Akamatwa kwa kupanda mnara wa makao makuu ya Trump Marekani



Mtu mmoja aliyejaribu kupanda mnara wa Trump uliopo jijini New York, ameondolewa na polisi katika jengo hilo baada ya kuchomwa na vioo vya jengo hilo lenye ghorofa hamsini na nane ambayo ni makao makuu ya kampeni za kumchagua Donald Trump.

Source: BBC SwahiliRead More 
Akamatwa kwa kupanda mnara wa makao makuu ya Trump Marekani Akamatwa kwa kupanda mnara wa makao makuu ya Trump Marekani Reviewed by WANGOFIRA on 19:59:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.