuka na kwa kasi ya ajabu mkono wangu wa kulia nilio ukunja ngumi ukatua kwenye shavu la mkuu wa shule na kumfaya ayumbe kwa nguvu na kumkumba mke wake na wote wakaanguka chini.....
  
 ITAENDELEA....
RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 19 & 20 Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea ) RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 19 & 20 Riwaya inawafaa kuanzia miaka 18 na kuendelea ) Reviewed by Unknown on 21:35:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.