Ajali Mbaya Yaua Watu 11 Mkoani Morogoro


Habari iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni kuhusu ajali ambayo imetokea eneo la Veta Dakawa mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.



Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa.



Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo.
Ajali Mbaya Yaua Watu 11 Mkoani Morogoro Ajali Mbaya Yaua Watu 11 Mkoani Morogoro Reviewed by WANGOFIRA on 07:59:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.