Picha 3 za Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe jana

Msafara wa waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa mashtaka na makosa ya jinai DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Chato wakitokea mkoani Geita.

Imedaiwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva kujaribu kuwakwepa watoto wawili waliokuwa wakikatiza barabara ghafla, taarifa zinadai kuwa katika ajali hiyo hakuna vifo wala majeruhi.


Picha 3 za Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe jana Picha 3 za Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe jana Reviewed by WANGOFIRA on 00:44:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.