Payment Instructions Using Vodacom Mpesa: |
Malekezo ya Jinsi ya kulipia kwa Vodacom Mpesa: |
- 1. Dial *150*00#
- 2. Select 4. Payments
- 3. Select 4. Enter business number
- 4. Enter the business number (607070)
- 5. Enter reference No. (1234)
- 6. Enter Amount (e.g 50,000/=)
- 7. Enter PIN
- 8. Press 1 to Confirm:
|
- 1. Piga *150*00#
- 2. Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa
- 3. Chagua 4. Weka namba ya kampuni
- 4. Tafadhali weka namba ya kampuni No. (607070
- 5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo No. (1234)
- 6. Weka kiasi (e.g.50,000/=)
- 7. Weka namba ya siri.
- 8. Bonyeza 1 kuthibitisha:
|
After confirmation you will receive a message from Vodacom
(e.g. "BA54KP432 Confirmed. Tshs. 50,000 sent to
business NACTE for account 1234 on 14/4/14 at 2:33 PM New M-Pesa balance is Tsh 200").
*Use the confirmation code at the beginning of the
message to enter on payment details text box (BA54KP432).
Baada ya kutuma utapokeo ujumbe kutoka vodacom
(Mfano "CB02AK669 Imethibitishwa. Tsh. 20,000 imetumwa kwa NACTE kwenye akaunti
namba 1234 tarehe 29/3/16 saa 12:38 PM salio lako la M-PESA ni Tsh. 200").
*Tumia Uthibitisho wa malipo mwanzoni mwa ujumbe mfupi
ulutumwa kutoka vodacom kuingiza kwenye kiboxi cha uthibitisho wa malipo (CB02AK669).
Payment Instructions Using Airtel Money: |
Malekezo ya Jinsi ya kulipia kwa Airtel Money: |
- 1. Dial *150*60#
- 2. Select 5. Make Payments
- 3. Select 3. Enter business Name
- 4. Enter the business Name (607070)
- 5. Enter Amount (e.g 50,000/=)
- 6. Enter the reference Number. (1234)
- 7. Enter PIN to confirm Paying 607070
TShs 50000 with
reference number 1234
|
- 1. Piga *150*60#
- 2. Chagua 5. Lipia Bili
- 3. Chagua 3. Weka Jina la Kampuni
- 4. Tafadhali Andika Jina La Biashara. (607070
- 5. Ingiza Kiasi cha Pesa (e.g.50,000/=)
- 6. Ingiza Namba ya kumbukumbu. (1234)
- 7. Ingiza namba ya siri kulipia 607070,
Tshs 50000
kumbukumbu rejea namba 1234.
|
You will receive a message from Airtel
(e.g. " Txn Id: MP160506.0908.A07884 You have paid 50000.00Tshs to NACTE:
Your available Airtel Money balance 200.00Tshs.").
*Use the Txn Id: (MP160506.0908.A07884,)
to enter on payment details text box.
Baada ya kutuma utapokeo ujumbe kutoka Airtel
(Mfano "Kitambulisho rejea: MP160506.0908.A07884, Umelipa 50000.00Tshs
Kwenda NACTE.Salio lako jipya ni 200.00TShs.").
*Tumia Kitambulisho rejea: wa malipo (MP160506.0908.A07884)
mwanzoni mwa ujumbe mfupi ulutumwa kutoka Airtel kuingiza kwenye kiboxi cha
uthibitisho wa malipo.
No comments: