Jeshi la polisi lawaengua zaidi ya watumishi 600 wasio askari

 
 
 
 
 
 
 
 
Jeshi la Polisi limewaengua watumishi wake zaidi ya 600 wasiokuwa askari, limeripoti gazeti la NIPASHE Jumapili hii.

Uamuzi huo ni utekelezaji wa agizo walilopewa Julai 18 mwaka huu na Rais John Magufuli, la kuhakikisha kuwa wanabaki na watumishi askari katika kila eneo, lengo likiwa ni kuepuka kuchafuliwa kwa taarifa za kuwapo kwa vitendo vya rushwa na ufisadi vinavyodaiwa kufanywa zaidi

Source: WavutiRead More
Jeshi la polisi lawaengua zaidi ya watumishi 600 wasio askari Jeshi la polisi lawaengua zaidi ya watumishi 600 wasio askari Reviewed by WANGOFIRA on 15:31:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.