Watu 80 wauwa kwenye mlipuko nchini Afghanistan



Wizara ya afya ya Afghanistan imesema takriban watu themanini wameuawa na zaidi ya wengine 150 wamejeruhiwa katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanyika kwenye mji mkuu Kabul.
Baadhi ya taarifa zinasema kulikuwa na milipuko miwili.
Shambulio hilo linaonyesha kuwa lililenga maandamano ya maelfu ya watu kutoka jamii ndogo ya Hazara, ambao hujikuta wakidhalilishwa na kufanyiwa ukatili.
Walikuwa wakiandamana kupinga mpango wa serikali wa kuhamisha umeme kutoka kwenye majimbo yao katikati ya nchi.BBC
Watu 80 wauwa kwenye mlipuko nchini Afghanistan Watu 80 wauwa kwenye mlipuko nchini Afghanistan Reviewed by WANGOFIRA on 23:02:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.