Wabunge UKAWA Wamaliza Bunge La Bajeti Kwa Mtindo Mpya.....Wavaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa Na Mabango

Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani leo asubuhi wameingia bungeni wakiwa wote wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma.

Baada ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya kuliombea Bunge, walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.

Wabunge UKAWA Wamaliza Bunge La Bajeti Kwa Mtindo Mpya.....Wavaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa Na Mabango  Wabunge UKAWA Wamaliza Bunge La Bajeti Kwa Mtindo Mpya.....Wavaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa Na Mabango Reviewed by WANGOFIRA on 02:48:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.