Breaking News; ASKARI WATATU WAUAWA DAR USIKU HUU
WALIOFARIKI
E5761 CPL YAHAYA
F4660 CPL HATIBU NA
G9544 PC TTITO
KATIKA TUKIO LA UVAMIZI WA BANK MBANDE CRDB USIKU HUU SAA 19:3 0HRS.
Inasemekana SMG moja wameondoka nayo majambazi. Tukio limetokea wakati askari wakibadilishana lindo. Mmoja aliyefariki alikuwa anaingie, mmoja alikuwa anatoka na mwingine alikuwa dereva. Majambazi hayakuingia ndani ya bank. Gari Leyland Ashok limeharibiwa sana kwa risasi. Ni tukio baya sana

Reviewed by WANGOFIRA
on
13:33:00
Rating:
No comments: