RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI KUELEKEA MWANZA MJINI




Raiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa njiani kuelekea jijini MwanzaRais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa njiani kuelekea jijini MwanzaMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela akitoa taarifa fupi kwaRais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla kumualika kuongea na wakazi wa Sengerema akiwa njiani kuelekea jijini MwanzaDkt. Charles JohnTizebaambaye ni Mbunge wa Jimbo la Buchosa naWaziriwa Kilimo, Mifugo na Uvuvi akisalimia wananchi mjini Sengerema kablaRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli hajaongeaMbunge wa Sengerema Mhe. William Ngeleja akiwashukuru wananchi wa jimbo lake kwa kujitokeza kwa wingi kumpokeaRais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jimboni mwake akiwa njiani kuelekea jijini MwanzaWakazi wa Sengerema wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipozungumza nao akiwa njiani kuelekea jijini MwanzaRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nawakazi wa Sengerema akiwa njiani kuelekea jijini MwanzaRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nawakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekeaMwanza mjini.Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akimsaidia mwanahabari wa ITV kuripoti ziara yaRais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza na wakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza mjini.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Misungwe Mhe. Charles Kitwanga baada ya kuzungumza na wakazi na wasafiri eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza mjini.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwalimu Mstaafu Mama Zena Seif (61) ambaye alimfundisha darasa la tatu wakati akisoma shule ya msingi ya Chato. Hii ni baada ya kuzungumza na wakazi na wasafiri mbalimbali wa eneo la Busisi kabla ya kuvuka na kuelekea Mwanza mjini.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wabunge na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza akiwa katika pantoni MV Misungwi wakati akivuka kuelekea Mwanza mjini.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wabunge na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza akitoka kwenye pantoni MV Misungwi wakati akivuka kuelekea Mwanza mjini.Raiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchieneo la Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia wananchi eneo la Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia mtoto na mama yake baada ya kuongea na wananchi eneo la Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.Raiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchimbalimbali wa Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.Raiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Misungwe Mhe. Charles Kitwanga akimtajia badhi ya changamoto jimboni kwake mbele ya wakazi wa Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Biharamulo akiongea na kumkaribisha mbele ya wakazi wa Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Biharamulo eneo la Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wakazi mbalimbali wa UsagaraRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkonowakazi mbalimbali wa UsagaraWakazi wa Usagara wakimuaga RaisRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono kuwaaga wakazi mbalimbali wa UsagaraSehemu nyingi alikuta wananchi wametanda barabarani wakimtaka awasalimu na kuongea naoMbunge wa Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula akiongea na wananchi waliokuwa wametanda barabarani kutaka kumsikia RaisRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakaziwa Buhongwa nje kidogo ya jiji la MwanzaRais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mamia ya wananchi wa Mwanza waliofurika barabarani kumsubiriPalikuwa hapatoshiWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anawaambia wananchi kwamba yeye ni Rais wa kila mtu nchini na atawatumikia wote bila kuwabaguaWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli huku wakimtaka aendelee kuongea naoWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliKila mtu alikuwa na shauku yakumuona na kumsikia RaisWengi walitumia simu zao za mkononi kunasa kila alichokisemaWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliWananchi wameziba njia ili kumtaka Rais asiwapite bila kuongea naoWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuongea na wananchi wa MwanzaRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahakikishia wananchi wa Mwanza kwamba atawatumikia wote bila kujali dini zao, makabila yao wala itikadi zao za kisiasaWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliWananchi wa Mwanza wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliMsafara unapokaribia katikati ya jiji la Mwanza unakutana na umati mkubwa wa wananchiRaiswa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anajikuta hana jinsi bali kuzungumza naoRais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nawananchi katikati ya jiji la Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuzungumza na wananchi katikati ya jiji la Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katikati ya jiji la Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuzungumza na wananchi baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza. PICHA ZOTE NA IKULU
RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI KUELEKEA MWANZA MJINI RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI KUELEKEA MWANZA MJINI Reviewed by WANGOFIRA on 20:06:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.